VIDEO: Goli la mechi ya Simba vs Mbao FC October 20, Full Time 1-0

img_4517

October 20 2016 kwa wekundu wa Msimbazi Simba waliwaalika Mbao FC ya Mwanza kucheza mchezo wao wa 10 Ligi Kuu Tanzania bara uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, katika mchezo huo Simba imefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Mzamiru Yassin dakika ya 86. Video kwa hisani ya Azam TV ALL GOALS: Yanga […]

The post VIDEO: Goli la mechi ya Simba vs Mbao FC October 20, Full Time 1-0 appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Goli la mechi ya Azam FC vs Simba Septemba 17 2016, Full Time 0-1

img_0067

Septemba 17 2016  Azam FC waliwakaribisha Simba katika dimba Uhuru Dar es Salaam, katika mchezo ambao kila mmoja alikuwa anawania kupata ushindi ili apate nafasi ya kuongoza Ligi, hata hivyo Simba ndio walifanikiwa kuwa wababe kwa kuwafunga Azam FC kwa goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na Shiza Kichuya dakika ya 67. ALL GOALS: Simba vs […]

The post VIDEO: Goli la mechi ya Azam FC vs Simba Septemba 17 2016, Full Time 0-1 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Goli na Highlights za mechi ya Simba vs JKT Ruvu, Full Time 1-0

img-20161224-wa0033

Ligi Kuu soka Tanzania bara msimu wa 2016/2017 umeendelea tena leo December 24 kwa michezo sita kuchezwa katika viwanja tofauti Tanzania, Simba walikuwa uwanja wa Uhuru Dar es Salaam kucheza dhidi ya JKT Ruvu, Simba walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 goli likifungwa na Mzamiru Yassin dakika ya 49. ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

The post VIDEO: Goli na Highlights za mechi ya Simba vs JKT Ruvu, Full Time 1-0 appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

Video ya goli la mechi ya Simba vs Toto Africans April 17 2016, Full Time 0-1

ball-in-the-net

April 17 2016 klabu ya Simba iliwakaribisha klabu ya Toto Africans ya Mwanza katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam kucheza mchezo wao 27 wa Ligi Kuu Tanzania bara, katika mchezo huo Simba walikubali kipigo cha goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na Wazir Junior dakika ya 21. Huo ni mchezo wa pili mfululizo kwa Simba […]

The post Video ya goli la mechi ya Simba vs Toto Africans April 17 2016, Full Time 0-1 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Goli la mechi ya Stand United vs Simba Nov 2 2016, Full Time 0-1

img_4349

November 2 2016 Simba walicheza mchezo dhidi ya Stand United katika uwanja wa Kambarage Shinyanga, Simba wakiwa katika uwanja huo wamefanikiwa kuwa timu ya kwanza msimu huu kumfunga Stand United kwa goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na Shiza Kichuya dakika ya 33 kwa mkwaju wa penati. ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

The post VIDEO: Goli la mechi ya Stand United vs Simba Nov 2 2016, Full Time 0-1 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

img_0160

October 1 2016 uwanja wa Taifa Dar es Salaam mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga dhidi ya Simba ndio ulichezwa na kumaliza tambo za mashabiki wa pande zote mbili, mchezo huo ulichezwa na kumalizika kwa sare ya goli 1-1, goli la Yanga likifungwa na Amissi Tambwe dakika ya 26 na goli la Simba […]

The post VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Cheki video ya goli na sehemu ya mechi ya Simba Vs JKU, Full Time Simba 1-0 JKU …

Usiku wa January 8 klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba iliimaliza michezo yake ya hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi 2016, kwa kuitembezea kichapo cha goli 1-0 klabu ya JKU ya Zanzibar, huku goli hilo likifungwa na Jonas Mkude dakika ya 65 ya mchezo. Cheki video ya sehemu ya mchezo na goli […]

The post Cheki video ya goli na sehemu ya mechi ya Simba Vs JKU, Full Time Simba 1-0 JKU … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli yote matatu ya Yanga vs Mbao FC October 30, Full Time 3-0

dsc_0152

October 30 2016 mabingwa watetezi wa Ligi Kuu soka Tanzania bara klabu ya Dar es Salaam Young Africans walicheza mchezo wao wa 12 wa Ligi Kuu soka Tanzania bara dhidi ya Mbao FC ya Mwanza, Yanga katika mchezo huo uliochezwa katika uwanja wa Uhuru walifanikiwa kuibuna ushindi wa goli 3-0, magoli yakifungwa na Vincent Bossou […]

The post VIDEO: Magoli yote matatu ya Yanga vs Mbao FC October 30, Full Time 3-0 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Highlights na goli la mechi ya MO Bejaia vs Yanga June 20, Full Time 1-0

asa

Usiku wa June 20 2016 Dar es Salaam Young Africans walikuwa Algeria kucheza mchezo wao wa kwanza wa Kundi A wa hatua ya nane bora dhidi ya wenyeji wao MO Bejaia, katika mchezo huo Yanga walifungwa na MO Bejaia kwa goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na Armando Sadiku dakika ya 20. ALL GOALS: Yanga vs […]

The post VIDEO: Highlights na goli la mechi ya MO Bejaia vs Yanga June 20, Full Time 1-0 appeared first on MillardAyo.Com.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Goli la mechi ya Yanga vs MO Bejaia August 13 2016, Full Time 1-0

IMG_0068

Wawakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika Yanga, August 13 2016 ilicheza mchezo wake wa tano wa hatua ya Makundi Kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya MO Bejaia ya Algeria, katika mchezo huo Yanga wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na Amissi Tambwe dakika ya […]

The post VIDEO: Goli la mechi ya Yanga vs MO Bejaia August 13 2016, Full Time 1-0 appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani