VIDEO: Dakika 14 za Haji Manara akizungumza kuhusu ushindi wa Simba dhidi ya Yanga

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Simba, Haji Manara jumatatu ya Februari, 27 amefanya mkutano na waandishi wa habari, ikiwa ni siku mbili tangu Simba na Yanga zilizokutana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, mchezo uliomalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa goli mbili kwa moja.

Katika mkutano huo Manara alizungumza mambo mbalimbali kuhusu mchezo huo lakini pia kuwataka mashabiki wa Simba kuendelea kuisapat timu yao ili waweze kutimiza malengo ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

TFF yatoa huku dhidi ya msemaji wa Simba SC Haji Manara

Msemaji wa klabu ya Simba Sports Club, Haji Manara amefungiwa kujihusisha na soka nje na ndani ya mipaka ya nchi ya Tanzania kwa muda wa mwaka mmoja.

Hukumu hiyo iliyotolewa na kamati ya nidhami ya Shirikisho la Soka Nchini Tanzania (TFF) pia imemuamuru pia kulipa faini ya shilingi milioni 9.

Kamati hiyo imemfungia Haji baada ya kumkuta na hati ya makosa matatu aliyokuwa akituhumiwa nayo ya kukashifu, kudharau na kutuhumu viongozi wa TFF kinyume na kanuni ya 41, kosa la pili kuchochea chuki...

 

3 years ago

MillardAyo

Majibu ya msemaji wa Simba Haji Manara kuhusu Simba kuhusishwa kumsajili Haruna Niyonzima (+Audio)

Siku moja baada ya klabu ya Dar Es Salaam Young African kutangaza maamuzi ya kuvunja mkataba na kiungo wake wa kimataifa wa Rwanda aliyekuwa anakipiga katika klabu hiyo Haruna Niyonzima. Mengi yameanza kuandikwa na kuulizwa eti klabu ya Simba inamnyatia staa huyo wa Rwanda? Hili ndio jibu la afisa habari wa Simba Haji Manara. “Haruna […]

The post Majibu ya msemaji wa Simba Haji Manara kuhusu Simba kuhusishwa kumsajili Haruna Niyonzima (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

12 months ago

Zanzibar 24

Alichosema Haji Manara kuhusu kuondoka Simba

 

Kufuatia ujumbe tata aliopost Msemaji wa Timu ya Simba Haji Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram hapo jana usiku ambao umezua mjadala miongoni mwa watu, mapema leo  May 2, 2018 Haji Manara, amewatoa hofu mashabiki wa Simba kwa kuweka wazi kuwa hana mpango wa kuondoka katika timu hiyo.

Kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Instagram, Manara amesema kuwa “Siondoki Simba na naomba muelewe hvyo..ninafanya kazi sehemu sahihi na wakati sahihi….rafiki zangu na washabiki wa klabu muelewe...

 

2 years ago

Dewji Blog

AUDIO: Haji Manara azungumza kuhusu MO Dewji na mabadiliko yanayofanyika Simba

Mwishoni mwa wiki iliyopita zilienea habari katika mitandao ya kijamii kuwa Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa MeTL Group, Mohammed Dewji na Yusuph Manji wote kwa pamoja wamesitisha mipango ya kuwekeza katika klabu za Simba na Yanga.

Afisa Habari wa Simba, Haji Manara amezungumza na kipindi cha Sports Xtra cha Clouds Fm kwa upande Simba jinsi ambavyo wamelipokea jambo hilo na kusema kuwa kama klabu haina taarifa na hilo halina ukweli kwani kila kitu kinaendelea kama kilivyopangwa.

“Nimesikia...

 

12 months ago

Michuzi

USHINDI DHIDI YA YANGA, MANARA AWASHUKURU MASHABIKI

 Assalaam Aleikum.
Salaam zangu za Mei Mosi
Kwanza sote tumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma anaendelea kutupa uhai na uzima hadi siku ya leo.Hakika pumzi hii ndio inatufanya tufurahi na kuhuzunika pamoja,pia ndio inayotufanya tuweze kuandika na kusoma maandiko mbalimbali ikiwemo andishi hili dogo
Jana pale uwanja wa taifa palifanyika mechi kubwa kabisa ktk ukanda huu wa Afrika Mashariki. Simba na Yanga zote za hapa jijini Dar.
Sio vyema kurejea kuwapa matokeo ila Alhamdulillah klabu...

 

2 years ago

Global Publishers

GLOBAL TV ONLINE -LIVE: Baada ya Simba Kuiadhibu Yanga, Msikie Haji Manara Akifunguka

The post GLOBAL TV ONLINE -LIVE: Baada ya Simba Kuiadhibu Yanga, Msikie Haji Manara Akifunguka appeared first on Global Publishers.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani