URA YAIZIMA SIMBA, YAIFUNGA 1-0

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Amri Kiemba (katikati),  akiwatoka  mabeki wa timu ya URA ya Uganda  katika mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. URA imeshinda 1-0. (Picha na Francis Dande)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Kombe la Mapinduzi: Jang’ombe boys yaizima URA

Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup imeendelea kwenye uwanja wa Amani visiwani Zanzibar kwa mabingwa watetezi wa kombe hilo URA kukubali kichapo

Jang’ombe Boys imekuwa timu ya pili kutoka Zanzibar kupata ushindi kwenye michuano ya Mapinduzi Cup 2017.

Boys wameifunga URA FC ya Uganda kwa magoli 2-1 na kuchukua pointi tatu muhimu ikiwa ni mechi ya pili kwa timu hizo zilizopangwa Kundi A.

Magoli ya Jang’ombe Boys yamefungwa na Khamis Mussa ‘Rais’ dakika ya 16 na 31 wakati Labama Bogota akifunga...

 

2 years ago

Dewji Blog

URA yashinda Kombe la Mapinduzi, yaifunga Mtibwa 3-1

ura

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Klabu ya URA ya Uganda (pichani) imefanikiwa kushinda Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Mtibwa Sugar magoli 3 kwa 1 katika mchezo wa fainali uliochezwa katika uwanja wa Amaan uliopo visiwani Zanzibar.

Magoli ya URL katika ushindi huo yalifungwa na Julias Ntambi na Peter Lwasa aliyefunga magoli mawili huku goli la kufutia machozi la Mtibwa likifungwa na Jaffar Salum.

Baada ya ushindi huo URL imefanikiwa kushinda kikombe na zawadi ya Milioni 10 kutoka kwa waandaji...

 

1 year ago

Mwananchi

Simba yaizima Yanga Zanzibar

Penalti nne zimetosha kuifanya Timu ya Simba kuingia fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuicharaza Yanga iliyoambulia mbili.

 

3 years ago

Michuzi

Simba yaifunga Azam FC 2-1

 Mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano 'Messi" akishangilia kwa staili ya aina yake baada ya kuipatia timu yake bao la pili.
Beki wa Azam FC, Agrey Moris akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.  Raha ya ushindi. 
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

4 years ago

TheCitizen

Simba take on URA in friendly duel

>Simba SC square off against Uganda Revenue Authority (URA) in a friendly match scheduled for the National Stadium this evening.

 

4 years ago

GPL

Simba rasmi wateja wa URA

Kikosi cha timu ya Simba. Na Martha Mboma
WIKI moja kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara, Kocha wa Simba, Patrick Phiri, amepata changamoto ya kwanza baada ya kukutana na kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa URA ya Uganda katika mechi ya kirafiki iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, jana. Simba ambayo imekuwa ‘bize’ kuunda kikosi chao baada ya kutokuwa na mwelekeo mzuri kwa misimu miwili iliyopita, ilishindwa kuonyesha ubabe...

 

2 years ago

Mtanzania

Simba yashindwa kuitambia URA

Pg 32

Na THERESIA GASPER-DAR ES SALAAM

TIMU ya Simba imetoka sare ya kufungana bao 1-1 na timu ya URA katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa, uliochezwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Timu hizo zilianza mchezo kwa kushambuliana kwa zamu huku kila mmoja akitafuta nafasi ya kushinda.

Katika mchezo huo, URA walianza kuifunga Simba katika dakika ya 19 kupitia kwa Nkugwa Elkanah, baada ya kupokea pasi kutoka kwa Kagimu Shafiq.

Bao hilo liliishtua safu ya ushambuliaji ya Simba inayonolewa na...

 

1 year ago

Habarileo

Simba mikononi mwa URA

KIKOSI cha Simba kitashuka dimbani leo katika mchezo wa kuwania kucheza nusu fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya mabingwa watetezi timu ya Mamlaka ya Mapato Uganda (URA).

 

3 years ago

Michuzi

SIMBA YAIFUNGA COASTAL UNIO 1-0

 Said Ndemla akiwatoka wachezaji wa Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo ambapo katika mchezoa huo Simba iliibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Hamis Kiiza. (Picha na Francis Dande) Peter Mwalyanzi wa Simba akienda chini.  Wachezaji wa Simba wakishangilia bao pekee lililofungwa na mshambuliaji wa timu hiyo, Hamis Kiiza (katikati) dhidi ya Coastal Union ya Tanga wakati wa mchezo wa Ligi Kuu...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani