Upelelezi kesi ya kina Maimu haujakamilika

Upande wa Jamhuri kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho (NIDA), Dickson Maimu na wenzake, umeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa upelelezi wa kesi inayowakabili vigogo hao haujakamilika.

Washitakiwa wengine katika kesi hiyo  ni Meneja Biashara wa (Nida), Avelin Momburi, Mkurugenzi wa Kampuni ya Aste Insurance Brokers,  Astery Ndege, Ofisa Usafirishaji, George Ntalima, Mkurugenzi wa Sheria, Sabina Raymond na Xavery Kayombo.

Wakili wa...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

UPELELEZI KESI YA KINA MASAMAKI BADO HAUJAKAMILIKA

Na Mwene Said, Glogu ya Jamii.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imepiga kalenda kesi inayomkabili Kamishna wa Kodi na Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Tiagi Masamaki  na wenzake  hadi Agosti 23, mwaka huu baada ya upande wa Jamhuri kudai upelelezi wake bado haujakamilika.
Wakili wa Serikali Mwandamizi, Christopher Msigwa alidai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shahidi kwamba upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika.
Alidai kuwa upande wa Jamhuri unaomba...

 

4 years ago

Habarileo

‘Upelelezi kesi ya Shehe Farid haujakamilika’

Shekhe Farid Hadi AhmedUPELELEZI wa kesi ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Shekhe Farid Hadi Ahmed na wenzake bado haujakamilika.

 

5 years ago

Habarileo

‘Upelelezi kesi ya ugaidi Dar haujakamilika’

UPANDE wa mashtaka umeomba kuongezewa muda wa kukamilisha upelelezi katika kesi ya kujihusisha na vitendo vya ugaidi inayokabili watu 17.

 

3 years ago

Habarileo

Upelelezi kesi ya Masamaki na wenzake haujakamilika

UPELELEZI wa kesi ya kuisababishia serikali hasara ya Sh bilioni 12.7 inayomkabili aliyekuwa Kamishna wa Forodha na Ushuru wa Mamlaka ya Mapato (TRA), Tiagi Masamaki na vigogo wengine wawili wa mamlaka hiyo, haujakamilika.

 

2 years ago

Michuzi

Kesi ya Kaburu na Aveva, Upelelezi bado haujakamilika

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeihirisha Kesi ya utakatishaji fedha inayomkabili Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na makamu wake, Geofrey Nyange maarufu Kaburu hadi August 16 mwaka huu kwa sababu upelelezi haujakamilika.

Kesi hiyo ilitajwa leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Godfrey Mwambapa na wakili wa serikali, Elia Athanas ambaye amedai upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika, hivyo anaomba ipangiwe tarehe nyingine.

Hakimu Mwambapa alikubali maombi ya wakili wa Serikali Athanas na...

 

2 years ago

Michuzi

UPELELEZI WA KESI YA RAIS WA SIMBA NA MAKAMU WAKE HAUJAKAMILIKA.

Rais wa Simba, Evans Aveva na makamu wake, Geofrey Nyange 'Kaburu'  wakitoka katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kesi  inayowakabili ya utakatishaji fedha na kugushi kuahirishwa hadi Oktoba 11,2017 kwaajili ya upelelezi kutokukamilika. 
Evans Aveva na makamu wake, Geofrey wanakabiliwa na mashtaka matano ya kughushi, kuwasilisha nyaraka ya uongo na kutakatisha Dola za kimarekani 300,000.

 

2 years ago

Michuzi

UPELELEZI WA KESI YA KUSAMBAZA TAARIFA ZA UONGO BADO HAUJAKAMILIKA

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamiiMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imeelezwa kuwa, upelelezi dhidi ya kesi ya kusambaza taarifa za uongo kupitia mtandao wa kijamii  wa Face book kuhusu mazungumzo kati ya Serikali na wawakilishi wa kampuni ya Acacia, inayomkabili Mkazi wa Chato Geita, Obadia Kiko bado haujakamilika.
Wakili wa Serikali, Adolf Mkini amesema hayo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri kesi hiyo ilipokuja kwa kutajwa.
Baada ya kutolewa kwa maelezo hayo, kesi hiyo...

 

1 year ago

Michuzi

UPELELEZI KESI YA MAUAJI MKURUGENZI WA PALMS BADO HAUJAKAMILIKA

Na Karama Kenyunko, Globu ya Jamii
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa, upelelezi wa kesi ya mauji ya Mkurugenzi na Mwanzilishi mwenza wa Shirika lisilo la kiserikali la Palms Foundation, Wayne Lotter inayowakabili watuhumiwa nane bado haujakamilika.
Wakili wa Serikali, Adolf Mkini ameeleza hayo leo mapema mbele Hakimu Mkazi Mkuu Wilbard Mashauri wakati kesi hiyo ilipokuja kwa kutajwa. Upelelezi bado haujakamilika
Aidha Mahakama ilielezwa na mshtakiwa Rahma Almas  kuwa mshtakiwa Mohammed...

 

2 years ago

Bongo5

Kesi ya Wema Sepetu upelelezi haujakamilika, imeahirishwa mpaka Machi 15

Malkia wa filamu Wema Sepetu Jumatano hii alirudi Mahakamani baada ya kuachiwa kwa dhamana kwenye sakata la dawa za kulevya.

Wema Sepetu akiwa na Martin Kadinda

Kesi hiyo imeahirishwa baada ya upande wa mashtaka kusema upelelezi haujakamilika hivyo kesi hiyo imepangwa kusikilizwa 15 March 2017.

Muigizaji huyo ni mmoja kati ya wasanii ambao walitajwa kwenye list ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda yawatuhumiwa wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya.

Katika upelelezi wa awali...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani