USHAHIDI KESI YA ZITTO KABWE WAENDELEA KUTOLEWA


Na Karama Kenyunko, Globu ya jamii.
SHAHIDI wa pili katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa analichukia jeshi la polisi kuanzia siku alipoona video  kwenye mtandao wa kijamii wa you tube ikimuonyesha Zitto Kabwe  akielezea polisi wanavyowatendea ukatili raia.

Shahidi huyo Mashaka Juma ambaye ni msanii wa filamu, akiongozwa na Wakili wa serikali Mkuu Tumaini Kweka kutoa ushahidi wake, amedai, Oktoba 29,2018 huko...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Ushahidi kesi ya Wema Sepetu wakwama kutolewa

Dar es Salaam. Kesi ya kukutwa na dawa za kulevya inayomkabili Wema Sepetu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirishwa hadi Julai 10.

 

2 years ago

Bongo5

Picha: Ushahidi kesi ya malkia wa meno ya tembo waendelea Kisutu Dar

Kesi inayomkabili raia wa China, Yang Feng Glan (66) maarufu kama Malkia wa tembo imeendelea tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam ambapo Ijumaa hii ushahidi juu ya kesi hiyo ukiendelea kutolewa.

Malkia wa meno ya tembo akiingia mahakamani

Kesi hiyo inasikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi chini ya wakili wa serikali Kishenyi Mutalemwa na wakili wa utetezi,Masumbuko Lamwai.

Mtuhumiwa huyo akiwa na wenzake wawili anatuhumiwa kwa kufanya biashara ya...

 

5 years ago

GPL

ZITTO KABWE ASHINDA HUKUMU YA KESI YAKE

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo imetoa hukumu ya kesi ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe ambapo imempa kinga ya muda kutojadiliwa uanachama wa ke na Kamati Kuu ya…

 

2 years ago

Malunde

ZITTO KABWE AACHIWA KWA DHAMANA KESI YA MAKOSA YA MTANDAO NA SHERIA YA TAKWIMU

Mbunge wa Kigoma Mjini na kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameachiwa huru kwa dhamana na kutakiwa kuripoti siku ya Jumanne saa tatu asubuhi kwa Mkurugenzi wa upelelezi wa Makosa ya jinai (DCI) jijini Dar es Salaam.

Mwanasheria wa Zitto Kabwe amesema kuwa mpaka sasa mteja wake anatuhumiwa kwa makosa mawili tofauti likiwepo kuchapisha taarifa kinyume cha sheria ya mitandao lakini kosa jingine ni kutoa takwimu za uongo kinyume na kifungu cha 37 (5) cha sheria ya takwimu ya mwaka 2015 hivyo...

 

2 years ago

Malunde

ZITTO KABWE ATANGAZA KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI SHERIA YA TAKWIMU YA MWAKA 2015

Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema watafungua kesi mahakamani kupinga baadhi ya vifungu vilivyomo katika Sheria ya Takwimu ya mwaka 2015.

Akizungumza na waandishi wa habari nje ya kitengo cha upelelezi wa makosa ya kifedha kilichopo Kamata, Kariakoo jijini Dar es Salaam, Zitto amesema haiwezekani kukawa na mamlaka moja ya kutoa takwimu.

Zitto ambaye pia ni Mbunge wa Kigoma Mjini amesema tangu kutungwa kwa sheria hiyo imekuwa ikipigiwa kelele kutokana na kuminya uhuru wa wananchi...

 

5 years ago

Michuzi

Kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya Baraza la Wadhamini la CHADEMA,Dkt. Slaa kusikilizwa Julai 31

Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii, Mahakamani 
MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imepanga kusikiliza mapingamizi ya awali ya pande zote mbili katika kesi iliyofunguliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe dhidi ya Baraza la Wadhamini la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Katibu Mkuu, Willbrod Slaa, Julai 31, mwaka huu.
Mheshimiwa, Jaji John Utamwa alisema kesi ilipangwa jana kwa ajili ya kutajwa na kwamba itasikilizwa mapongamizi ya awali ya pande zote mbili...

 

2 years ago

Malunde

ZITTO KABWE KUFUNGUA KESI YA KIKATIBA DHIDI YA JESHI LA POLISI KWA KUSHIKILIA SIMU YAKE

Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe, amesema anajipanga kulifungulia kesi ya kikatiba jeshi la polisi nchini kutokana na kushikilia simu yake.

Zitto ameeleza kuwa simu yake inashikiliwa tangu Novemba 7 mwaka huu alipokamatwa kwa tuhuma za kuvunja sheria ya takwimu na sheria ya makosa ya mtandao.

“Walisema watahitaji simu hiyo kwa siku mbili tu, nilikwenda polisi KAMATA siku tatu baadaye nikaelezwa kuwa bado wanaendelea na uchunguzi. Nimerudi leo tarehe 20, Polisi wanasema bado wanahitaji simu...

 

4 years ago

Michuzi

JUST IN: MAHAKAMA KUU imeifutilia mbali kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya Kamati Kuu ya Chadema

Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam,  imeifutilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe dhidi ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya kukubali mapingamizi yaliwasilishwa na chama hicho.
Uamuzi huo umetolewa na Jaji Richard Mziray baada ya kupitia hoja za pande zote mbili kuhusu mapingamizi ya Chadema.
Mapema Saa 3:20 asubuhi Jaji Mziray alisoma uamuzi huo mbele ya wanaodaiwa kuwa wanachama huku upande...

 

3 years ago

BBCSwahili

Ushahidi wa ushawishi wa washirika wa Zuma kutolewa

Ushahidi huo unaenda sambamba na taarifa mfichuzi mmoja anayesema kuwa famili ya Gupta ina ushawishi mkubwa katika uteuzi wa nyadhfa mbalimbali serikalini

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani