VIDEO: Magoli ya mechi za Leicester vs Man United, Man City vs Swansea na msimamo wa EPL ulivyo

Baada ya Jumamosi ya February 4 2017 kuchezwa baadhi ya michezo ya Ligi Kuu England msimu wa 2016/2017, Jumapili ya February 5 ilichezwa michezo miwili ya Ligi Kuu England, Leicester City walicheza dhidi ya Man United na Man City dhidi ya Swansea City. Michezo hiyo ilimalizika kwa Man United kupata ushindi wa goli 3-0 dhidi […]

The post VIDEO: Magoli ya mechi za Leicester vs Man United, Man City vs Swansea na msimamo wa EPL ulivyo appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: TOP ya magoli bora yaliowahi kufungwa katika mchezo wa Man United vs Man City

robin-parker-fotosports-wayne-rooney-scores-an-overhead-kick-against-manchester-city

Saa zinahesabika kuelekea mchezo wa 172 wa derby ya Manchester United dhidi ya Man City, mchezo ambao utachezwa kesho September 10 katika uwanja wa Old Trafford, kesho itakuwa ni siku ambayo Jose Mourinho anakutana na mpinzani wake Pep Guardiola, kabla ya mchezo huo jikumbushe TOP 10 ya magoli bora. GOAL AND HIGHLIGHTS: YANGA VS TP […]

The post VIDEO: TOP ya magoli bora yaliowahi kufungwa katika mchezo wa Man United vs Man City appeared first on millardayo.com.

 

5 months ago

BBCSwahili

Jedwali la Msimamo wa ligi ya EPL 2018/19: Manchester City, Man United, Liverpool, Chelsea, Arsenal

Msimamo wa Ligi Kuu ya England kufikia tarehe 31 Desemba, 2018.

 

3 years ago

Dewji Blog

VIDEO ZA MAGOLI: Real Madrid – Sporting, Man City – B. Moenchengladbach na Club Brugge – Leicester City

Michezo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League) imeendelea usiku wa Jumatano ya Septemba, 15 kwa michezo tisa kupigwa ukiwepo mchezo uliohairishwa kuchezwa Jumanne wa Manchester City na Borussia Moenchengladbach kutokana na kunyesha kwa mvua kubwa katika uwanja wa Etihad.

Matokeo ya michezo hiyo ni;

Manchester City 4 – 0 Borussia Moenchengladbach
Bayer Leverkusen 2 – 2 CSKA Moscow
Tottenham Hotspur 1 – 2 Monaco
Legia Warszawa 0 – 6 Borussia Dortmund
Real Madrid 2 – 1 Sporting CP
Club...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya mechi ya Man United vs Borussia Dortmund July 22, Full Time 1-4

3681889300000578-3703423-image-m-98_1469197893016

July 22 Manchester United inayofundishwa na kocha Jose Mourinho imekumbana na kipigo cha goli 4-1 kutoka kwa Borrusia Dortmund, katika mchezo wa kwanza wa mashindano ya International Champions Cup ambapo vilabu vingi hushiriki kama sehemu ya maandalizi ya msimu. Man United wamefungwa goli 4 na kuambulia goli moja lililofungwa na Mkhitaryan dakika ya 59, hiyo […]

The post VIDEO: Magoli ya mechi ya Man United vs Borussia Dortmund July 22, Full Time 1-4 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Usisahu kuwa Man City wamecheza na Tottenham na kupokea kichapo, video za magoli 12 yaliofungwa EPL Feb 14

3000

Weekend ya burudani ya soka kwa Ligi Kuu Uingereza ilimalizika usiku wa February 14, kwa jumla ya michezo mitatu kuchezwa kwa siku hiyo, klabu ya Manchester City na Tottenham Hotspurs ndio vilimaliza weekend ya burudani ya soka kwa kucheza mchezo wao katika dimba la Etihad, wakati ambao vilabu vya Arsenal, Leicester City, Liverpool na Aston […]

The post Usisahu kuwa Man City wamecheza na Tottenham na kupokea kichapo, video za magoli 12 yaliofungwa EPL Feb 14 appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

Rekodi 10 za kufahamu kuelekea mechi ya kihistoria Man United vs Man City

_89775101_89775100

Mashabiki wa soka ulimwenguni kote wanashauku ya kutaka kuona mchezo wa kwanza wa durby unaowakutanisha makocha wenye upinzania mkubwa Jose Mourinho na Pep Gurdiola, huu ni mchezo ambao unatajwa kuwa weekend hii utakusanya na kuangaliwa na mashabiki wengi, tayari magazeti ya England yameripoti maafisa usalama 400 kuwa watahudhuria mchezo huu. Kuna vingi inawezekana ukawa hufahamu […]

The post Rekodi 10 za kufahamu kuelekea mechi ya kihistoria Man United vs Man City appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

Matokeo na video za magoli ya mechi za Man City, Chelsea na Liverpool zilizochezwa April 23 2016

premier-league-video-highlights

Jumamosi ya April 23 2016 michezo minne ya Ligi Kuu Uingereza ilichezwa kama kawaida, Man City walicheza dhidi ya Stoke City wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani wakicheza dhidi ya Stoke City, AFC Bournemouth dhidi ya Chelsea, Aston Villa dhidi ya Southampton wakati Liverpool walicheza dhidi ya Newcastle United. Manchester City 4 – 0 Stoke City AFC Bournemouth 1 – 4 Chelsea Aston Villa 2 – […]

The post Matokeo na video za magoli ya mechi za Man City, Chelsea na Liverpool zilizochezwa April...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli 17 yaliofungwa katika mechi za Liverpool, Man City, Arsenal na Tottenham Oct 29

39daa90600000578-0-image-m-9_1477765476796

Ligi Kuu England imepigwa leo michezo 7 katika ardhi ya England, tumeshuhudia baadhi ya timu zikichukua point zao tatu, wakati Man United wakiwa katika uwanja wao wa Old Trafford wameshinda kupata matokeo dhidi ya Burnley na kulazimishwa suluhu ya 0-0. Kwa upande wa Arsenal wakiwa ugenini wamefanikiwa kuifunga Sunderland kwa jumla ya goli 4-1, Crystal […]

The post VIDEO: Magoli 17 yaliofungwa katika mechi za Liverpool, Man City, Arsenal na Tottenham Oct 29 appeared first on...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani