Upinzani wavalia sare za wanafunzi Kenya

Viongozi wa upinzani nchini Kenya wamevalia mavazi yanayofanana na sare za wanafunzi wakiitaka serikali kulipa walimu nyongeza ya mishahara.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

BBCSwahili

Mwalimu mkuu anayevaa sare ya wanafunzi shuleni Kenya

Mwalimu mkuu wa mojawapo ya shule bora nchini Kenya anavaa sare ya wanafunzi shuleni Jumatatu na Ijumaa. Sababu? 'mimi ndiye mwanafunzi nambari moja' anasema.

 

3 years ago

Mtanzania

Upinzani Kenya kuadhibu wabunge wao wasioandamana Kenya

John MbadiNAIROBI, KENYA

MWENYEKITI wa Chama cha upinzani cha Orange Democratic Movement (ODM), John Mbadi, amesema watawachukulia hatua za kinidhamu wabunge wanaokwepa kushiriki maandamano ya kushinikiza kuvunjwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC).

Mbadi alisema chama chake kinapanga kuwaadhibu wabunge, madiwani na wanachama wote ambao hawatashiriki maandamano ya kuwalazimisha makamishna wa IEBC kung’atuka.

Alisisitiza kuwa akiwa mwenyekiti wa kitaifa wa ODM, ana mamlaka ya kuwachukulia hatua...

 

2 years ago

Michuzi

DC SHINYANGA AKABIDHI SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro amekabidhi sare za shule kwa wanafunzi 121 wanaoishi katika mazingira magumu katika kata ya Kizumbi na Kitangili katika manispaa ya Shinyanga.
Zoezi la kukabidhi sare hizo za shule limefanyika leo Alhamis Oktoba 12,2017 katika shule ya msingi Kitangiri.Msaada huo wa sare za shule unatokana na kampeni iliyoanzishwa na mkuu huyo wa wilaya kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu katika wilaya ya Shinyanga.
Akizungumza wakati wa kukabidhi sare...

 

2 years ago

Malunde

Picha : DC SHINYANGA AKABIDHI SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro amekabidhi sare za shule kwa wanafunzi 121 wanaoishi katika mazingira magumu katika kata ya Kizumbi na Kitangili katika manispaa ya Shinyanga.
Zoezi la kukabidhi sare hizo za shule limefanyika leo Alhamis Oktoba 12,2017 katika shule ya msingi Kitangiri.
Msaada huo wa sare za shule unatokana na kampeni iliyoanzishwa na mkuu huyo wa wilaya kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu katika wilaya ya Shinyanga.
Akizungumza wakati wa kukabidhi sare...

 

3 years ago

Mtanzania

Taifa Stars, Kenya zatoka sare

taifa starsNA MWANDISHI WETU,

TIMU ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’, jana ilitoka sare ya bao 1-1 dhidi ya wenyeji wao Kenya katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa Moi Kasarani, jijini Nairobi.

Mchezo huo ulikuwa wa maandalizi kwa timu zote, kwani zinajiandaa na mechi za makundi kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON), ambapo Taifa Stars inatarajia kumenyana na Misri Juni 4, mwaka huu katika Uwanja wa Taifa,  Dar es Salaam.

Kikosi cha Taifa Stars kinachonolewa na...

 

3 years ago

Bongo5

Taifa Stars yatoka sare na Kenya

Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars May 29 2016 ilicheza mechi ya kirafiki na timu ya taifa ya Kenya, Nairobi, pasipo kuwepo nahondha wa timu hiyo Mbwana Samatta mchezo huo ulimalizika kwa sare ya kufungana bao 1-1.

Shiza-na-Atudo

Stars ilianza kupata bao lake la kwanza kupitia Elias Maguli kabla ya Victor Wanyama kuisawazishia Harambee Stars kwa mkwaju wa penati.

Maguli-na-Odhiambo (1)

Stars inajindaa na mchezo dhidi ya Misri wa kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika utakaochezwa kwenye uwanja wa taifa weekend ijayo.

Kikosi-Taifa-Stars-v-Kenya

11 months ago

Michuzi

DC SHINYANGA AKABIDHI MSAADA WA BIMA ZA AFYA, SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI 200 TAMASHA LA TVMC

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga, Josephine Matiro leo Ijumaa Juni 1,2018 amekabidhi msaada wa nguo za shule na kadi za bima ya afya kwa wanafunzi 200 wanaoishi katika mazingira magumu katika kata za Chamaguha,Ibadakuli,Kizumbi, Mwawaza na Mwamalili zilizopo katika manispaa ya Shinyanga.Msaada huo umetolewa na Shirika la lisilo la kiserikali la The Voice of Marginalized Community (TVMC) la mjini Shinyanga linalotoa huduma za kijamii kwa vijana ,watoto na wanawake na makundi...

 

11 months ago

Malunde

Picha : DC SHINYANGA AKABIDHI MSAADA WA BIMA ZA AFYA, SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI 200 TAMASHA LA TVMC

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga, Josephine Matiro leo Ijumaa Juni 1,2018 amekabidhi msaada wa nguo za shule na kadi za bima ya afya kwa wanafunzi 200 wanaoishi katika mazingira magumu katika kata za Chamaguha,Ibadakuli,Kizumbi, Mwawaza na Mwamalili zilizopo katika manispaa ya Shinyanga.
Msaada huo umetolewa na Shirika la lisilo la kiserikali la The Voice of Marginalized Community (TVMC) la mjini Shinyanga linalotoa huduma za kijamii kwa vijana ,watoto na wanawake na makundi...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Viongozi wavalia njuga ‘vimemo’

VIONGOZI wa serikali za vijiji vya Kata ya Maguha na Magubike, mkoani Morogoro, wameazimia kusambaratisha na kukomesha migogoro ya ardhi kwa kuvifikisha mahakamani vikaratasi vyote vya kugawana ardhi kwa njia...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani