Upelelezi kesi ya ‘Mpemba’ wakamilika

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa upelelezi wa kesi ya kujihusisha na mtandao wa kihalifu na kukutwa na nyara za Serikali zenye thamani ya zaidi ya Sh 785 milioni inayomkabili Mpemba aliyetajwa na Rais John Magufuli, Yusuf Ali Yusuf na wenzake umekamilika na kesi imeahirishwa hadi Januari 24,2017.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mwananchi

Upelelezi kesi ya Gwajima wakamilika

Upelelezi wa kesi zinazomkabili, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na wenzake watatu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, umekamilika.

 

4 years ago

Michuzi

UPELELEZI KESI YA MBASHA WAKAMILIKA

Na Mwene Said wa Globu ya Jamii MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, imeambiwa kwamba upelelezi wa kesi ya ubakaji inayomkabili Msanii Emmanuel Mbasha (32) - pichani - na mume wa Mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, umekamilika.  Hatua hiyo imefikiwa leo mbele ya Hakimu Mkazi Mh. Wilberforce Luago aliyepangiwa kusikiliza kesi hiyo.  Wakili wa Serikali Nassoro Katuga alidai kuwa kesi hiyo ilipangwa kutajwa jana na kwamba upelelezi wake umekamilika. “Mheshimiwa kwa kuwa...

 

4 years ago

Tanzania Daima

Upelelezi kesi ya Madabida wakamilika

UPANDE wa Jamhuri katika kesi ya kusambaza dawa za kupunguza makali ya ukimwi (ARVs) inayomkabili  Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake...

 

1 year ago

Michuzi

Upelelezi kesi ya Wema wakamilika.

Na Karama Kinyunko.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa kesi ya kukutwa na bhangi inayomkabili Msanii maarufu nchini wa filamu, Wema Isaack Sepetu (28) na wenzake wawili umekamilika.
 Wakili wa Serikali, Onolina Moshi aliyaeleza hayo leo  mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kutajwa. 
Mheshimiwa, kesi hii leo imekuja kwa ajili ya kutajwa lakini upelelezi umekamilika naomba ahirisho kwa ajili ya kuwasomea washtakiwa maelezo ya awali (PH)....

 

1 year ago

Michuzi

Upelelezi kesi ya Masogange wakamilika.

Na Karama Kenyunko,blogu ya jamii.

Baada ya mahakama kutoa hati ya kukamatwa Video Queen Agnes Gerald maarufu kama Masogange (28) kwa kushindwa kutoka mahakamani mara kadhaa, hatimae leo amejisalimisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Mapema mwezi uliopita, mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ilitoa amri ya kukamatwq kwa mshtakiwa Masogange kwa kushindwa kuhudhuria mahakamani mara mbili katika kesi ya dawa za kulevya inayomkabili.

Hatua hiyo ya kutaka kukamatwa kwa Masogange ...

 

3 years ago

Mtanzania

Upelelezi kesi ya Mchungaji Gwajima wakamilika

gwajimaNA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
UPELELEZI wa kesi inayomkabili Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Mchungaji Josephat Gwajima na wenzake watatu umekamilika na kesi inatarajiwa kuanza usikilizwaji wa awali Julai 2, mwaka huu.
Wakili wa Serikali Mwandamizi, Shadrack Kimaro aliifahamisha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana wakati kesi hiyo ilipokuwa inatajwa.
Mbele ya Hakimu Mkazi Hellen Riwa, Kimaro alidai kesi ilikuwa inatajwa, lakini upelelezi wa kesi hiyo umekamilika hivyo aliomba tarehe...

 

2 years ago

Mwananchi

Upelelezi wakamilika kesi ya kina Kubenea

Dar es Salaam. Upelelezi wa kesi ya kumjeruhi Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresa Mmbando inayowakabili Saed Kubenea, Halima Mdee, Mwita  Waitara na wengine watatu, umekamilika.

 

2 years ago

Habarileo

Upelelezi kesi ya wabunge Chadema wakamilika

UPELELEZI wa kesi ya kumjeruhi Katibu Tawala wa jiji la Dar es Salaam, Theresia Mbando inayowakabili wabunge watatu wa Chadema, akiwemo wa Ubungo, Saed Kubenea, umekamilika.

 

2 years ago

Mtanzania

UPELELEZI KESI YA KUBAKA WANAFUNZI WAKAMILIKA

criminal-law

NA MANENO SELANYIKA-DAR ES SALAAM

UPELELEZI wa kesi ya kubaka na udhalilishaji inayowakabili wanafunzi tisa kutoka Shule ya St. Maria, Salome iliyopo Boko Jijini Dar es Salaam umekamilika.

Wanafunzi hao wenye umri kati ya miaka 15 na 21wanatuhumiwa kwa kosa la kumbaka na kumtomasa mwezao (jina limehifadhiwa) wakati walipokuwa katika maeneo ya shule hiyo.

Shauri hilo lilitajwa jana mbele ya Hakimu Iz- Haq Kuppa, Wakili wa Serikali Joseph Nasua, alidai mahakamani hapo kwamba shtaka hilo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani