UTALII WA BALOON WAWA KIVUTIO KIKUBWA KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI

Baloon ikijazwa hewa kabla ya kuanza safari ya Utalii.Rubani wa Baloon Masoud Mohamed akiruhusu gesi kwa ajili ya kuchoma Oxygen wakati wakiandaa Baloon kwa ajili ya kuanza safari ya utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Seengeti.Baadhi ya Wageni wakifurahia jambo na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti,William Mwakilema walipokuwa wamepanda Baloon kuzunguka katika maeneo mbalimbali ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.Rubani wa Baloon Masoud Mohamed akiongoza chombo hicho kupita maeneo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Michuzi

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, PROF. JUMANNE MAGHEMBE AMEWAPOKEA MABILIONEA 28 KUTOKA MABARA YOTE DUNIANI KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI

Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe amewapokea Mabilionea 26 wa taasisi ya Young Presidents Organisation  (YPO) wakiwa na wenza wao katika Hifadhi ya Taifa  Serengeti kwa ajili ya kutembelea vivutio vya utalii katika ziara yao ya siku 3 nchini Tanzania.
Mabilionea hao ambao wanatoka katika mabara yote duniani wapo nchini Tanzania kama sehemu ya ziara yao katika nchi 8 duniani ikiwemo Uingereza, Rwanda, Maldives, Nepal, Bhutan na Rajastan.
Katika hafla ya Chakula cha jioni...

 

5 months ago

CCM Blog

KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YALIDHISHWA NA AINA MPYA ZA UTALII ZILIZOANZISHWA KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA ZIWA MANYARA

 Mbunge wa Mtama ambaye ni  Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Nape  Nnauye akiwa  kwenye  ‘’canopy walkawaya’ ambayo aina mpya ya shughuli ya utalii  ya kutembea juu miti kwa kutumia kamba wakati kamati hiyo ilipotembelea jana katika  Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara
 Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi  (kulia) akiwa pamoja na Meneja wa Mawasiliano wa Shirika la  Hifadhi za Taifa, Paschal Shelutete wakipatiwa maelezo kutoka kwa ...

 

4 years ago

Dewji Blog

Dar Es Salaam kuwa kivutio kikubwa cha wawekezaji na utalii miaka michache ijayo

2

Pichani ni Jengo litakalojengwa jijini Dar es salaam na litagharimu Dola za kimarekani milioni 77,kutakuwa na hoteli ya hadhi ya Nyota Tano, Ofisi za Biashara, kutakuwa na Sehemu ya kuegesha magari, jengo hili litatakuwa kivutio kwa Wawekezaji na Utalii.(23 Juni 2014).

3

Baadhi Malori na Vifaa vingine vya kutendea kazi vikiwa tayari kuahiria ujenzi huu unaanza mara moja baada ya zoezi la uwekaji wa jiwe la msingi kukamilika.

1

Mama Maria Nyerere akiwasili kwenye sherehe ya uwekaji jiwe la...

 

2 years ago

Channelten

4 years ago

Mwananchi

Kivutio kipya cha utalii Serengeti

Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ndiyo hifadhi kongwe hapa nchini. Hii ndiyo yenye umaarufu mkubwa ndani na nje ya bara la Afrika.

 

4 years ago

Michuzi

MVUA YAHARIBU SEHEMU YA BARABARA KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI

Lori la kubeba kifusi kwa ajili ya ukarabati wa barabara iliyopo katika hifadhi ya serengeti likiwa limekwama baada ya kunasa kwenye tope na kufunga barabara kwa muda. Magari yaliyokuwa na watalii yalilazimika kuchepuka na kuendelea na safari. Zikafanyika jitihada za kulinasua hilo gari kutoka katika eneo hilo . Barabara iko kwenye matengenezo. Hatimaye gari lilifanikiwa kutoka sehemu lilipokuwa limenasa. Safari ikaendelea kwa watumiaji wa mabasi yaendayo Musoma na...

 

10 months ago

Michuzi

WAZIRI MHAGAMA AZITAKA HIFADHI ZA TAIFA KUTUMIA WASANII KATIKA KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII

 Na Pamela Mollel-Arusha 
WAZIRI wa Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Jenista Mhagama
amezitaka hifadhi za taifa nchini kuendelea kuwatumia wasanii nchini
katika kutangaza vivutio mbalimbali vinavyopatikana huku akiipongeza
Mamlaka ya hifadhi za taifa Ngorongoro inavyotangaza vivutio vyake
kupitia msanii Mrisho Mpoto.

Kauli hiyo aliitoa hivi karibuni jijini Arusha alipotembelea banda la Mamlaka ya hifadhi Ngorongoro katika maonesho ya Nanenane.

Alisema kuwa wasanii wananafasi kubwa...

 

3 months ago

Michuzi

JENGO MAMLAKA YA HIFADHI NGORONGORO KIVUTIO CHA KIHISTORIA UTOAJI HUDUMA ZA UTALII JIJINI ARUSHA
Na Hamza Temba - WMU
........................................................
JENGO la kitega uchumi la Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro jijini Arusha ambalo ujenzi wake unatarajiwa kukamilika mwezi juni mwaka huu litakuwa kivutio cha kihistoria cha utoaji wa huduma za utalii hapa nchini.
Hayo yameelezwa jana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla muda mfupi baada ya kukagua jengo hilo ambalo linasemekana kuwa refu kuliko majengo yote jijini Arusha likiwa na jumla ya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani