Victor Wanyama na Divock Origi: Shauku kubwa kwa Wakenya Liverpool na Tottenham kufuzu fainali ya Champions League

Nyota wawili wa Kenya wanazichezea timu zitakazokutana katika fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya Juni mosi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

NI LIVERPOOL AU AS ROMA KUFUZU FAINALI YA LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA (UEFA CHAMPIONS LEAGUE)

Na Bakari Madjeshi, Globu ya Jamii
Mchezo wa Mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya kati ya Liverpool ya Uingereza dhidi ya AS Roma ya Italia unatarajiwa kupigwa leo katika dimba la Uwanja wa Stadio Olimpico mjini Rome nchini Italia.
Liverpool ilishinda bao 5 - 2 katika mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa Anfield, Roma wataitaji ushindi ule ule walioupata kwenye mchezo wao dhidi FC Barcelona wa bao 3 - 0 katika Robo Fainali ya Michuano hiyo ya Ulaya, ili kufika Fainali pale mjini...

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Tottenham yailaza ManCity Liverpool yaibwaga Porto kutinga nusu fainali Champions League

Manchester City 4-3 Tottenham Hotspur (4-4 agg): Spurs yazima ndoto ya Man City

 

5 years ago

BBCSwahili

Divock Origi asajiliwa Liverpool

Liverpool imemsajili mshaambuliaji wa Ubelgiji Divock Origi akitokea Klabu yake ya Lile aliyojiunga nayo akiwa na miaka 15.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEOFupi: Divock Origi wa Liverpool akiongea Kiswahili baada ya mechi.

Kwa wapenzi wa Soka Afrika Mashariki jina la Divock Origi haliwezi kuwa geni kwao, huyu star wa soka anayeichezea Liverpool ya Uingereza lakini asili yake ni Kenya ambako pia baba yake mzazi aliwahi kuwa mchezaji maarufu. Baada ya kumalizika kwa game kati ya Liverpool na West Ham, Divock alizungumza na mtangazaji wa BBC Salim Kikeke […]

The post VIDEOFupi: Divock Origi wa Liverpool akiongea Kiswahili baada ya mechi. appeared first on millardayo.com.

 

2 weeks ago

Michuzi

WANYAMBLIS TOTTENHAM WANA ASILIMIA KUBWA YA KUTWAA NDOO YA CHAMPIONS LEAGUE!!!


TOTTENHAM HOTSPURS imeonesha kabumbu la kuvutia sana katika Champions league ya mwaka huu na kwa hakika kuna kila dalili ya kutwaa ndoo ya Champions Lg pale Estadio Metropolitan, Madrid Juni 1, 2019.
Katika michuano hii, SPURS ilipangwa kundi gumu lililowajumuisha Barca na ilipigwa mechi 3 za mwanzo lakini ikakomaa hadi kupenya!
SPURS iliwatandika Mabingwa wa Uingereza MAN CITY ambao wao ndoo ya Champions league miaka nenda miaka rudi wanaitazamia runingani tu!. Halikuwa jambo rahisi.
SPURS...

 

1 year ago

MillardAyo

Liverpool wamehamia kwa Victor Wanyama sasa

Baada ya kuvutana kwa muda mrefu kwa club ya Liverpool na Southmpton kabla ya kukubaliana kuuziana beki Virgil van Dijk, kumekuwa na tetesi kuwa kiungo wa kimataifa wa Kenya anayecheza Tottenham Hotspurs ya London Victor Wanyama, Liverpool wameanza kufuatilia maendeleo yake. Imeripotiwa kuwa Liverpool baada ya kumsajili Naby Keita  ambaye anacheza namba nane, wanahitaji kiungo […]

 

3 years ago

BBCSwahili

Victor Wanyama ajiunga na Tottenham Hotspur

Tottenham Hotspur imekubali kumsajili kiungo wa kati wa Southampton, mkenya Victor Wanyama kwa kima cha pauni milioni 11.

 

3 years ago

Bongo5

Victor Wanyama kujiunga na Tottenham Hotspur

Mchechaji Victor Wanyama ambaye ni raia wa Kenya anakaribia kujasiliwa na klabu ya Tottenham Hotspur kwa ada ya pauni milioni 11 kiungo huyo wakati kutoka Southampton.

3300338D00000578-3648512-image-a-16_1466286467203

Inaaminika kuwa wanyama mwenye umri wa miaka 24, ambaye alijiunga na Southampton akitokea Celtic mwezi Julai mwaka 2013 kwa pauni milioni 12.5, kwa sasa anafanyiwa uchunguzi wa kiafya.
Sasa wanyama ataungana na meneja wake wa zamani Maurico Pochettino.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,...

 

3 years ago

BBC

Victor Wanyama: Tottenham Hotspur agree fee for Southampton player

Tottenham Hotspur agree a fee of £11m for Southampton midfielder Victor Wanyama, BBC Radio Solent understands.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani