Upelelezi wakwamisha kesi ya Kitilya

KESI ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya na wenzake, imeahirishwa hadi Januari 20 mwaka huu kutokana na upelelezi kutokamilika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 months ago

Michuzi

UDHURU WA MAWAKILI WA UTETEZI WAKWAMISHA KESI YA KITILYA

Na Mwene Said, Globu ya Jamii.Upande wa utetezi, katika rufani ya kesi inayomkabili Kamishna wa zamani wa  Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya na wenzake wanaokabiliwa na mashtaka ya kujipatia Dola za Marekani million sita, leo uliomba kuahirisha kusikilizwa rufani hiyo baada ya mawakili wawili kuwa na udhuru ikiwamo ugonjwa.
Dk. Masumbuko Lamwai alitoa maombi hayo leo mbele ya Jaji Edson Mkasimongwa aliyepangiwa kusikilizwa rufani ya kuondolewa shtaka la kutakatisha fedha pamoja...

 

10 months ago

Mwananchi

Upelelezi wakwamisha kesi ya kubaka

Mahakama ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara imeshindwa kusikiliza kesi ya kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 13, inayomkabili mkazi wa Kijiji cha Magange wilayani Serengeti, Chacha Kisamo (35) kutokana na upelelezi kutokamilika.

 

4 months ago

Habarileo

Upelelezi wakwamisha kesi ya ‘Ndama mtoto wa Ng’ombe’

UPELELEZI katika kesi ya utakatishaji fedha Sh bilioni 1.8 inayomkabili mfanyabiashara Ndama Hussein (44) maarufu kama ‘Ndama mtoto wa Ng’ombe’, haujakamilika.

 

6 months ago

Mtanzania

Mawakili watakiwa kuharakisha upelelezi kesi ya kina Kitilya

img_1299

Na MANENO SELANYIKA –DAR ES SALAAM

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewataka mawakili wa Serikali kuharakisha upelelezi wa kesi inayomkabili Kamishna Mkuu wa zamani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitlya na wenzake.

Kesi hiyo ilitajwa jana mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Syprian Mkeha, upande wa Serikali ulikuwa ukiongozwa na Wakili wa Serikali Mkuu, Mutalemwa Kishenyi, wakati utetezi ukisimamiwa na Alex Mgongolwa.

Kishenyi alidai mahakamani hapo kuwa upelelezi wa kesi hiyo bado...

 

2 months ago

Michuzi

UPELELEZI KESI YA KITILYA WASUBIRI USHAHIDI KUTOKA ULAYA


Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.


Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa upelelezi uliokuwa ukifanywa ndani ya nchi ya Tanzania katika kesi ya uhujumu uchumi dhidi ya Kamishna Mkuu Mstaafu wa TRA, Harry Kitilya na wenzake umekamilika.

Hayo yameelezwa na wakili wa Jamuhuri Estazia Wilson mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Cyprian Mkeha kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kutajwa.

Hata hivyo Wakili Wilson amedai kuwa huyo bado wanasubiri upepelelezi unaofanywa nje ya nchi ambao bado...

 

4 months ago

Mwananchi

Upelelezi wawakwamisha kina Kitilya

Upelelezi wa kesi inayomkabili Harry Kitilya na wenzake wawili, Shose Sinare na Sioi Solomon katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu bado haujakamilika.

 

6 months ago

Mwananchi

Ukata wakwamisha kesi ya Barlow

Ukata umekwamisha kesi ya mauaji ya aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, marehemu Liberatus Barlow.

 

1 year ago

Mtanzania

Kesi ya Kitilya ngoma mbichi

KitilyaNa Veronica Romwald, Dar es Salaam

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kuandaa maamuzi ya kuondoa shtaka la nane la utakatishaji fedha linalomkabili Kamishna Mkuu mstaafu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya.

Kitilya anakabiliwa na shtaka hilo pamoja na waliokuwa wafanyakazi wa Benki ya Stanbic Tanzania, Sioi Sumari na Shose Sinare, wanaotuhumiwa kughushi na kutakatisha Dola milioni sita.

Washtakiwa hao waliiomba mahakama kuwaondolea shtaka la nane linalowazuia kupata...

 

2 years ago

Mwananchi

Mawakili wakwamisha kesi ya Ponda kusikilizwa

Kesi inayomkabili katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Shekh Ponda Issa Ponda jana ilishindikana kusikilizwa, huku mawakili wa pande mbili za mashtaka na utetezi wakivutana kuhusu haki ya mshtakiwa kupewa dhamana.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani