Video: Madhara ya Kusherehekea Mwaka mpya 2019

Ikiwa Dunia inajiandaa kuupokea mwaka mpya 2019 ifikapo majira ya saa sita kamili za usiku wa leo, Waislamu kote nchini wametakiwa kuitumia siku hiyo kufikiri khatma ya maisha yao na si kusherehekea kama wanavyofanya wengine.

Kikawaida unapoingia mwaka mpya watu husherehekea kwa njia tofauti wengi wao hujichanganya katika kumbi za starehe baadhi hulewa na kuvunja chupa barabarani jambo ambalo limepingwa vikali kufanywa na waumini wa Dini ya kiislamu.

Kwa mujibu wa Naibu Katibu...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

5 months ago

BBCSwahili

Kwa Picha: Miji ilivyoukaribisha Mwaka Mpya wa 2019

Shangwe, vifijo, nderemo zilisheheni miji mbalimbali watu wakisherehekea kuanza kwa Mwaka Mpya wa 2019 katika majiji mbalimbali duniani, fataki nazo zikatanda angani.

 

4 years ago

Vijimambo

Madaktari wa kichina waenda Mapumziko kusherehekea mwaka mpya wa kichina

Kiongozi wa Madaktari wa Kichina Dr. Liu Yaping akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi zawadi ya pambo la Ofisi wakati alipofika Ofisini kwa Balozi Vuga Mjini Zanzibar na Timu yake ya Madaktari kuaga wakirejea nyumbani kwa mapumziko ya mwezi mmoja kiusherehekea mwaka mpya wa Kichina.Pembeni kushoto ni mtapta wao Bibi Liu HualianDr. Liu Yaping kiongozi wa Madaktari wa Kichina wanaotoa huduma za Afya Hospitali za Zanzibar kati kati akiwa sambamba na Mtapta wao Bibi...

 

3 years ago

MillardAyo

Kabla ya kuuanza mwaka mpya, kutana na video ya matukio ya soka ya kuchekesha kwa mwaka 2015 …

Mtu wangu wa nguvu najua tunaelekea kuuaga mwaka 2015 na kuingia mwaka mpya 2016. Kaabla ya kumalizika mwaka 2015 naomba nikusogezee video ya matukio ya kuchekesha katika soka yaliyotokea kwa mwaka 2015. Katika hii video kuna matukio ya Pep Guardiola na Frank Ribery. Jamaa kumbiss Zlatan Ibrahimovic. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka […]

The post Kabla ya kuuanza mwaka mpya, kutana na video ya matukio ya soka ya kuchekesha kwa mwaka 2015 … appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

VideoMPYA: Kwenye video mpya za bongofleva mwaka huu ijumlishie na hii mpya ya Amini ‘hawajui’

Amini

Kwa harakaharaka ni zaidi ya miezi kumi na mbili imepita toka mara ya mwisho nimetazama video mpya ambayo Amini yuko ndani, ni mwimbaji mwenye miaka yake kadhaa kwenye game ya bongofleva na sasa katuletea hii mpya, ukishamaliza kuitazama usisahau kumuandikia ajue watu wake wameipokeaje. ULIIKOSA HII MOVIE? MUME KAENDA KAZINI, WIFE KALETA MCHEPUKO NYUMBANI…. TAZAMA HII […]

The post VideoMPYA: Kwenye video mpya za bongofleva mwaka huu ijumlishie na hii mpya ya Amini ‘hawajui’ appeared first...

 

2 years ago

Bongo5

Drake azidi kusherehekea mafanikio ya muziki wake mwaka huu

Mwaka huu umekuwa wa mafanikio makubwa kwa rapper Drake kupitia kwenye maisha yake ya muziki.

Wimbo wake wa ‘One Dance’ aliomshirikisha Wizkid na Kyla umefanikiwa kutengeneza rekodi yake nyingine kwenye mtandao wa Spotify baada ya kusikilizwa mara bilioni moja.

Wakati huo huo albamu yake ya ‘Views’ imesikilizwa zaidi ya mara bilioni tatu kwenye mtandao huo.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose...

 

2 years ago

MillardAyo

Diva ataja sababu ya kusherehekea Birthday 2 ndani ya mwaka mmoja.

Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds Fm Diva the Bawse leo ameamua kutolea ufafanuzi kuhusu birthday yake ambayo wengi wameshangazwa baada ya yeye kusherehekea birthday yake mwezi wa kwanza badala ya mwezi wa tano kama ilivyokuwa miaka iliyopita. Diva akiwa kwenye kipindi cha XXL amesema sababu za kushererehekea birthday yake January 15 badala […]

The post Diva ataja sababu ya kusherehekea Birthday 2 ndani ya mwaka mmoja. appeared first on millardayo.com.

 

5 years ago

GPL

MULTICHOCIE TANZANIA YAFUNGA MWAKA KWA KUSHEREHEKEA NA WANAHABARI, WADAU JIJINI DAR

Baadhi ya wadau na wanahabari wakijiachia wakati wa sherehe ya kufunga mwaka ya kampuni ya Multichoice Tanzania jana usiku katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Hawa wakiserebuka kwa muziki.…

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani