Vichwa 12 Yanga vyakabidhiwa Simba

YANGA bado haijajua itaweka wapi kambi yake ya mazoezi kujiandaa na msimu mpya wa mashindano, lakini katika kuhakikisha inaimaliza Simba mapema, uongozi wa juu ya klabu hiyo umeteua vichwa 12 na kuwakabidhi kazi maalumu.

Mwanaspoti

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwanaspoti

Yanga yala vichwa simba

KAMA usajili wa Simba ukikamilika freshi kwenye siku ya mwisho leo Alhamisi, inamaanisha kuwa inaweza kuwa na mabadiliko ya wachezaji wanne hadi watano katika kikosi cha kwanza kilichocheza dhidi ya Yanga, Oktoba Mosi mwaka huu.

 

2 years ago

Habarileo

Simba inakula vichwa tu

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba jana walizidi kujikita kileleni mwa msimamo baada ya kuichapa Kagera Sugar mabao 2-0 katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Simba waonyeshwa vichwa

SIMBA imeukosa ubingwa wa Ligi Kuu Bara mara ya tano sasa jambo ambalo limeonekana kuwakera mashabiki na wadau wa timu hiyo huku mshambuliaji wake wa zamani; Emmanuel Gabriel ‘Batgal’ akiweka wazi kuwa kukosa ubingwa ni uzembe wa viongozi na wachezaji wao.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Mabadiliko Simba yala vichwa 15

SIMBA ipo katika harakati za kuboresha kikosi chake kuelekea kwenye mashindano ya kimataifa mwakani, lakini wimbi hilo limepita na vichwa 15 ambavyo vimepunguzwa ili kupisha nguvu mpya.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Simba lazima ile vichwa viwili

VIBOPA wa Kamati ya Usajili ya Simba chini ya mfanyabiashara Zacharia Hanspoppe waliitazama ripoti ya benchi la ufundi chini ya Joseph Omog, wakakiri kuwa ikifanyiwa kazi, watatatwaa ubingwa kabla hata ligi haijamalizika.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Simba Pungufu yaikatalia Yanga Taifa: Ubaoni Yanga 1-1 Simba

Imewachukua Simba dakika 61 kuwarejesha mashabiki wake mchezoni kufuatia kukata tamaa baada ya Amis Tambwe kuwafungia goli Yanga dakika ya 26 goli ambalo Amis Tambwe alicheza mpira kwa mkono na baadae kufunga hali iliyoibua hasira za mashabiki wa Simba.

Shiza Ramadhan Kichuya akitambua kuwa wapo pungufu kufuatia kadi nyekundu ya nahodha Jonas Mkude na jahazi kuongozwa na Mwinyi Kazimoto alikimbilia kupiga kona iliyokwenda mojakwamoja nyavuni na kubadili matokeo, kitaaluma Kichuya alipiga In...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Yanga na Azam zirudishe vichwa uwanjani

YANGA na Azam FC ndiyo wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye mashindano ya Kimataifa. Yanga iko kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika huku Azam ambayo ndiyo klabu yenye miundombinu ghali zaidi Afrika Mashariki inacheza Kombe la Shirikisho.

 

4 years ago

Bongo Movies

Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.

Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.

Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.

Unahisi nani ataibuka kidedea...

 

4 years ago

Vijimambo

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani