Urusi yafungiwa kushiriki michezo ya Olimpiki

Kamati ya kimataifa ya Olimpiki, imeifungia nchi ya urusi kushiriki michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi itayofanyika katika jiji la Pyeongchang nchini Korea kusini mwakani.

Rais wa IOC Thomas Bach na bodi yake walitangaza adhabu hiyo jana jioni baada ya kukutana katika mji wa Lausanne nchini Switzerland, maamuzi hayo yamefikiwa baada ya uchunguzi wa miezi kumi na saba.

Serikali ya Urusi ilihusika katika udanganyifu wa kuanda michuano ya olimpiki iliyofanyika nchini humo mwaka 2014 pamoja...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Urusi yafungiwa kushiriki michezo ya Olimpiki 2016 huko Brazil

Wanariadha wa Urusi hawatashiriki michezo ya Olimpiki ya mwaka huu huko Brazil.

Kauli hiyo imeafikiwa na mahakama ya juu ya michezo ambayo imefutilia mbali rufaa iliyowasilishwa na kamati ya olimpiki ya Urusi ROC ya kuitaka ibatilishe uamuzi wa shirikisho la riadha duniani IAAF wa kuwapiga marufuku wanariadha wake

160719054611_rio_flag_russia_flag_624x351_afp

wote wasishiriki michezo ya olimpiki itakayoandaliwa jijini Rio De Jenairo Brazil kuanzia mwezi ujao.

IAAF ilifikia uamuzi huo baada ya ufichuzi kuwa serikali ya Urusi ilikuwa na...

 

11 months ago

BBCSwahili

Urusi yafungiwa kushiriki michuano ya olimpiki

Kamati ya kimataifa ya Olimpiki, imeifungia nchi ya urusi kushiriki michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi itayofanyika katika jiji la Pyeongchang nchini Korea kusini mwakani.

 

2 years ago

BBCSwahili

Urusi yafungiwa kushiriki Paralympic mwezi ujao

Kamati ya kimataifa ya Paralympic imeifungia Urusi kushiriki michezo ya mwezi ujao mjini Rio, Brazil kwasababu ya wanamichezo wake wamehusika katika ya matumizi ya dawa za kusisimua misuli.

 

2 years ago

Bongo5

Urusi yazuiwa kushiriki kwenye Olimpiki ya walemavu

Kamati ya michuano ya Olimpiki ya walemavu, Paralympic, Jumapili hii imeizuia Urusi kushiriki kwenye michuano ijayo ya Olimpiki kwa kudaiwa kukiuka sheria za matumizi ya dawa za kuongeza nguvu.

putin-mutko-1180

Hatua hiyo ilitangazwa na rais wa kamati hiyo, Philip Craven aliyeitupia lawama serikali ya Urusi kwa kuwaponza wana michezo wake. Alidai kukerwa na tabia ya Urusi kufikiria zaidi juu ya kushinda medali na si kufuata maadili.

Waziri wa michezo wa Urusi, Vitaly Mutko aliliambia shirika la habari la...

 

2 years ago

BBCSwahili

Urusi haitashiriki michezo ya Olimpiki

Wanariadha wa Urusi hawatashiriki michezo ya Olimpiki ya mwaka huu huko Brazil baada ya mahakama ya rufaa ya michezo kufutilia mbali rufaa dhidi ya marufuku ya IAAF

 

2 years ago

BBCSwahili

Urusi yajibu baada ya kufungiwa kushiriki michezo ya Paralympics

Urusi Imejibu kwa kauli nzito maamuzi ya mahakama moja ya kupiga marufuku ushiriki wa wanamichezo walemavu kutoka nchini Urusi , sababu kubwa ikitajwa kuwa ni utumizi wa dawa za kusisimua misuli na masharti waliyoyaweka na wadhamini.

 

3 years ago

Mtanzania

Urusi yafungiwa kusajili wachezaji wa Uturuki

071214-13-SOCCER-Vitaly-Mutko-OB-PI.vadapt.620.high.94MOSCOW, URUSI

KLABU za nchini Urusi zimefungiwa kufanya usajili kwa wachezaji wa nchini Uturuki kuanzia Januari mwakani kutokana na migogoro ya kisiasa.

Nchi hizi mbili zimekuwa na migogoro ya kisiasa, ambapo wiki iliyopita ndege ya kivita ya nchini Urusi ililipuliwa na jeshi la nchini Uturuki kwenye mpaka wa Syria, Novemba 24 mwaka huu na kuua rubani mmoja huku mwingine akiwa salama.

Waziri wa Michezo nchini Urusi, Vitaly Mutko, aliliambia gazeti la R-Sport new la nchini humo kwamba, hakuna...

 

2 years ago

Mtanzania

Warrinka ajitoa kushiriki Olimpiki

Stan WawrinkaZURICH, USWISI

NYOTA wa mchezo wa tenisi nchini Uswisi, Stan Wawrinka, amejiondoa kushiriki michuano ya Olimpiki ambayo inatarajia kuanza kutimua vumbi kesho nchini Brazil.

Mchezaji huyo ambaye anashika nafasi ya nne kwa ubora wa tenisi kwa upande wa wanaume duniani, amejiondoa kushiriki mashindano hayo makubwa duniani baada ya kupata majeraha katika michuano ya Rogers Cup iliyofanyika huko Toronto nchini Canada.

Nyota huyu aliondolewa katika hatua ya nusu fainali baada ya kufungwa na Kei...

 

2 years ago

VOASwahili

Malawi kushiriki Olimpiki ya 2020

Malawi imeelekeza macho yake kwenye michezo ya Olimpiki ya 2020 wakati ikizindua zoezi la kuwatafuta wasichana wadogo wenye kipaji cha kucheza mpira wa miguu.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani