Ushindi wa Simba dhidi ya Mgambo JKT umeisaidia kuisogelea Yanga kileleni, Matokeo ya mechi za VPL Feb 3

DSC_0602

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena leo February 3 kwa michezo mitatu kupigwa katika viwanja tofauti tofauti Tanzania, klabu ya Dar Es Salaam Young Africans ilikuwa mgeni wa klabu ya Tanzania Prisons uwanja wa Sokoine Mbeya, wakati watani zao wa jadi Simba walikuwa wenyeji wa Mgambo JKT uwanja wa Taifa Dar Es Salaam. Simba […]

The post Ushindi wa Simba dhidi ya Mgambo JKT umeisaidia kuisogelea Yanga kileleni, Matokeo ya mechi za VPL Feb 3 appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Huu ni ushindi wa Yanga dhidi ya Mgambo JKT leo April 27 2016

20160427_182544

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena leo April 27 2016 kwa michezo miwili kupigwa katika viwanja vya Chamazi na Taifa, uwanja wa Chamzi Azam FC walicheza dhidi ya Majimaji FC ya Songea, wakati uwanja wa Taifa Yanga waliwakaribisha Mgambo JKT ya Tanga. Kwa upande wa Yanga bado wao wanaonesha hawataki mchezo wa kutegemea matokeo […]

The post Huu ni ushindi wa Yanga dhidi ya Mgambo JKT leo April 27 2016 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

Simba wadhibitiwa na JKT Ruvu Taifa, matokeo ya mechi za VPL za leo August 27

IMG_0532

Ligi Kuu soka Tanzania bara msimu wa 2016/2017 round ya pili imeendelea leo August 27 kwa michezo kuchezwa katika viwanja mbalimbali Tanzania, moja kati ya mchezo uliochezwa leo ni pamoja na JKT Ruvu dhidi ya Simba SC ambao walikuwa wenyeji wa mchezo huo uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Simba ambao walicheza mchezo wao wa […]

The post Simba wadhibitiwa na JKT Ruvu Taifa, matokeo ya mechi za VPL za leo August 27 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Baada ya ushindi wa Yanga dhidi ya Simba hii ndio taarifa mpya kutoka Yanga iliyotolewa leo Feb 22

DSC_0003

Baada ya ushindi wa Yanga wa goli 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa uwanja wa Taifa Dar Es Salaam Jumamosi ya February 20, uwanja wa Taifa Dar Es Salaam dhidi ya watani zao wa jadi klabu ya Simba, klabu hiyo imetoa taarifa ya mipango yao mipya kuelekea mchezo wake wa FA Cup dhidi ya […]

The post Baada ya ushindi wa Yanga dhidi ya Simba hii ndio taarifa mpya kutoka Yanga iliyotolewa leo Feb 22 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

Jionee video ya magoli ya Simba vs Mgambo JKT Feb 3 2016.. Full Time 5-1

cover

Ni mechi ya iliyochezwa February 3 2016 kwenye uwanja wa taifa Dar es salaam ambapo magoli ya Simba yalifungwa na Kiiza dakika ya 5, 85, Mwinyi Kazimoto 45, Ajib 45, Lyanga 77 wakati goli la Mgambo JKT likifungwa na Fully Maganga dakika ya 87, ukitaka kuona magoli yenyewe tazama hii video hapa chini. Unataka kutumiwa […]

The post Jionee video ya magoli ya Simba vs Mgambo JKT Feb 3 2016.. Full Time 5-1 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

PICHA: Simba walivyobadili matokeo dhidi ya Yanga dakika 4 kabla ya mechi kuisha

img_0209

Baada ya tambo za muda mrefu zilizokuwepo kwa mashabiki wa Yanga na Simba, jioni ya October 1 2016 uwanja wa Taifa Dar es Salaam ilikuwa mwisho wa ubishi kwa mashabiki kuvutana na kutoleana maneno ya kejeli, kwani ndio siku uliochezwa mchezo wa watani wa jadi uliozikutanisha timu hizo za Kariakoo Dar es Salaam. Huu ni […]

The post PICHA: Simba walivyobadili matokeo dhidi ya Yanga dakika 4 kabla ya mechi kuisha appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Zanzibar 24

Matokeo VPL: Simba yabanwa na Jkt Ruvu Taifa, Majimaji hooi kwa Azam

SIMBA SC imelazimishwa sare ya bila kufungana na JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara janaUwanja wa Taifa, Dar es Salaam  w1

Matokeo ya mechi nyingine zilizochezwa August 27 2016

Mtibwa Sugar 2-1 Ndanda FC Azam FC 3-0 Majimaji FC Prisons 1-1 Ruvu Shooting Mbao FC 0-1 Mwadui FC Kagera Sugar 0-0 Stand United

The post Matokeo VPL: Simba yabanwa na Jkt Ruvu Taifa, Majimaji hooi kwa Azam appeared first on Zanzibar24.

 

2 years ago

Dewji Blog

Kichuya aimaliza Yanga, Simba yazidi kupaa kileleni katika msimamo wa VPL

Kama kuna majina ambayo yanatamkwa zaidi kwa sasa na mashabiki wa soka basi huwezi kuacha kulitaja jina la Shiza Kichuya ambaye anakipiga Simba Sports Club ya Dar es Salaam.

Jina la Kichuya limechukua nafasi na kuwa gumzo mjini kufuatia uwezo ambao ameonyesha katika mchezo wa wapinzani wa jadi, Simba na Yanga mara baada ya kutokea benchi na kuisaidia timu yake kusawazisha goli kisha yeye mwenyewe kufunga goli la pili na la ushindi.

Kichuya aliingia kipindi cha pili akichukua nafasi ya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani