VIDEO: Goli la Domayo lililoipeleka Azam FC fainali Mapinduzi Cup 2017

whatsapp-image-2017-01-10-at-19-52-33

January 10 2017 Azam FC walishuka dimba kucheza mchezo wao wa nusu fainali dhidi ya Taifa Jang’ombe katika uwanja wa Amaan, Azam FC ambao wanakumbukumbu ya kupata ushindi mnono wa goli 4-0 dhidi ya Yanga mchezo uliyopita, leo wametinga fainali kwa ushindi wa goli 1-0. VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4

The post VIDEO: Goli la Domayo lililoipeleka Azam FC fainali Mapinduzi Cup 2017 appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

MillardAyo

PICHA: Frank Domayo ameipeleka Azam FC fainali Mapinduzi Cup 2017

whatsapp-image-2017-01-10-at-19-51-57

January 10 2017 Azam FC walishuka dimba kucheza mchezo wao wa nusu fainali dhidi ya Taifa Jang’ombe katika uwanja wa Amaan, Azam FC ambao wanakumbukumbu ya kupata ushindi mnono wa goli 4-0 dhidi ya Yanga mchezo uliyopita, leo wametinga fainali kwa ushindi wa goli 1-0. Ushindi wa Azam FC uliyowapeleka fainali ya michuano ya Mapinduzi […]

The post PICHA: Frank Domayo ameipeleka Azam FC fainali Mapinduzi Cup 2017 appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

MillardAyo

VIDEO: Goli za Mavugo zinazoikutanisha Simba vs Yanga nusu fainali Mapinduzi Cup 2017

screen-shot-2017-01-09-at-1-34-41-am

January 8 2017 Simba walicheza mchezo wao wa mwisho wa Kombe la Mapinduzi 2017 hatua ya makundi dhidi ya Jang’ombe Boys katika uwanja wa Amaan Zanzibar, huo ulikuwa ni mchezo muhimu kwa Simba ambaye alifanikiwa kupata ushindi wa goli 2-0, magoli yakifungwa na Laudit Mavugo dakika ya 12 na 54. VIDEO: Yanga vs Azam FC January […]

The post VIDEO: Goli za Mavugo zinazoikutanisha Simba vs Yanga nusu fainali Mapinduzi Cup 2017 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Video ya goli la Mtibwa Sugar Vs Simba nusu fainali ya Mapinduzi Cup 2016, Full Time 1-0 ..

Klabu ya Simba SC January 10 ilikuwa timu ya kwanza kuaga mashindano ya Kombe la Mapinduzi katika hatua ya nusu fainali dhidi ya Mtibwa Sugar, baada ya Simba kushindwa kusawazisha goli la Mtibwa lililofungwa na Ibrahim Jeba dakika ya 45, hivyo huo ndio ukawa mwisho wa safari yao katika michuano hiyo baada ya mchezo kumalizika […]

The post Video ya goli la Mtibwa Sugar Vs Simba nusu fainali ya Mapinduzi Cup 2016, Full Time 1-0 .. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

1 year ago

MillardAyo

VIDEO: Goli lililoivua Ubingwa URA ya Uganda Mapinduzi Cup 2017

screen-shot-2017-01-09-at-2-18-06-am

Usiku wa January 8 timu ya URA ya Uganda ambao ndio Mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi walicheza dhidi ya Taifa Jang’ombe katika mchezo ambao walikuwa wanahitaji ushindi ili kusonga mbele, URA walijikuta wakivuliwa Ubingwa baada ya Mohamed Said kuifungiwa Taifa goli 1-0 dakika ya 64 kwa mkwaju wa penati. VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 […]

The post VIDEO: Goli lililoivua Ubingwa URA ya Uganda Mapinduzi Cup 2017 appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

MillardAyo

VIDEO: Goli la Mzamiru lililoiweka Simba kileleni Mapinduzi Cup 2017 vs KVZ

screen-shot-2017-01-04-at-4-52-01-am

Usiku wa January 3 2017 ulichezwa mchezo wa mwisho wa Kombe la Mapinduzi 2017 kwa siku hiyo, mchezo wa mwisho wa Kombe la Mapinduzi kwa siku ya Jumanne ya January 3 ulikuwa unazikutanisha timu za Kundi A kati ya KVZ dhidi ya Simba, katika mchezo huo Simba walipata ushindi wa goli 1-0 goli likifungwa na Mzamiru Yassin dakika ya 44. […]

The post VIDEO: Goli la Mzamiru lililoiweka Simba kileleni Mapinduzi Cup 2017 vs KVZ appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

MillardAyo

Simba vs Azam FC fainali Mapinduzi Cup 2017, bye bye Yanga

screen-shot-2017-01-11-at-12-31-06-am

Usiku wa January 10 2017 visiwani Zanzibar mchezo wa nusu fainali ya pili ya michuano ya Mapinduzi Cup 2017 kati ya Simba dhidi ya Yanga ulichezwa visiwani Zanzibar katika uwanja wa Amaan, baada ya Azam FC kutinga hatua ya fainali kwa kumfunga Taifa Jang’ombe goli 1-0. Hii inakuwa mara ya kwanza kwa Simba kukutana na […]

The post Simba vs Azam FC fainali Mapinduzi Cup 2017, bye bye Yanga appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Ni Simba, kuvaana na Azam fainali Mapinduzi CUP

Dakika 90 zimemaliza kwa vigogo wa soka nchini Simba na Yanga kwenda bila kufungana katika mchezo wa kombe la Mapinduzi iliyopigwa katika uwanja wa Amaan.

Ndipo hatua ya matuta imeweza kuipeleka timu ya Simba Fainali  baada ya kupata jumla ya Penati 4-2 ambapo itakutana na Azam FC waliokuwa wa kwanza kutinga Fainali hiyo baada ya kuifunga Taifa ya Jang’ombe goli 1-0.

The post Ni Simba, kuvaana na Azam fainali Mapinduzi CUP appeared first on Zanzibar24.

 

1 year ago

Bongo5

Mapinduzi Cup Fainali leo ni Simba au Azam FC?

Fainali za 11 za michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup zinatarajiwa kupigwa leo kwenye dimba la Amaan Visiwani Zanzibar kwa kuzikutanisha timu za Simba na Azam zote za Dar es Salaam.

Mchezo huo unaotarajiwa kuanza Saa 2:15 usiku wa leo, utakuwa ni wa pili kuzikutanisha timu hizo katika fainali ya michuano hiyo.

Awali zilikutana katika fainali ya mwaka 2012 na Azam FC ikaibuka na ushindi wa mabao 2-1 na kutwaa taji lake la kwanza kati ya mawili ya Kombe la Mapinduzi, linguine likija mwaka 2013...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Azam kucheza fainali mara ya tatu Mapinduzi Cup

Timu ya Azam FC imefanikiwa kutinga hatua ya fainali kwa mara ya tatu katika Mashindano ya Mapinduzi CUP baada ya jioni ya leo kuwafunga Taifa ya Jang’ombe bao 1-0 mchezo ulosukumwa katika Uwanja wa Amaan.

 

Bao pekee la Azam amefunga Frank Domayo katika ya dakika 33 na pia katangazwa kuwa nyota wa mchezo huo  yani Man of the Match.

 

Hii ni fainali ya tatu kucheza timu ya Azam katika mashindano hayo ambapo aliwahi kucheza mara mbili mfululizo mwaka 2012 na 2013 na zote kufanikiwa kutwaa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani