Utani wa Jerry Muro: Bora Simba mmeshinda, mlivyo watata mngeweza hata kuvunja muungano

Baada ya klabu ya Yanga kuambulia kichapo cha penati nne kwa mbili katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la Mapinduzi Jumanne hii, aliyekuwa afisa habari wa klabu ya Young Africans Jerry Muro ambaye kwa sasa bado anatumikia adhabu ya kufungiwa na TFF, amewatupia dongo watani wake wa klabu ya Simba.

Mashabiki wa Klabu ya Simba amekuwa wakitaniwa mara kwa mara na mashabiki wa Yanga baada ya kufanya tukio la kuvunja viti katika uwanja wa Taifa wakati wa kicheza na watani wao wajadi Yanga.

Muro amerusha kijembe hicho kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram kwa kuandika ‘Sikilizeni nyinyi…Bora hata Simba mmeshinda, maana mlivyo watata mngeweza hata vunja Muungano’

Watani hao wa jadi wanatarajiwa kukutana tena katika mzunguko wa pili wa ligi kuu wa Tanzania bara ambayo sasa hivi imesimama kwa muda kupisha michuano ya kombe la Mapinduzi.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

MillardAyo

Utani wa Manara kuhusu Jerry Muro kupungua kilo 4 kwa kufungiwa (+ video)

Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano ya Simba Haji Manara leo January 27 2017 kuelekea mchezo wao wa Simba dhidi ya Azam FC ametumia muda huo pia kumuombea msamaha msemaji wa Yanga Jerry Muro huku akitania kuwa amepungua kilo nne toka afungiwe. “Nimemuona kusema kweli rafiki yangu Jerry Zanzibar tulikuwa nae, mimi namuomba Rais […]

The post Utani wa Manara kuhusu Jerry Muro kupungua kilo 4 kwa kufungiwa (+ video) appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Malalamiko ya Simba kuhusu matusi ya Jerry Muro

DSC_0717

February 25 mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Haji Manara ameingia kwenye headlines baada ya kuamua kuweka wazi lililo moyoni mwake na kumtuhumu afisa habari wa klabu ya Dar Es Salaam Young African Jerry Muro kuwa anawatolea maneno ya kashfa na matusi viongozi wa Yanga. Manara ameingia kwenye headlines baada ya […]

The post Malalamiko ya Simba kuhusu matusi ya Jerry Muro appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

Dewji Blog

Jerry Muro awakaribisha mashabiki wa Simba kuishabikia Yanga

Mchezo wa pili wa Shirikisho la Afrika wa Yanga ambayo inataraji kuwa mwenyeji wa TP Mazembe katika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam umetangazwa kuwa ni bure kwa mashabiki wa soka ili waweze kushangilia kwa wingi na kuisapoti timu hiyo.

Taarifa za kiingilio kuwa bure katika mchezo huo zilitolewa na Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro na kueleza kuwa wamemua kuwapa mashabiki wa soka nchini nafasi ya kutizama mchezo huo ili kuishabiki Yanga ambao ndiyo wawakilishi...

 

1 year ago

MillardAyo

Jerry Muro kayaandika haya baada ya Simba kuwafunga…..

muro

Simba na Yanga ni miongoni mwa timu kubwa za mpira Afrika Mashariki ambazo kwa historia ya mpira inasemekena ndio timu zenye upinzani mkubwa hasa zinapokutana uwanjani,January 10 2017 timu hizi zilikutana tena uwanja wa Shekh Amri Abeid kwenye kombe la Mapinduzi na kutoa matokeo ya penalt 4-2. Aliyekua msemaji wa Yanga ambaye kwa sasa anatumikia adhabu yake aliyopewa […]

The post Jerry Muro kayaandika haya baada ya Simba kuwafunga….. appeared first on...

 

12 months ago

MillardAyo

Jerry Muro baada ya Haji Manara wa Simba kufungiwa na TFF

Saa kadhaa baada ya shirikisho la soka Tanzania TFF kupitia kamati ya nidhamu ya TFF kutangaza kumfungia mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Simba Haji Manara kwa utovu wa nidhamu na kukutwa na makosa matatu. Afisa habari wa zamani wa Yanga ambaye nae alifungiwa mwaka mmoja Jerry Muro ametumia ukurasa wake wa instagram […]

The post Jerry Muro baada ya Haji Manara wa Simba kufungiwa na TFF appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Dakika mbili za majibu ya Jerry Muro kwa wanaosema amewatukana Simba

CcFGtKZW4AE4SGV

Baada ya mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Haji Manara kumtuhumu afisa habari wa Yanga kuwatukana Simba na viongozi wake, Amplifaya ya Clouds FM ilimtafuta afisa habari wa Yanga Jerry Muro ili aweke sawa habari hizo kwa upande wake? “Kama kuna mtu anaona kauli  zangu hazijamtendea haki, mimi nimshauri tu kuna […]

The post Dakika mbili za majibu ya Jerry Muro kwa wanaosema amewatukana Simba appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

StarTV

Jerry Muro awataka mashabiki wa Simba kwenda kuishabikia Yanga Jumanne

muro

Mchezo wa pili wa Shirikisho la Afrika wa Yanga ambayo inataraji kuwa mwenyeji wa TP Mazembe katika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam umetangazwa kuwa ni bure kwa mashabiki wa soka ili waweze kushangilia kwa wingi na kuisapoti timu hiyo.

Taarifa za kiingilio kuwa bure katika mchezo huo zilitolewa na Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro na kueleza kuwa wamemua kuwapa mashabiki wa soka nchini nafasi ya kutizama mchezo huo ili kuishabiki Yanga ambao ndiyo wawakilishi...

 

2 years ago

MillardAyo

Dakika 6 za Jerry Muro akiwajibu wanaosema Yanga kabebwa na refa katika mechi dhidi ya Simba

????????????????????????????????????

Jumamosi ya February 20 ulipigwa mchezo wenye upinzani na historia kubwa katika nchi hii, hiyo ndio siku ambayo ulipigwa mchezo wa Simba na Yanga, huu ulikuwa mchezo wa marudiano wa Ligi Kuu Tanzania bara, mchezo ambao ulimalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Simba. Lakini kuna baadhi ya mashabiki wa Simba […]

The post Dakika 6 za Jerry Muro akiwajibu wanaosema Yanga kabebwa na refa katika mechi dhidi ya Simba appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani