Ura mabingwa wa Mapinduzi cup

Timu ya Ura ya Uganda imetwaa ubingwa wa michuno ya Mapinduzi kwa msimu wa 2016 kwa kuichapa Mtibwa, mabao 3-1.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwanaspoti

Mapinduzi Cup, Gor, URA zimoooo

MABINGWA wa Soka wa Kenya, Gor Mahia wamealikwa kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi 2017 inayotarajiwa kufanyika kati ya Januari 1-13 mwakani, itakayoshirikisha pia timu za Zanzibar na Tanzania Bara.

 

3 years ago

TheCitizen

Mapinduzi Cup attracts Uganda’s giant URA

Uganda Revenue Authority (URA) Football Club have named a contingent of 24 people ahead of the Mapinduzi Cup tournament scheduled to kick start tomorrow in Zanzibar.

 

3 years ago

Bongo5

URA ya Uganda yachukua ubingwa wa Mapinduzi Cup

????????????????????????????????????

Timu ya URA ya Uganda imetwaa ubingwa wa michuano ya Mapinduzi Cup kwa msimu wa 2016 kwa kuifunga timu ya Mtibwa Sugar, mabao 3-1.

????????????????????????????????????

URA walianza kupata goli lao la kwanza kupitia Julius Ntambi aliyeunganisha mpira wa krosi na goli hilo kudumu mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika.

????????????????????????????????????

Katika kipindi cha pili timu hiyo ikaongeza mabao mengine mawili kupitia kwa Peter Lwasa katika dakika ya 85 jingine dakika ya 88 akimalizia pasi ya Julius Ntambi na kuwahakishia ubingwa.

Jaffar Salum aliifungia...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Goli lililoivua Ubingwa URA ya Uganda Mapinduzi Cup 2017

screen-shot-2017-01-09-at-2-18-06-am

Usiku wa January 8 timu ya URA ya Uganda ambao ndio Mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi walicheza dhidi ya Taifa Jang’ombe katika mchezo ambao walikuwa wanahitaji ushindi ili kusonga mbele, URA walijikuta wakivuliwa Ubingwa baada ya Mohamed Said kuifungiwa Taifa goli 1-0 dakika ya 64 kwa mkwaju wa penati. VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 […]

The post VIDEO: Goli lililoivua Ubingwa URA ya Uganda Mapinduzi Cup 2017 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Cheki video ya magoli ya fainali ya Mapinduzi Cup URA Vs Mtibwa, Full Time 3-1

Usiku wa January 13 katika dimba la Amaan visiwani Zanziibar ulipigwa mchezo wa fainali ya 10 ya Kombe la Mapinduzi kwa kuzikutanisha timu za URA ya Uganda dhidi ya Mtibwa Sugar ya Tanzania. Mchezo uliochezwa na Mtibwa Sugar ikiwa katika ardhi yake ya nyumbani ilikubali kipigo cha goli 3-1 kutoka kwa URA ya Uganda. Mtu wangu […]

The post Cheki video ya magoli ya fainali ya Mapinduzi Cup URA Vs Mtibwa, Full Time 3-1 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mabingwa wa kombe la mapinduzi URA wathibitisha kushiriki kombe hilo

Mabingwa watetezi wa kombe la Mapinduzi timu ya URA kutokea nchini Uganda imekuwa timu ya kwanza kuthibitisha kushiriki mashindano hayo ambayo yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi lake mapema mwezi January mwakani.

Afisa habari wa ZFA Ali Bakar “Cheupe” amethibitisha kupokea barua ya mtendaji mkuu wa Shirikisho la mpira wa miguu nchini Uganda kutoka kwa katibu wa klabu hiyo Edward Kulubya iliyokubali mabingwa hao kuja kushiriki mashindano hayo.

“Ni kweli tumepokea barua kutoka FUFA ambayo...

 

3 years ago

MillardAyo

Cheki Video ya magoli na mikwaju ya penati ya mchezo wa nusu fainali, Yanga Vs URA Mapinduzi cup 2016

Usiku wa January 10 katika dimba la Amaan visiwani Zanzibar ulipigwa mchezo wa pili wa nusu fainali kwa kuzikutanisha timu za Dar Es Salaam Young African dhidi ya URA ya Uganda. Huu ulikuwa ni mchezo wa kuamua ni timu ipi kati ya hizo itacheza fainali na Mtibwa Sugar January 13. Mchezo ulimalizika kwa sare ya […]

The post Cheki Video ya magoli na mikwaju ya penati ya mchezo wa nusu fainali, Yanga Vs URA Mapinduzi cup 2016 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

Dewji Blog

Mapinduzi Cup: Simba yavuliwa ubingwa na Mtibwa, fainali Mtibwa vs URA, Januari 13

_MG_4183

Picha kwa hisani ya Zanzinews.com

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Nusu fainali ya Kombe ya Mapinduzi ilifanyika jana kwa michezo miwili kupingwa ambapo nusu fainali ya kwanza ilikuwa kati ya Simba na Mtibwa Sugar na nusu fainali ya pili ikawa kati ya Yanga na URA ya Uganda.

Mchezo wa nusu fainali ya kwanza ulimalizika kwa Mtibwa kuibuka na ushindi wa goli moja kwa bila, goli lililofungwa na kiungo wa timu hiyo, Ibrahim Rajab katika dakika ya 45 ya mchezo huo.

Baada ya kipigo hicho, rasmi Simba SC...

 

2 years ago

MillardAyo

Simba imelazimishwa na Mabingwa watetezi wa Mapinduzi Cup

screen-shot-2017-01-05-at-11-46-17-pm

Wekundu wa Msimbazi Simba leo wameshuka uwanjani kucheza dhidi ya URA ya Uganda katika mchezo wake wa tatu wa Kundi A wa Kombe la Mapinduzi, Simba waliingia kucheza dhidi ya URA wakiwa wameshinda michezo yao miwili ya mwanzo. Wakati Simba wakiingia uwanjani wakiwa na kumbukumbu ya ushindi katika mchezo wao wa mwisho, URA wao waliingia […]

The post Simba imelazimishwa na Mabingwa watetezi wa Mapinduzi Cup appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani