UPANDE WA MASHITAKA WAUANDIKIA BARUA UBALOZI WA MSUMBIJI KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamiiUPANDE wa mashtaka katika kesi ya utakatishaji fedha wa dola za Marekani 150,000 inayomkabili Mhasibu wa Ubalozi wa Tanzania nchini Msumbiji Joyce Moshi, umeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa wameiandikia barua nchi hiyo kuiomba msaada wa kisheria.
Wakili wa Serikali, Wankyo Simon ameeleza hayo leo,mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi kesi hiyo ilipokuja kwa kutajwa.
Wakili Wankyo amedai, upelelezi katika kesi hiyo bado haujakamilika, ila...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA: RUGEMALILA ADAI UNAHITAJIKA USHIRIKIANO BAINA YAKE NA UPANDE MASHITAKA KUMBAINI MWIZI WA BILIONI 309 ZA SERIKALI.

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.
Mfanyabiashara James Rugemarila anayekabiliwa na kesi ya utakatishaji fedha amedai mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa unahitajika ushirikiano baina yake na upande wa mashtaka ili kumbaini mwizi wa Bil 309 za serikali wanazodaiwa kuiba.
Katika kesi hiyo, Rugemarila, anashtakiwa pamoja na mmiliki wa IPTL, Harbinder Singh Sethi ambapo wote kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka 12 ya uhujumu uchumi likiwemo la utakatisha fedha na kuisababisha serikali...

 

1 year ago

Michuzi

MHASIBU WA UBALOZI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA UTAKATISHAJI FEDHA

  Mhasibu wa Ubalozi wa Tanzania nchini Msumbiji, Joyce Moshi, (56) akitoka katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo mara baada ya kusomewa mashtaka aliyonayo.
Na Karama Kenyunko, Blogu ya Jamii. MHASIBU wa Ubalozi wa Tanzania nchini Msumbiji, Joyce Moshi, (56), leo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka tisa matatu ya kughushi, kuwasilisha nyaraka za uongo  wizi akiwa mtumishi wa umma, kujipatia fedha kwa njia ya uongo na...

 

1 year ago

Michuzi

UPELELEZI KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA DOLA 150,000 BADO HAUJAKAMILIKA

Na Karama Kenyunko, Globu ya Jamii.
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa, upelelezi wa kesi ya utakatishaji fedha kiasi cha Dola za Marekani 150,000 inayomkabili Mhasibu wa Ubalozi wa Tanzania Maputo nchini  Msumbiji, Joyce Moshi (56) bado haujakamilika.
Mshtakiwa Moshi anayeishi Temeke anakabiliwa na mashtaka tisa yakiwamo ya kughushi, kuwasilisha nyaraka za kughushi, wizi akiwa mtumishi wa umma na utakatishaji wa fedha.
Wakili wa Serikali, Mwanaamina Kombakono amedai mbele ya Hakimu...

 

1 year ago

Michuzi

KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,KABURU KUANZA KUSIKILIZWA APRILI 5

 Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii
UPELELEZI katika kesi ya utakatishaji fedha, dola za Marekani 300,000 inayomkabili Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na Makamu wake Godfrey Nyange, maarufu kama Kaburu, umekamilika na itaanza kusikilizwa Aprili 5 mwaka huu.
Wakili wa Serikali, Nassoro Katuga ameeleza hayo leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba kesi hiyo ilipokuja kwa kutajwa.  
 Katuga aliiambia Mahakama kuwa mshtakiwa Aveva hayupo mahakamani hapo kwa kuwa ni mgonjwa amelazwa katika...

 

12 months ago

Michuzi

KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA AVEVA,KABURU WASOMEWA MAELEZO YA AWALI BAADA YA UPEPELEZI KUKAMILIKA

Baada ya kulazwa kwa muda mrefu hatimae leo Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva amefika mahakamani kuhudhuria kesi yake ya utakatishaji wa fedha inayomkabili yeye pamoja na makamu wake Godfrey Nyange ' Kaburu' .Pia Upande wa mashtaka umedai kuwa unatarajia kumuongeza mshtakiwa mmoja katika kesi hiyo.
Aveva ambaye alikuwa akiugua na kulazwa kwa muda mrefu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, leo amefika mahakamani akiwa anatembea kwa shida huku akiwa ameshikiliwa mkono na mshtakiwa mwenzake...

 

1 year ago

Michuzi

KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI RAIS WA SIMBA EVANS AVEVA NA MAKAMU WAKE KUANZA KUSIKILIZWA APRILI 5

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii
UPELELEZI katika kesi ya utakatishaji fedha, dola za Marekani 300,000 inayomkabili Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na Makamu wake Godfrey Nyange, maarufu kama Kaburu, umekamilika na itaanza kusikilizwa Aprili 5 mwaka huu.
Wakili wa Serikali, Nassoro Katuga ameeleza hayo leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba kesi hiyo ilipokuja kwa kutajwa.   Katuga aliiambia Mahakama kuwa mshtakiwa Aveva hayupo mahakamani hapo kwa kuwa ni mgonjwa amelazwa katika...

 

3 years ago

Ippmedia

Majaji wa 3 mahakama ya rufaa yasikiliza rufaa ya DPP kesi ya utakatishaji wa fedha.

Japo la majaji watatu wa mahakama ya rufani limesikiliza rufaa ya mkurugenzi wa mashtaka-DPP-ya kupinga maamuzi ya mahakama kuu ya kutupiliambali rufaa yake dhidi ya maamuzi ya mahakama ya hakimu mkazi Kisutu ya kuwafutia shtaka la nane la utakatishaji fedha lililokuwa linawabili aliyekuwa 

Day n Time: JUMANNE SAA 2:00 USIKUStation: ITV

 

4 years ago

Habarileo

Watatu kortini utakatishaji fedha

WATU watatu wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya wizi na utakatishaji wa fedha.

 

4 years ago

Uhuru Newspaper

Kortini kwa wizi, utakatishaji fedhaNA FURAHA OMARY
MFANYAKAZI wa Benki ya CRDB, Telesphory Gura (43), amefikishwa  katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kumwibia mwajiri wake sh. milioni 241 na kutakatisha fedha haramu.
Gura, mkazi wa Kibada, Kigamboni jijini Dar es Salaam, alifikishwa mahakamani hapo jana na kupandishwa kizimbani mbele ya Hakimu Mkazi Frank Moshi.
Wakili wa Serikali, Genes Tesha, alimsomea Gura mashitaka matano ya wizi wa sh. 241,163,668 na ya kutakatisha fedha zaidi ya sh....

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani