Usichokifahamu kuhusu ‘concept’ ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘Mr Nay’

Kwa mtu ambaye tayari ameiona video mpya ya Nay Wa Mitego, ‘Mr Nay’ huenda swali la kwanza ambalo atajiuliza mara baada ya kuitazama au akipata nafasi ya kukutana na Nay atamuuliza ni ‘hiyo concept ya video, zile damu damu na ‘mask’ za kutisha, minyororo na hizo sign zote zina maana gani?’ Mara nyingi au mara […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Bongo5

Video: Tazama teaser ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘ Mr Nay’ iliyofanyika Kenya

Hivi karibuni Nay Wa Mitego aka True Boy alikwenda Kenya kushoot video ya single yake mpya ‘Mr Nay’, na habari njema ni kuwa video tayari imekamilika. Lakini habari mbaya ni kwamba Nay amekupa sekunde 15 tu za kuona teaser kwa sasa kabla hajaachia rasmi video kamili. Video ya ‘Mr Nay’ imeongozwa na director Kevin Bosco […]

 

5 years ago

Bongo5

Behind The Scenes: Utengenezaji wa video ya Nay Wa Mitego ‘Mr Nay’ nchini Kenya

Nay Wa Mitego ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania walioamua kwenda kufanya video nje mwaka huu, na hii ikiwa ni mara yake ya pili kufanyia video nchini Kenya. Hii ni video ya behind the scenes ya wakati wa utengenezaji wa video ya ‘Mr Nay’ iliyofanyika Nairobi, Kenya wiki chache zilizopita na kuongozwa na director Kevin […]

 

3 years ago

MillardAyo

Siwema, mama mtoto wa Nay wa Mitego kapata kifungo cha nje, Nay kaeleza..(+Video)

NAY 22233

Stori inayochukua headlines 88.1 (Mwanza) kuhusu Mama mtoto wa Nay wa Mitego, Siwema kutumikia kifungo cha nje, sasa Ayo TV imempata Nay wa Mitego kueleza taarifa hizo za mzazi mwenza. ‘Tulikuwa tunapambana jinsi ya kumsaidia mpaka amepata kifungo cha nje, na kuna vitu ambavyo hatakiwi kufanya katika jamii kama kupigana  au kusafiri nje ya mkoa […]

The post Siwema, mama mtoto wa Nay wa Mitego kapata kifungo cha nje, Nay kaeleza..(+Video) appeared first on MillardAyo.Com.

 

5 years ago

GPL

2 years ago

Zanzibar 24

VIDEO MPYA: Nay wa Mitego – WAPO

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nay wa Mitego ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la WAPO.

Nay wa Mitego alipitiachangamoto kadhaa baada ya kuachia wimbo huo kwa kudaiwa kua haukua na maadili napia kufungiwa na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA).

Baada ya Siku moja  Rais Dkt Magufuli aliagiza wimbo huo ufunguliwe kwani yeye binafsi ameupenda wimbo huo, huku akimshauri Nay auboreshe.

Tazama video ya WAPO hapa.

The post VIDEO MPYA: Nay wa Mitego – WAPO appeared first on...

 

5 years ago

Bongo5

New video: Nay Wa Mitego — Mr Nay

Msanii Wa Hip Hop nchini, Nay Wa Mitego ameachia video yake mpya ‘Mr Nay’ iliyoongozwa na Kevin Bosco Jnr wa Decent Media nchini Kenya. Itazame

 

3 years ago

Bongo5

Ngoma mpya ya Nay wa Mitego itakuwa na video 4 za waongozaji tofauti

Rapper Nay wa Mitego amesema wimbo wake mpya unaotoka wiki ijayo utakuwa na video nne tofauti.

13534588_1330225616991713_622410319_n

Amesema video hizo zitatoka kwa awamu.

“Video ya kwanza nadhani itakuwa inashutiwa na director Jowzeey, video ya pili itashutiwa na Travellah na madirector wengine ambao watakuwa na idea zao kutokana na wimbo wenyewe,” Nay amemwambia mtangazaji wa Jembe FM, JJ.

“Kitakachokuwa kinafuata ni remix ya ngoma hii, ni ngoma ambayo itakuwa endelevu na kubwa. Inaweza kuwa kubwa kuliko ngoma zangu zote...

 

2 years ago

MillardAyo

VideoMPYA: Nay wa Mitego katuletea hii video mpya ‘Sijiwezi’

w211

Ni Headlines za msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego ambae leo Dec 15, 2016 ameachia video ya single yake mpya iitwayo ‘Sijiwezi’. Unaweza ukaitazama hapa kisha usisahau kutuandikia comment yako ili mkali huyo akipita hapa aone maoni kutoka kwa watu wake. ULIIKOSA HII YA MWANA FA NYIMBO 3 ANAZOZIKUBALI ZA WASANII WENGINE KWA MWAKA […]

The post VideoMPYA: Nay wa Mitego katuletea hii video mpya ‘Sijiwezi’ appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO MPYA: Nay wa Mitego kaachia na video ya ‘shika adabu yako’ nimekuwekea hapa

Top 10 red 3d realistic paper speech bubble isolated on white

Nay wa Mitego amekutana na headlines baada ya kuutoa akiwa kawachana baadhi ya mastaa wa Tanzania, ukishaitazama hii video unaweza kuacha comment umeionaje idea au chochote kingine ulichonacho ili ajue mashabiki wanasemaje. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu […]

The post VIDEO MPYA: Nay wa Mitego kaachia na video ya ‘shika adabu yako’ nimekuwekea hapa appeared first on...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani