Uzembe wa dereva watajwa kuwa ndio chanzo cha ajali ya treni na basi

Masaa kadhaa yamepita tokea ajali ya basi la abiria lenye kumilikiwa na kampuni ya Prince Hamida kugongana na treni ya mizigo Mjini Kigoma, Jeshi la Polisi limebaini chanzo cha ajali hiyo kuwa kimesababishwa na uzembe wa dereva wa basi hilo kwa kushindwa kuchukua tahadhari.

Hayo yamebainishwa na Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kigoma Martin Otieno, wakati alivyokuwa akifanya mahojiano maalum ndani ya kipindi cha East Africa Drive kilichorushwa alasiri ya leo Juni 06, 2018 kutoka East...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Habarileo

Umbumbumbu watajwa chanzo cha ajali

KUKOSEKANA kwa uelewa juu ya hatari na madhara yanayoweza kusababishwa na kemikali kumetajwa kuwa ni chanzo kikubwa cha ajali mbalimbali hapa nchini.

 

2 years ago

Michuzi

RUVUMA TV: MAJERUHI WA AJALI YA BASI LA ILYANA WASIMULIA CHANZO CHA AJALI

Watu watatu wamefariki  na  28 wamejeruhiwa katika ajali ya basi la kampuni ya ILYANA yenye namba T  202 DGK , inayofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Songea Mkoani  Ruvuma

 

3 years ago

Channelten

Maafisa nchini Ujerumani wanachunguza chanzo cha ajali ya treni

_88178429_031359764 _88177085_031359481 _88174951_031358491

Maafisa nchini Ujerumani wanachunguza chanzo cha ajali ya treni iliyouwa watu wasiopungua 10 katika mji wa jimbo la kusini la Bavaria.

Aidha katika ajali hiyo watu kadhaa walijeruhiwa baada ya treni mbili za abiria zilizokuwa zinatemebelea njia moja kugongana uso kwa uso karibu na mji wa Bad Aibling Jumanne asubuhi.

Wachunguzi wanavitathmini visanduku vyeusi vya treni zote mbili kukusanya taarifa zaidi kuhusiana na chanzo cha ajali hiyo, lakini taarifa za awali zinasema huenda...

 

3 years ago

Dewji Blog

Utumiaji wa dawa za mitishamba watajwa kuwa moja ya chanzo cha ugonjwa wa Figo

Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa taarifa ya ugonjwa wa Figo ambapo katika tafiti mbalimbali zimezofanywa inaonyesha kuwa ugonjwa huo upo na unaendelea kuongezeka nchini.

Kaulimbiu ya Maadhimisho ya Siku ya Figo mwaka 2016 ni “Chukua Hatua Mapema Kuepuka Magonjwa ya Figo kwa Watoto”. Kauli mbiu hii inalenga kuhamasisha jamii juu ya matatizo ya figo yanayoikabili jamii yetu hususani watoto.

Kwa watu wazima chanzo kikubwa cha magonjwa ya figo ni ugonjwa wa...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Polisi Arusha waeleza chanzo cha vifo katika ajali ya basi la Shule ya Lucky Vicent

Ajali ya basi la Shule ya Lucky Vicent iliyotokea Mei 6, 2017 katika eneo Rhotia Marera, Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha na kusababisha vifo vya wanafunzi 32, walimu wawili na dereva mmoja vifo hivyo vingeweza kupungua kama kama basi hilo lingekuwa na mikanda na kila mmoja akaufunga kabla ya kuanza safari.

Kamanda wa Polisi Msaidizi wa Mkoa wa Arusha, Yusuf K Ilembo amesema kuwa wengi waliofariki katika ajali ile ni kutokana na kuumia ndani ya mwili kulikosababishwa na kugongana wakati ajali...

 

5 years ago

Michuzi

Jaji adai fidia ya milioni 300/= kwa ajali ya uzembe wa dereva

Jaji wa Mahakama Kuu, Grace Mwakipesile amefungua kesi ya madai ya kulipwa fidia ya Sh milioni 300 kutokana na majeraha na maumivu aliyoyapata katika ajali aliyoipata mkoani Shinyanga.
Amefungua kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu dhidi ya dereva Kamota Hassan, Michael Mosha na kampuni ya bima ya Zanzibar. Kesi hiyo itatajwa Agosti 4 mwaka huu mbele ya Hakimu Mkazi Hellen Riwa.
Katika hati ya madai, Jaji Grace anaiomba mahakama iamuru walalamikiwa hao wamlipe fedha hizo kutokana...

 

3 years ago

Bongo5

Michael Ross wa Uganda awachana Ma DJ na Mashabiki kuwa ndio chanzo cha kutosikika sana

Michael Ross

Wanamuziki huwa wanakutana na changamoto nyingi katika kazi zao, zikiwemo lawama za kutotoa kazi kwa wakati, lakini pale wanapotimiza majukumu yao bado wanakosa support kutoka kwa hao hao mashabiki.

Michael Ross

Muimbaji wa R&B kutoka Uganda, Michael Ross ameamua kabla ya kuuaga mwaka 2015 kutoa ya moyoni , na kujibu swali ambalo amekua akikutana nalo mara kwa mara la kwanini hasikiki sana kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.

Kupitia Facebook Michael ametoa majibu ya swali hilo:

“Nakutana na watu wengi...

 

2 years ago

Michuzi

MADEREVA WAHESHIMU SHERIA ZA BARABARANI KUEPUKA KUWA CHANZO CHA AJALI.

Mmoja wa wakazi wa jiji la Dar akivushwa barabara mtaa wa Samora mapema leo jijini Dar,huku moja ya gari ikivunja sheria za Barabarani bila kujali usalama wa wapita njia ama vyombo vingine vya moto,hali inayoweza kusababisha ajali.Madereva wanapaswa kuwa makini wakati wote waendeshapo vyombo vya moto ikiwemo na kuzijua njia wazipitazo kuepuka kuwa chanzo cha ajali. 

 

4 years ago

Habarileo

Ajali ya basi, treni yaua 12

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard PaulMATUKIO ya ajali za barabarani nchini yameendelea kuteketeza maisha ya Watanzania, baada ya jana watu 12 kufa papo hapo katika ajali iliyohusisha basi na treni katika makutano ya reli eneo la Kiberege, wilaya Kilombero mkoani Morogoro.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani