UVCCM yamtengua Jokate Mwegelo

Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) imetengua uteuzi wa aliyekuwa Kaimu Katibu wa Hamasa na Chipukizi wa umoja huo, Jokate Mwegelo kuanzia Jumapili 25/03/2018.

Kamati hiyo iliyokutana kwa dharura mchana mjini Dodoma iliongozwa na Mwenyekiti wa umoja huo Ndg. Kheri Denis James imesema kuwa nafasi ya Jokate itajazwa hapo baadaye.

Jokate  aliteuliwa na Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi mnamo Aprili 25, 2017 kuwa Kaimu Katibu Hamasa na Chipukizi wa jumuiya hiyo.

The...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

Malunde

JOKATE MWEGELO ATUMBULIWA UVCCM


Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa CCM iliyokutana kwa dharura mchana huu chini ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Kheir Denis Jemes imetengua uteuzi wa Kaimu Katibu wa Hamasa na Chipukizi UVCCM Taifa Jokate U. Mwengelo kuanzia leo
Taarifa hiyo iliyotolewa kupitia mtandao wa twitter wa UVCCM imesema kuwa Jokate Mwegelo ametenguliwa katika nafasi hiyo ambapo amehudumu katika nafasi hiyo kwa takribani miezi 11 toka amelipoteuliwa April 2017. 
Kikao hicho kilichomtengua Jokate...

 

2 years ago

Malunde

UTEUZI WA JOKATE MWEGELO CCM WAZUA GUMZO UVCCM

Uteuzi  wa Miss Tanzania namba mbili wa mwaka 2006, Jokate Mwegelo kuwa Kaimu Katibu wa Uhamasishaji wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, unaonekana kutaka kuivuruga jumuiya hiyo.
Mjadala mkubwa umeibuka kuhusu uteuzi huo, ambapo baadhi ya wanachama na viongozi wa juu wa jumuiya hiyo wamedai kuwa haukufuata kanuni na taratibu za umoja huo.
Vyanzo vya kuaminika kutoka katika umoja huo vimedai kuwa baadhi ya viongozi wa juu wa UVCCM hawakushirikishwa katika uteuzi huo...

 

2 years ago

Michuzi

JOKATE MWEGELO ATEULIWA KUWA KAIMU KATIBU HAMASA NA CHIPUKIZI UVCCM

Ndugu zangu, vijana wenzangu wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) na vijana wote wenye mapenzi mema na chama chetu na Watanzania wote kwa ujumla.

Nitangulie kwa kuwashukuru kamati ya utekelezaji ya UVCCM TAIFA kwa kuonyesha mapenzi makubwa na imani kubwa kwangu kwa kukubali kuniteua ku-kaimu nafasi ya Katibu wa UHamasa na Chipukizi. 
Imani yenu kwangu inabaki kuwa deni na chachu ya kujitoa kwa nguvu zote, kwa akili zote kuitumikia vizuri nafasi hii. Mwenyezi Mungu anisaidie.

Pili, kama...

 

10 months ago

PulseLive Kenya (Satire)

Will Wema Sepetu take up Jokate Mwegelo's job?


Will Wema Sepetu take up Jokate Mwegelo's job?
PulseLive Kenya (satire)
Diamond's ex-girlfriend Jokate Mwegelo was recently stripped off of her job at President Magufuli's party Chama Cha Mapinduzi. Jokate was the Youth league's secretary following her appointment on 15 April 2017. Reports have it that Wema Isaac Sepetu ...

 

5 years ago

GPL

JOKATE MWEGELO AZINDUA MRADI MPYA WA KIDOTI

  Jokate Mwegelo akibadilishana mawazo na baadhi ya wafanyakazi wa saluni hiyo muda mfupi kabla ya kuzungumza na waandishi wa habari. Waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia matukio.…

 

10 months ago

Ghafla!

Diamond's ex girlfriend Jokate Mwegelo kicked out of her job


Ghafla!
Diamond's ex girlfriend Jokate Mwegelo kicked out of her job
Ghafla!
Jokate Mwegelo's last day in office ended on 25th March 2018. Diamond's ex was kicked out after she failed to meet her employer's obligations. For starters, Diamond started an affair with Jokate while he was still dating Wema Sepetu. Their relationship ...
Will Wema Sepetu take up Jokate Mwegelo's job?PulseLive Kenya (satire)

all 2

 

3 years ago

Mtanzania

Jokate Mwegelo msemaji kamati mpya Miss Tanzania

Jokate-4-600x989NA ESTHER MNYIKA

MSIMAMIZI wa mashindano ya Urembo Tanzania, ‘Miss Tanzania’, Hashimu Lundenga, ametambulisha kamati mpya ya muda inayoundwa na wajumbe 12 akiwemo Jokate Mwegelo aliyekuwa Miss Tanzania namba mbili mwaka 2006.

Mwenyekiti wa kamati hiyo ni Juma Pinto, makamu mwenyekiti, Lucas Ritta, katibu mkuu ni Doris Mollel na Joketi Mwegelo ambaye ndiye anakuwa msemaji wa kamati hiyo.

Wajumbe wengine ni Hoyce Temu, Mohamed Bawazir, Gladyz Shao, Magdalena Munisi, Shah Ramadhani, Hamm...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani