VIDEO: Goli la Simba vs Ruvu Shooting Dec 29 2016, Full Time 1-0

img-20161229-wa0036

Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea leo kwa michezo miwili kuchezwa Simbawalicheza dhidi ya Ruvu Shooting uwanja wa Uhuru Dar es Salaam na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 goli ambalo lilifungwa na Mohamed Ibrahim wakati wa dakika za nyongeza kuelekea kumalizika kipindi cha kwanza. ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

The post VIDEO: Goli la Simba vs Ruvu Shooting Dec 29 2016, Full Time 1-0 appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Goli na Highlights za mechi ya Simba vs JKT Ruvu, Full Time 1-0

img-20161224-wa0033

Ligi Kuu soka Tanzania bara msimu wa 2016/2017 umeendelea tena leo December 24 kwa michezo sita kuchezwa katika viwanja tofauti Tanzania, Simba walikuwa uwanja wa Uhuru Dar es Salaam kucheza dhidi ya JKT Ruvu, Simba walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 goli likifungwa na Mzamiru Yassin dakika ya 49. ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

The post VIDEO: Goli na Highlights za mechi ya Simba vs JKT Ruvu, Full Time 1-0 appeared first on...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya mechi ya JKT Ruvu vs Yanga Dec 17 2016, Full Time 0-3

screen-shot-2016-12-17-at-10-44-31-pm

Ligi Kuu soka Tanzania bara mzunguuko wa pili ulianza leo December 17 kwa michezo kadhaa kuchezwa, Yanga ambao walikuwa kama wageni dhidi ya JKT Ruvu wameibuka na ushindi wa goli 3-0, magoli ya Yanga yakifungwa na Simon Msuva aliyefunga magoli mawili katika ushindi huo na kusababisha goli la kwanza ambalo Michael Aidan alijifunga. ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

The post VIDEO: Magoli ya mechi ya JKT Ruvu vs Yanga Dec 17 2016, Full Time 0-3 appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Goli la mechi ya Azam FC vs Simba Septemba 17 2016, Full Time 0-1

img_0067

Septemba 17 2016  Azam FC waliwakaribisha Simba katika dimba Uhuru Dar es Salaam, katika mchezo ambao kila mmoja alikuwa anawania kupata ushindi ili apate nafasi ya kuongoza Ligi, hata hivyo Simba ndio walifanikiwa kuwa wababe kwa kuwafunga Azam FC kwa goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na Shiza Kichuya dakika ya 67. ALL GOALS: Simba vs […]

The post VIDEO: Goli la mechi ya Azam FC vs Simba Septemba 17 2016, Full Time 0-1 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Magoli ya Simba VS Ruvu Shooting Ligi Kuu Full Time (ALL GOALS 2-1)

Screen Shot 2016-09-07 at 10.11.27 AM

Ligi Kuu soka Tanzania Bara leo September 7 2016 imeendelea kama kawaida kwenye vinjwa mbalimbali ambapo Club ya Simba iliwaalika Ruvu Shooting katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam ambapo mechi ilimalizika kwa Simba kuibuka na Ushindi wa Magoli 2-1, Ruvu Shooting ndio ilikua ya kwanza kupata goli katika dakika ya 8 ya mchezo kupitia kwa Abrahaman Musa, wakati […]

The post Magoli ya Simba VS Ruvu Shooting Ligi Kuu Full Time (ALL GOALS 2-1) appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

Video ya goli la mechi ya Simba vs Toto Africans April 17 2016, Full Time 0-1

ball-in-the-net

April 17 2016 klabu ya Simba iliwakaribisha klabu ya Toto Africans ya Mwanza katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam kucheza mchezo wao 27 wa Ligi Kuu Tanzania bara, katika mchezo huo Simba walikubali kipigo cha goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na Wazir Junior dakika ya 21. Huo ni mchezo wa pili mfululizo kwa Simba […]

The post Video ya goli la mechi ya Simba vs Toto Africans April 17 2016, Full Time 0-1 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Goli la mechi ya Stand United vs Simba Nov 2 2016, Full Time 0-1

img_4349

November 2 2016 Simba walicheza mchezo dhidi ya Stand United katika uwanja wa Kambarage Shinyanga, Simba wakiwa katika uwanja huo wamefanikiwa kuwa timu ya kwanza msimu huu kumfunga Stand United kwa goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na Shiza Kichuya dakika ya 33 kwa mkwaju wa penati. ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

The post VIDEO: Goli la mechi ya Stand United vs Simba Nov 2 2016, Full Time 0-1 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Goli la African Lyon lililovunja rekodi ya Simba Nov 6 2016, Full Time 1-0

img_5432

November 6 2016 African Lyon iliandika historia kwa kuwa klabu ya kwanza  kuifunga Simba msimu huu ambapo ilikuwa haijafungwa hata mechi moja zaidi ya kutoka sare mechi mbili, African Lyon wameibuka na ushindi wa goli 1-0, goli likifungwa na Abdullah Msuhi dakika za nyongeza. ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

The post VIDEO: Goli la African Lyon lililovunja rekodi ya Simba Nov 6 2016, Full Time 1-0 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Video ya goli la Mtibwa Sugar Vs Simba nusu fainali ya Mapinduzi Cup 2016, Full Time 1-0 ..

Klabu ya Simba SC January 10 ilikuwa timu ya kwanza kuaga mashindano ya Kombe la Mapinduzi katika hatua ya nusu fainali dhidi ya Mtibwa Sugar, baada ya Simba kushindwa kusawazisha goli la Mtibwa lililofungwa na Ibrahim Jeba dakika ya 45, hivyo huo ndio ukawa mwisho wa safari yao katika michuano hiyo baada ya mchezo kumalizika […]

The post Video ya goli la Mtibwa Sugar Vs Simba nusu fainali ya Mapinduzi Cup 2016, Full Time 1-0 .. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

Video ya magoli ya mchezo wa JKT Ruvu Vs SIMBA VPL 2015/2016, Full Time 0-2

Mechi za Ligi Kuu soka Tanzania Bara ziliendelea Jumatano ya January 20 kwa michezo  mitano kupigwa, uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, klabu ya JKT Ruvu ilikuwa mwenyeji wa Simba katika mchezo wa 15 wa Ligi Kuu. Simba walimaliza mchezo kwa kuibuka na ushindi wa goli 2-0, magoli ya Simba yalifungwa na Hamis Kiiza kwa […]

The post Video ya magoli ya mchezo wa JKT Ruvu Vs SIMBA VPL 2015/2016, Full Time 0-2 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani