VIDEO: Liverpool wamefunga mwaka kwa kuiadhibu Man City ya Pep Guardiola

3bbcef5400000578-4078642-image-a-62_1483206274329

Baada ya shauku na presha za mashabiki wa soka waliyokuwa wanasubiria kwa hamu mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu Englnd kwa mwaka 2016 kuchezwa, usiku wa December 31 mchezo huo uliyokuwa unazikutanisha timu za Liverpool aliyekuwa nyumbani dhidi ya Man City ndio ulichezwa. Liverpool wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani Anfield na kocha wao Jurgen […]

The post VIDEO: Liverpool wamefunga mwaka kwa kuiadhibu Man City ya Pep Guardiola appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

5 months ago

BBCSwahili

Pep Guardiola: Liverpool huenda ndio bora zaidi duniani kwa sasa, asema mkufunzi wa Man City

Mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola anaamini kwamba Liverpool huenda ''ndio timu bora zaidi duniani kwa sasa''

 

3 years ago

MillardAyo

Sharti la Pep Guardiola kwa Toure kama anataka kuichezea Man City

during the pre season friendly match between Bayern Muenchen and Manchester City F.C at the Allianz Arena on July 20, 2016 in Munich, Germany.

Septemba 20 2016 kocha wa Man City ya England Pep Guardiola ameweka wazi kwa nini hamchezeshi kiungo wa kimataifa wa Ivory Coast Yaya Toure, kocha huyo ambaye amejiunga msimu huu akitokea Bayern Munich ameandamwa na maneno kuhusiana na kuonesha dalili za kutomuhitaji nyota huyo. Guardiola ametoa kauli katika vyombo vya habari kuwa Yaya Toure hawezi […]

The post Sharti la Pep Guardiola kwa Toure kama anataka kuichezea Man City appeared first on millardayo.com.

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Kwa nini Lionel Messi ndio changamoto inayomkumba Pep Guardiola na Man City

Where the quadruple will be won and lost by Manchester City boss Pep Guardiola, according to BBC football pundit Alan Shearer.

 

3 years ago

MillardAyo

CONFIRMED: Pep Guardiola kathibitishwa kujiunga na Man City

Dejecha

Kocha wa zamani wa klabu ya FC Barcelona ya Hispania Pep Guardiola ambaye kwa sasa anaifundisha klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani, February 1 ameingia kwenye headlines baada ya muda mrefu kuthibitisha kuwa ataondoka FC Bayern Munich lakini hakuwa ameweka wazi klabu gani atanenda kujiunga nayo. February 1 ikiwa zimesalia saa kadhaa kabla ya […]

The post CONFIRMED: Pep Guardiola kathibitishwa kujiunga na Man City appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

BBC

Man City: Pep Guardiola v Yaya Toure's agent - Who said what?

Watch the war of words between Manchester City boss Pep Guardiola and Yaya Toure's agent Dimitri Seluk.

 

3 years ago

MillardAyo

DONE DEAL: Pep Guardiola kasajili staa mpya Man City

Leroy-Sane

Bado headlines za usajili barani Ulaya zinazidi kuchukua nafasi kila kukicha, leo August 2 2016 klabu ya Man City ya England imetangaza kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji ambaye pia ana uwezo wa kucheza nafasi ya winga Leroy Sane kutoka Schalke 04. Man City wanaofundishwa na kocha wao Pep Gurdiola wamethibitisha kumsajili Leroy Sane kutoka Schalke 04 […]

The post DONE DEAL: Pep Guardiola kasajili staa mpya Man City appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

BBC

Pep Guardiola: Man City boss awaits Yaya Toure agent's apology

Manchester City manager Pep Guardiola wants to recall midfielder Yaya Toure into his side but is still waiting for an apology from the player's agent.

 

1 year ago

BBCSwahili

Pep Guardiola: Meneja wa Man City ajutia kumzungumzi Nathan Redmond wa Southampton

Meneja wa Manchester City Pep Guardiola amesema anajutia sana mazungumzo ambayo alifanya na mchezaji wa Southampton Nathan Redmond punde baada ya mechi yao kumalizika Jumatano.

 

3 years ago

MillardAyo

Staa wa kwanza kusajiliwa na Pep Guardiola Man City ametangazwa leo June 2 2016

Screen-Shot-2016-05-19-at-16.00.43

Klabu ya Manchester City ya Uingereza leo June 2 2016 imetangaza kukamilisha usajili wa kwanza wa kiungo wa kimataifa wa Ujerumani aliyekuwa anaichezea klabu ya Borrusia Dortmund Ilkay Gundogan. Man City wametangaza kumsajili Ilkay Gundogan kwa mkataba wa miaka minne lakini ada ya usajili ya nyota huyo inakadiliwa kufikia pound milioni 21 ambazo ni zaidi ya […]

The post Staa wa kwanza kusajiliwa na Pep Guardiola Man City ametangazwa leo June 2 2016 appeared first on MillardAyo.Com.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani