USHINDI DHIDI YA YANGA, MANARA AWASHUKURU MASHABIKI

 Assalaam Aleikum.
Salaam zangu za Mei Mosi
Kwanza sote tumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma anaendelea kutupa uhai na uzima hadi siku ya leo.Hakika pumzi hii ndio inatufanya tufurahi na kuhuzunika pamoja,pia ndio inayotufanya tuweze kuandika na kusoma maandiko mbalimbali ikiwemo andishi hili dogo
Jana pale uwanja wa taifa palifanyika mechi kubwa kabisa ktk ukanda huu wa Afrika Mashariki. Simba na Yanga zote za hapa jijini Dar.
Sio vyema kurejea kuwapa matokeo ila Alhamdulillah klabu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Dewji Blog

VIDEO: Dakika 14 za Haji Manara akizungumza kuhusu ushindi wa Simba dhidi ya Yanga

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Simba, Haji Manara jumatatu ya Februari, 27 amefanya mkutano na waandishi wa habari, ikiwa ni siku mbili tangu Simba na Yanga zilizokutana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, mchezo uliomalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa goli mbili kwa moja.

Katika mkutano huo Manara alizungumza mambo mbalimbali kuhusu mchezo huo lakini pia kuwataka mashabiki wa Simba kuendelea kuisapat timu yao ili waweze kutimiza malengo ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya...

 

3 years ago

Dewji Blog

Manara ang`ata maneno kwa mashabiki wa Simba kuishangilia Yanga

Baada ya jana Jumatano Afisa Habari wa Yanga, Jerry Muro kuwaomba wapinzani wao Simba kuwashangilia katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly, wapinzani wao Simba wamezungumzia ombi hilo.

Akizungumza na E Fm katika kipindi cha E Sports, Simba kupitia kwa msemaji wake, Haji Manara wamesema wao hawawezi kuwaambia mashabiki wao kuwashangalia Yanga au kuacha kuwashangilia.

Manara amesema mashabiki wa Simba wataenda uwanjani kuangalia mpira kama mashabiki wengine na maamuzi ya...

 

2 years ago

Michuzi

MWAMUZI ALITUNYIMA PENATI MBILI DHIDI YA YANGA - MANARA

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Hajji Sunday Manara akitoa lawama kwa mwamuzi Hery Sasii katika 
mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Yanga SC uliomalizika kwa sare ya 1-1 Jumamosi Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

KLABU ya Simbe imelalamika kunyimwa penalti mbili na refa Hery Sasii katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Yanga SC uliomalizika kwa sare ya 1-1 Jumamosi Uwanja wa Uhuru, Dar es...

 

1 year ago

Michuzi

TUNAAMINI WAAMUZI WATENDA HAKI MECHI YETU DHIDI YA YANGA-HAJJI MANARA

Uongozi wa klabu ya Simba umesema unaamini kabisa waamuzi wa mechi yao dhidi ya Yanga Jumapili, watatenda haki.

Klabu hiyo kupitia kwa Afisa habari wao, Haji Manara amesema hawatawalalamikia waamuzi kabla lakini wanaamini kikubwa ni haki na zaidi waamuzi wengi ni vijana na wanajua maana ya mchezo wa haki.


“Waamuzi watakaocheza tunaamini watafuata sheria 17 za soka kwa ajili ya kufanya haki itendeke,” alisema.
Manara amesema kuwa mpaka sasa kikosi chao hakina majeruhi hata mmoja kikosini...

 

1 year ago

Michuzi

MRITHI WA ALLY YANGA ANENA BAADA YA USHINDI WA YANGA SC DHIDI YA AZAM FC

Yanga SC iliibuka na ushindi wa bao 2 - 1 dhidi ya Azam FC, mchezo wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara uliopigwa katika Uwanja wa Chamazi jijini Dar es Salaam.

 

3 years ago

MillardAyo

Baada ya ushindi wa Yanga dhidi ya Simba hii ndio taarifa mpya kutoka Yanga iliyotolewa leo Feb 22

DSC_0003

Baada ya ushindi wa Yanga wa goli 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa uwanja wa Taifa Dar Es Salaam Jumamosi ya February 20, uwanja wa Taifa Dar Es Salaam dhidi ya watani zao wa jadi klabu ya Simba, klabu hiyo imetoa taarifa ya mipango yao mipya kuelekea mchezo wake wa FA Cup dhidi ya […]

The post Baada ya ushindi wa Yanga dhidi ya Simba hii ndio taarifa mpya kutoka Yanga iliyotolewa leo Feb 22 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

4 years ago

Mwananchi

Wachezaji, mashabiki wakitimiza wajibu, ushindi Yanga utapatikana

Timu ya Yanga, leo itaingia kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kucheza na Etoile du Sahel ya Tunisia katika mechi ya kwanza ya hatua ya 16 bora ya mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani