Unyanyasaji wa watoto washuhudiwa Tanzania Uganda na DRC

Shirika la Save the Children linasema Tanzania, Uganda, DRC na Rwanda ni miongoni mwa mataifa ambapo unyanyasaji wa watoto kingono unashuhudiwa kwa zaidi ya asilimia 10.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Msukosuko washuhudiwa Kinshasa, DRC

Ripoti kutoka Jamhuri ya Demokrasi ya Congo zinasema kuwa kuna msukosuko mkubwa, huku vikosi vya usalama vikitumwa kwenda mji mkuu Kinshasa, baada ya utawala kupiga marufuku mkutano wa upinzani.

 

3 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa TZ wakabiliwa na unyanyasaji wa kingono DRC

Umoja wa Mataifa unasema kuwa umepokea madai ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya wanajeshi wa kulinda amani wa Tanzania mashariki mwa taifa la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

 

4 years ago

BBCSwahili

Unyanyasaji wa mashoga washtumiwa Uganda

Wakereketwa wa haki za binadamu nchini Uganda wanawashutumu polisi wa nchi hiyo, kwa kuwanyanyasa na kuwapiga mashoga

 

5 years ago

KwanzaJamii

Unyanyasaji wa watoto magerezani

Ripoti mpya imebaini kuwapo kwa unyanyasaji mkubwa wa watoto wanaoshikiliwa kwenye magereza na mahabusu mbalimbali nchini. Ripoti hiyo yenye kurasa 94 iliyotolewa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora iliyochunguza hali za watoto magerezani na kwenye vituo vya polisi kwa mwaka 2012 na 2013, imebainisha kuwa walikamatwa kwa makosa mbalimbali yakiwamo wizi wa kutumia silaha, dawa za kulevya, mauaji, ubakaji na uzururaji. Timu ya wachunguzi ya tume hiyo ilitembelea magereza na vituo vya...

 

4 years ago

Habarileo

Matukio 24,000 ya unyanyasaji watoto yaripotiwa

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Pindi ChanaWIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto imesema kuna kesi zaidi ya 24,000 zinahusu matukio ya unyanyasaji na ukatili wa haki za watoto katika kipindi cha mwaka 2013 na Februari, mwaka jana.

 

5 years ago

Tanzania Daima

Kesi 5,000 za unyanyasaji watoto zaripotiwa

ZAIDI ya kesi 5,000 za unyanyasaji wa watoto zimeripotiwa katika Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa) ambapo kati ya hizo, kesi 1,400 zimeshughulikiwa huku kesi 800 zikisuluhishwa na watoto hao...

 

3 years ago

VOASwahili

UN: dhuluma na unyanyasaji wa watoto wa kike unaongezeka

Idara ya wanawake ya Umoja wa Matifa UNEFEM inaeleza kwamba mimba na ndoa za utotoni zina athiri ukuwaji wa mtoto wa kike na kuwaondolea ndoto zao za kupata elimu na maisha bora. Dunia ikisherehkea siku ya mtoto wa kike duniani, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon anasema ustawi, haki za binadamu elimu na kuwawezesha watoto wakike bilioni 1.1 duniani ni nguzo muhimu katika kufikia ajenda ya 2030 ya Malengo ya Maendeleo Endelevu, SDG. Katika taarifa yake, Bw. Ban ameto wito wa...

 

5 years ago

Mwananchi

Unyanyasaji huu wa watoto ni aibu kwa taifa

Watafiti wa masuala ya haki za binadamu wamefanya utafiti na kutoa taarifa kwamba wapo watoto magerezani wanaochanganywa na watu wazima, hivyo kuainisha kuwa hayo ni mateso makubwa kwa watoto kisaikolojia na kimakuzi.

 

3 years ago

Mtanzania

Tukidhamiria tutamaliza unyanyasaji kwa watoto wa kike

ukatili-1

Na Mwandishi Wetu,

UKATILI wa nyumbani ni aina ya tabia inayotumika kujenga uwezo wa mtu mmoja kummiliki mwingine kwa kutumia vitisho na woga.

Athari ya ugomvi nyumbani pamoja na mambo mengine hutokana na kipigo cha wazi au cha kisiri, kuitana majina yasiyofaa, kutumia fedha kwa madhumuni ya kumiliki wengine, kutumia lugha ya matusi, kubaka watoto ndani ya nyumba, kuwamiliki watoto, kutenga na kutumia vitisho.

Niliwahi kuhudhuria kongamano moja lililoendesha mada za unyanyasaji wa kijinsia...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani