UTEUZI WA MKURUGENZI WA MAENDELEO YA MICHEZO


Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw.Yusuph Singo Omari

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 week ago

Bongo5

Nape Nnauye amemteuwa Mkurugenzi mpya wa Idara ya Maendeleo ya Michezo

Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye, Jumatano hii amemteuwa Yusuph Singo Omari kuwa Mkurugenzi wa idara ya maendeleo ya michezo akichukuwa nafasi ya Leonard Thadeo aliyehamishiwa katika wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.

Awali Singo alikuwa ni mkufunzi mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Ardhi katika masuala ya michezo. Uteuzi huo umefanywa kwa mujibu wa sheria ya utumishi wa umma ya mwaka 2002 katika kifungu 6(1)(b) pamoja na kifungu namba 8 ya sheria hiyo.

Soma...

 

1 week ago

CCM Blog

NAPE AMTEUA YUSUPH SINGO KUWA MKURUGENZI MPYA WA IDARA YA MAENDELEO YA MICHEZO

Dar es Salaam
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Moses Nnauye amemteua   Yusuph Singo Omari kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo  kujaza nafasi iliyo achwa wazi na Leornad Thadeo aliyehamishiwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. 

Uteuzi huo umefanyika kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma ya mwaka 2002 kifungu namba 6, kifungu (1)(b) kikisomwa pamoja na kifungu namba 8 cha sheria hiyo.

Kabla ya uteuzi huo Yusuph Singo Omari alikuwa Mkufunzi Mwandamizi katika Chuo...

 

2 years ago

Dewji Blog

Masahihisho katika taarifa ya Uteuzi wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai na Mkurugenzi wa Intelijensia katika Jeshi la Polisi

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani  Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation).

Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa Kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Isaya J. Mngulu ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.

Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola...

 

11 months ago

Mwananchi

Waziri atengua uteuzi wa mkurugenzi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Tamisemi), George Simbachawene ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mji wa Tunduma, Halima Mpita kwa tuhuma za kutumia vibaya madaraka yake.

 

6 months ago

Global Publishers

3 months ago

Mwananchi

JPM atengua uteuzi wa mkurugenzi wa Mkinga

Siku moja baada ya kushtakiwa kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mkinga, Emmanuel Mkumbo, Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa mkurugenzi huyo kuanzia leo Jumanne.

 

11 months ago

CCM Blog

UTEUZI WA KAIMU MKURUGENZI MKUU WA NSSF WATENGULIWATAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIWaziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mheshimiwa Jenister Joakim Mhagama ametengua uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Dkt. Carina Wangwe uliotangazwa leo Jijini Dar es salaam.Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa usiku huu, imeeleza kuwa uteuzi huo umetenguliwa kutokana na kutokamilika kwa baadhi ya taratibu.Kulingana na Taarifa hiyo, uteuzi mpya kwa mujibu wa mamlaka na...

 

5 months ago

Zanzibar 24

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mkurugenzi wa Nida

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amemteua Bw. Andrew Wilson Massawe
kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).

Kabla ya uteuzi huo Bw. Andrew Wilson Massawe alikuwa Mkurugenzi wa Mifumo ya Kompyuta katika Benki Kuu Tanzania (BOT).

Andrew Wilson Massawe

 

The post Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mkurugenzi wa Nida appeared first on Zanzibar24.

 

9 months ago

Global Publishers

Rais JPM atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji TIC

Julieth Kairuki

Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji (TIC), Bi. Juliet Kairuki.

==>Rais John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji (TIC), Bi.Juliet Kairuki kwa kosa la kutokuchukua mshahara wa serikali tangu alipoajiriwa mwezi Aprili, 2013 hadi leo.

==>Iwapo atakuwa tayari kufanya kazi na serikali, Bi. Kairuki atapangiwa kazi nyingine.

===> Mchakato wa kumpata mkurugenzi mpya kuanza mara moja

Taarifa kamili hii hapa;

TIC

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani