UTENGENEZAJI WA VIDEO YA WIMBO WA "KIPI SIJASIKIA" WA PROF JAY NA DIAMOND UNAENDELEA CHINI YA NEXT LEVEL

 Msanii mkongwe kwenye game la Bongo Fleva anajulikana kwa jina la Prof Jay leo mchana alikuwa akishoot video yake mpya aliyomshirikisha Diamond inaitwa KIPI SIJASIKIA. Video hiyo iliyokuwa ikishutiwa pale Sinza Makaburini ilipo Mahakama. Video imesimamiwa wa Dir Adam Juma kutoka Next Level Diamond kama wakili wa Profesa JKwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GPL

MAANDALIZI YA VIDEO YA PROF FT DIAMOND - KIPI SIJASIKIA

Msanii mkongwe kwenye muziki wa Bongo Fleva, Joseph Haule 'Prof Jay' jana alikuwa akishoot video yake mpya aliyomshirikisha staa Diamond Platnumz inaitwa KIPI SIJASIKIA. Video hiyo iliyokuwa ikichukuliwa pale Sinza Makaburini ilipo Mahakama. Video imesimamiwa wa Adam Juma kutoka Next Level.…

 

5 years ago

Bongo5

Video Teaser: Kionjo cha video mpya ya Professor Jay ‘Kipi Sijasikia’ (HD)

Joseph Haule aka Professor Jay yuko mbioni kuachia video ya single yake ‘Kipi Sijaskia’ aliyomshirikisha Diamond Platnumz. Hiki ni kionjo cha video hiyo ambayo imeongozwa na Adam Juma wa Visual Lab: Next Level.

 

5 years ago

Bongo5

Picha:Professor Jay aanza ku-shoot video ya ‘Kipi Sijasikia’ ,P-Funk kuwa hakimu

Msanii wa muziki wa Hip Hop Professor Jay ameanza ku-shoot video ya wimbo ‘Kipi Sijasika’ ambao amemshirikisha msanii Diamond. Professor Jay akiwa na pingu mkononi na P-Funk akiwa kwenye vazi la hakimu Katika picha ambazo zimetoka hivi punde zimemuonyesha prodyuza mkongwe wa muziki nchini P-Funk Majani akiwa na vazi la hakimu wa mahakama huku Professor […]

 

5 years ago

Bongo5

Wewe ni shabiki wa professor Jay? Atoa mwaliko kwa anayetaka kutokea kwenye video ya ‘Kipi Sijasikia’ Jumamosi hii (July 12)

Rapper mkongwe Professor Jay anatarajia kushoot video ya single yake ya sasa ‘Kipi Sijasikia’ aliyomshirikisha Diamond Platnumz weekend hii. Kupitia Instagram Jay ametoa mwaliko kwa shabiki wake yeyote atakayependa kuonekana kwenye video hiyo itakayoanza kurekodiwa Jumamosi hii (July 12). “KINGS and QUEENS wote Mnakaribishwa kwenye Video shooting ya KIPI SIJASIKIA, MUHIMU; Vigezo na Masharti Kuzingatiwa!!!” […]

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani