Uongozi wa Singida United wakanusha kufungiwa kwa Lyanga.


Na Agness Francis, Globu ya jamii
UONGOZI wa Singida United umekana kufungiwa kwa mchezaji wa timu yao Danny Lyanga kwa kosa la kusaini mikataba timu mbili.
Taarifa zilizoenekana kupitia kwa vyombo mbalimbali vya habari, ikielezea kuwa Lyanga amefungiwa na Shirikisho la Mpira duniani (FIFA) kutokana na kudaiwa kusaini kuzitumikia timu mbili ambazo ni Singida United na Fanja Fc ya Oman.
Hivyo FIFA na kuamua kumfungia mchezaji huyo Danny Lyanga kwa muda wa miezi sita kwa kosa la kusaini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

UONGOZI WA HOTELI YA NAURA SPRINGS WAKANUSHA TAARIFA ZA KUWAKA MOTO KWA HOTEL HIYO

SEHEMU YA JENGO LA HOTEL HIYO LIONEKAVYO KWA NJE.MENEJA WA HOTEL HIYO BI.BEATRICE DALLARIS AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI,JUU YA  TAARIFA ZA UZUSHI ZILIZOSAMBAZWA KWENYE MITANDAO YA KIJAMI KUWA HOTEL HIYO IMEUNGUA MOTO MAPEMA LEO JIJINI ARUSHA.
UTAWALA NA WAFANYAKAZI WA HOTELI YA NAURA SPRINGS IMESIKITISHWA KWA TAARIFA ZILIZOSAMBAA KWENYE MITANDAO MBALIMBALI YA KIJAMII KUHUSU KUWA HOTELI YETU INAWAKA MOTO NA KUSABABISHA USUMBUFU MKUBWA KWA WATU WA MKOA WETU, NDUGU NA JAMAA WA WAFANYAKAZI WA...

 

4 months ago

Malunde

POLISI DODOMA WAKANUSHA MTOTO WA MTOTO KUFUNGIWA KABATINI

Wakati binti wa kazi akieleza jinsi mwanaye mwenye umri wa miezi mitano alivyofungiwa kabatini na mwajiri wake mkoani Dodoma kwa muda wa miezi sita, Jeshi la Polisi mkoani humo limekanusha madai ya mtoto huyo kufungiwa kabatini.
Binti huyo wa miaka 15, jana Desemba 30, 2018 akiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma alidai kufanyiwa ukatili kwa kupigwa na kufanyishwa kazi hadi usiku wa manane na bosi wake anayedaiwa kuwa ni mwalimu na kwamba amekuwa akimwambia amfungie hadi usiku...

 

3 years ago

Michuzi

UONGOZI WA MGODI WA GGM WAKANUSHA TAARIFA ZILIZOTOLEWA NA MSUKUMA.

UONGOZI wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) umekanusha tuhuma zilizotolewa na Mbunge wa Geita vijijini kwa tiketi ya CCM, ndugu Joseph Kasheku (Msukuma) kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Juni 10, mwaka huu katika kijiji cha Nyakabale Mkoani Geita.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Afisa Uhusiano na mawasiliano wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita(GGM), Tenga B. Tenga amesema kuwa tuhuma hizo hazina ukweli wowote.
"Mbunge huyo alisikika katika mkutano wa hadhara kuwa...

 

3 years ago

StarTV

Mtafaruku Man Utd Uongozi wakanusha kumruhusu Van Gaal Kujiuzulu

 

Wakati kukiwa na shinikizo la mashabiki kutaka kocha Lous Van Gaal wa Manchester United kutaka aachie ngazi,uongozi wa klabu hiyo umekanusha taarifa kuwa umemruhusu kocha huyo kujiuzulu.

Taarifa iliyotolewa na uongozi wa klabu hiyo ya Old Traffold inabainisha kuwa,maelezo ya makamu mwenyekiti Ed Woodward yamepotoshwa kuwa wanatafuta kocha mwingine kumbadili Van Gaal,baada ya klabu hiyo kupoteza michezo sita ya EPL.

Van Gaal raia wa Uholanzi ambaye hapendi kusimama na kutoa maelekezo kwa...

 

5 years ago

Dewji Blog

Lissu akerwa na uongozi wa Chadema Singida kwa kumdodesha

DSC00984

Mwenyekiti CHADEMA jimbo la kanda ya kati, Tundu Lissu, akihutubia wana CHADEMA na baadhi ya wakazi wa manispaa ya Singida kwenye viwanja vya Peoples mjini Singida.Tundu pamoja na mambo mengine, amewahimiza wananchi kuikataa rasimu ya katiba mpya kwa madai kwamba imechakachuliwa.

Na Nathaniel Limu, Singida

IDADI  ndogo ya wanachama na wasio wanachama wa CHADEMA waliohudhuria mkutano wa hadhara ulioitishwa kwa ajili ya mwenyekiti wa jimbo la kanda ya kati, Tundu Lissu, kuzungumza nao,...

 

3 years ago

Dewji Blog

Uongozi wa Tanzania Houston Community (THC) wakanusha taarifa za mitandaoni kuhusu msiba wa Kiherile na Andrew Sanga

Uongozi wa Tanzania Houston Community (THC) unapenda kukanusha taarifa zisizo sahihi zinazosambazwa mitandaoni ya kwamba Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani chini ya Mh. Balozi Wilson Masilingi haukufanya lolote wakati Jumuiya yetu ilipopatwa na misiba miwili ya Bw.Henry Kiherile na Bw.Andrew Nicky Sanga iliyotokea kwa nyakati tofauti mapema mwezi April mwaka huu.

Uongozi wa THC unapenda umma utambue kwamba tulipata na tunathamini sana ushirikiano ulioonyeshwa na kutolewa na Ubalozi pamoja...

 

2 years ago

Michuzi

Kocha Mholanzi Hans Van der Pluijm ajiunga na klabu ya Singida United ya mkoani Singida

ALIYEKUWA kocha wa Yanga, Mholanzi Hans Van der Pluijm (pichani akiwa na kiungo Tafadzwa Kutinyu aliyesajiliwa kutoka Chicken Inn Fc ya Zimbabwe) amejiunga na klabu ya Singida United iliyopanda Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao.
Aliyefanikisha dili la Pluijm kujiunga na timu hiyo ya Singida ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya timu hiyo na Mbunge wa Singida, Mwigulu Nchemba ambaye, pia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi.Na Pluijm anaamua kwenda Singida United baada ya kusitishiwa...

 

3 years ago

Dewji Blog

Singida United yaomba msaada wa fedha kwa MO Dewji

Mwenyekiti wa klabu ya soka ya Singida United, Yusuph Mwandami, ametoa wito kwa wazawa wa mkoa wa Singida, kuisaidia kwa hali na mali timu yao hiyo ili iweze kushiriki ligi daraja la kwanza bila matatizo.

Mwandami ametoa wito huo juzi wakati akizungumza na blog ya MO, juu ya maandalizi ya timu hiyo itakayoshiriki ligi daraja la kwanza inayotarajia kuanza kutimua vumbi Septemba, 24 mwaka huu.

Alisema kazi ya kuendesha timu ya soka, ina mahitaji mengi makubwa ikiwemo gharama mbalimbali.

“Kwa...

 

2 years ago

Dewji Blog

CCM yaipongeza Singida United kwa kurejea VPL

Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Singida, kimeipongeza Singida United F.C. kwa kurejesha heshima ya mkoa kwenye mchezo wa soka, iliyopotea kwa kipindi cha miaka 15.

Mwenyekiti CCM mkoa wa Singida, Martha Mlata, ametoa pongezi hizo juzi na kuahidi chama hicho tawala, kitaiunga mkono Singida United kwa kuboresha uwanja wa namfua ili uwe na vigenzo vinavyohitajika kwa michezo ya ligi kuu.

Alisema Singida United ambayo imewahi kushiriki Ligi Kuu ya Vodacom na kushuka daraja mwaka  2001/2002,...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani