Usisahau kuwa kocha wa Genk kampa dakika 75 Samatta leo, ushindi wao huko hapa

sama 2

Usiku wa April 20 2016 kocha wa KRC Genk Emilio Ferrara Patricio kaendelea kumuamini na kumpa nafasi ya kuanza katika first eleven yake nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania anayeichezea klabu hiyo Mbwana Samatta, Patricio amempa nafasi Samatta ya kuanza mchezo wa pili mfululizo. Licha ya kuwa KRC Genk walikuwa nyumbani katika uwanja wao […]

The post Usisahau kuwa kocha wa Genk kampa dakika 75 Samatta leo, ushindi wao huko hapa appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

MillardAyo

Usisahau kuwa KRC Genk inayochezewa na Samatta imecheza Europa League leo

Usiku wa February 16 2017 ilikuwa ni siku ya kihistoria tena kwa mtanzania Mbwana Samatta ambapo akiwa na KRC Genk alipata nafasi ya kucheza mchezo wa 32 bora wa Europa League ugenini dhidi ya FC Astra ya Romania hiyo ikiwa ni mara yake ya kwanza kucheza hatua hiyo. Katika mchezo huo uliyochezwa Romania, KRC Genk wakiwa […]

The post Usisahau kuwa KRC Genk inayochezewa na Samatta imecheza Europa League leo appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Genk yaibuka na ushindi dhidi ya Athletic Bilbao, Samatta akitimiza dakika 126

ynlktkqturbxy9lmzg0nzvmndcxzgrhndk3yzblm2q2mtgxmjcxyji4zs5qcgvnk5udagrndadnbsctbc0dfm0bvjuh2tivchvsc2ntcy9nrefflze0mgixy2zln2ywywm1mmvkyzaxmgq3mdk3ogu4ngjllnbuzwdcaa

Usiku wa October 20 2016 klabu ya KRC Genk inayochezewa na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta ilishuka katika uwanja wake wa Luminus Arena kucheza  mchezo wake wa tatu wa Europa League dhidi ya Athletic Bilbao ya Hispania. KRC Genk ambao tayari walikuwa wanaongoza msimamo wa Kundi F kwa tofauti […]

The post VIDEO: Genk yaibuka na ushindi dhidi ya Athletic Bilbao, Samatta akitimiza dakika 126 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Mbwana Samatta kafikisha dakika 60 za kuichezea KRC Genk, video yake ya jana uwanjani ninayo hapa

covfr

Mshambuliaji na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta February 20 2016 ametimiza jumla ya dakika 60 za kuitumikia klabu yake ya sasa ya KRC Genk ya Ubelgiji, ambayo alijiunga nayo mapema mwezi January mwaka huu akitokea TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Samatta ambaye amekuwa akiingia akitokea benchi katika mechi […]

The post Mbwana Samatta kafikisha dakika 60 za kuichezea KRC Genk, video yake ya jana uwanjani ninayo hapa appeared first on TZA_MillardAyo.

 

1 year ago

MillardAyo

Ushindi wa KRC Genk bila uwepo wa aliyekuwa kocha wao mkuu Peter Maes

850-x-520-jpg_1482864820

Jumanne ya December 27 2016 timu ya KRC Genk inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta ilishuka uwanjani kucheza mchezo wake wa Ligi Kuu Ubelgiji katika uwanja wake wa Luminus Arena dhidi ya KAA Gent ikiwa chini ya kocha wao msaidizi. KRC Genk ambao kwa sasa wataanza kufundishwa na kocha msaidizi wa zamani wa Man United Albert Stuivenberg, wamefanikiwa kuwafunga […]

The post Ushindi wa KRC Genk bila uwepo wa aliyekuwa kocha wao mkuu Peter Maes appeared first on...

 

2 years ago

MillardAyo

Kocha wa KRC Genk alimwambia Samatta hatompanga, Samatta kaeleza katika hii video kocha alivyobadili mawazo …

Screenshot_2016-02-08-01-20-34-1

Jumamosi ya February 6 ilikuwa ni siku ya kihistoria na furaha kwa nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta kucheza mechi yake ya kwanza akiwa na klabu yake ya KRC Genk ya Ubelgiji, Samatta ambaye amejiunga na KRC Genk akitokea TP Mazembe, alicheza  mechi yake ya kwanza Jumamosi ya February 6 dhidi […]

The post Kocha wa KRC Genk alimwambia Samatta hatompanga, Samatta kaeleza katika hii video kocha alivyobadili mawazo … appeared first on...

 

1 year ago

MillardAyo

Usisahau kuwa Azam FC wamecheza mchezo wao wa kwanza Mapinduzi Cup leo Jan 1

img-20170102-wa0000

January 2 2017 mchezo wa kwanza wa Kundi B lenye timu za Zimamoto, Azam FC, Yanga na Jamhuri Kombe la Mapinduzi 2017 ndio ulichezwa, mchezo wa kwanza wa Kundi B leo ulikuwa unawakutanisha Mabingwa mara mbili wa michuano hiyo Azam FC dhidi ya Zimamoto. Mchezo umepigwa katika uwanja wa Amaan Zanzibar wakati ambao Azam FC […]

The post Usisahau kuwa Azam FC wamecheza mchezo wao wa kwanza Mapinduzi Cup leo Jan 1 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Samatta kaipatia ushindi mwingine timu yake ya KRC Genk leo

SAMAAAA

Baada ya mtanzania Mbwana Samatta kuingoza timu yake ya KRC Genk kicheza mchezo wa kwanza wa round ya mwisho wa kuwania kufuzu hatu ya Makundi ya UEFA Europa League dhidi ya Lokomotiva ya Croatia na mchezo kumalizika kwa sare ya goli 2-2.     August 21 2016 alishuka dimbani    kucheza mchezo wao wa nne […]

The post Samatta kaipatia ushindi mwingine timu yake ya KRC Genk leo appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Ushindi mwingine wa KRC Genk ya Samatta Europa League leo July 28 2016

krc-cork-jpg_1469732403

Usiku wa July 28 klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji inayochezewa na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta ilishuka tena dimbani kucheza mchezo wake wa kwanza wa round ya pili wa kuwania kucheza hatua ya makndi ya Kombe la UEFA Europa League dhidi ya Cork City ya Ireland. Mchezo wa […]

The post Ushindi mwingine wa KRC Genk ya Samatta Europa League leo July 28 2016 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Usisahau kuwa Yanga imecheza leo dhidi ya Kagera Sugar, matokeo ninayo hapa

DSC_0097

Michezo ya viporo ya Ligi Kuu soka Tanzania bara imepigwa leo kwa vilabu vya Azam FC na Yanga kucheza michezo yao ambayo awali ilikuwa imehairishwa kutokana na kuingiliana na michezo yao ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, lakini na michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa upande wa Yanga. Yanga walikuwa uwanja wa Taifa Dar […]

The post Usisahau kuwa Yanga imecheza leo dhidi ya Kagera Sugar, matokeo ninayo hapa appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani