VIDEO: Magoli ya Zimbabwe vs Taifa Stars November 13 2016, Full Time 3-0

img_0561

November 13 2016 timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ilikuwa mgeni wa timu ya taifa ya Zimbabwe Warriors katika uwanja wa Zimbabwe National Sports, Zimbabwe, katika mchezo huo Tanzania ilipoteza kwa goli 3-0, magoli yakifungwa na Knowledge Musona dakika ya 9, Mathew Rusike dakika ya 54 na Nyasha Mushekwi dakika ya 57. ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, […]

The post VIDEO: Magoli ya Zimbabwe vs Taifa Stars November 13 2016, Full Time 3-0 appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya mechi ya Taifa Stars vs Misri June 4 2016, Full Time 0-2

AW1A1864

June 4 2016 timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ilicheza mchezo wake wa tatu wa Kundi G wa kuwania kufuzu michuano ya mataifa Afrika 2017 AFCON dhidi ya timu ya taifa ya Misri uwanja wa Taifa Dar es Salaam, mchezo ulimalizika kwa Misri kuibuka na ushindi wa goli 2-0, magoli ambayo yalifungwa na Mohamed […]

The post VIDEO: Magoli ya mechi ya Taifa Stars vs Misri June 4 2016, Full Time 0-2 appeared first on MillardAyo.Com.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya Yanga dhidi ya Ruvu November 10 2016, Full Time 2-1

dsc_0052

Mzunguuko wa kwanza wa Ligi Kuu soka Tanzania bara msimu wa 2016/2017 umekamilika kwa Yanga kucheza dhidi ya Ruvu Shooting, Yanga wameibuka na ushinfi wa goli 2-1 magoli yakifungwa na Simon Msuva dakika ya 31 na Haruna Niyonzima dakika ya 56 huku goli la Ruvu likifungwa na Abdurahman Musa dakika ya 7. ALL GOALS: Simba vs Toto […]

The post VIDEO: Magoli ya Yanga dhidi ya Ruvu November 10 2016, Full Time 2-1 appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya Taifa Stars vs Lesotho June 10 2017, Full Time 1-1

June 10 2017 timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ilicheza mchezo wake wa kwanza wa Kundi L wa kuwania kufuzu kucheza michuano ya mataifa ya Afrika kwa mwaka 2019 nchini Cameroon dhidi ya Lesotho uwanja wa Azam Complex Mbande Chamazi, Taifa Stars ililazimishwa sare ya 1-1. Goli la Taifa Stars lilifungwa na nahodha wao […]

The post VIDEO: Magoli ya Taifa Stars vs Lesotho June 10 2017, Full Time 1-1 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya Ndanda FC vs Yanga May 14 2016, Full Time 2-2

2X6A9713

Klabu ya Ndanda FC ambayo May 14 2016 ilicheza mchezo wake wa Ligi Kuu dhidi ya klabu ya Dar es Salaam Young Africans, uwanja wa Taifa Dar es Salaam kama uwanja wao wa nyumbani, mchezo huo ambao Yanga walikabidhiwa Kombe lao la Ubingwa wa Ligi Kuu msimu wa 2015/2016, ulimalizika kwa sare ya goli 2-2. ALL […]

The post VIDEO: Magoli ya Ndanda FC vs Yanga May 14 2016, Full Time 2-2 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya Simba vs Taifa Jang’ombe Jan 1 2017, Full Time 2-1

img-20170101-wa0087

Taifa Jang’ombe leo wamekubali kupoteza mchezo dhidi ya Simba kwa goli 2-1, magoli ya Simba yakifungwa na Mzamiru Yassin dakika ya 28 na Juma Luzio dakika ya 42, lakini beki wa Simba Novaty Lufungo akijifunga dakika ya 76 baada ya Taifa Jang’ombekupiga kona iliyosababisha goli hilo. VIDEO:GOALS & HIGHLIGHTS: Taifa Jang’ombe vs Jang’ombe Boys, Full Time 1-0 

The post VIDEO: Magoli ya Simba vs Taifa Jang’ombe Jan 1 2017, Full Time 2-1 appeared first on...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya mechi ya Simba vs Mwadui FC May 8 2016, Full Time 0-1

PES-2014-HD-Goal-Net-by-Stahuuuu-1-720x340

May 8 2016 klabu ya Simba ilicheza mchezo wake wa 27  wa Ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya Mwadui FC ya Shinyanga katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam, Simba walikubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Mwadui FC, goli ambalo lilifungwa na Jamal Mnyate dakika ya 73 ya mchezo. ALL GOALS: SIMBA VS COASTAL UNION FA CUP […]

The post VIDEO: Magoli ya mechi ya Simba vs Mwadui FC May 8 2016, Full Time 0-1 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya Serengeti Boys vs Congo 18/09/ 2016, Full Time 3-2

img_3819

Septemba 18 2016 wawakilishi pekee wa Tanzania katika soka la wanaume Serengeti Boys katika michuano ya kuwania kufuzu kucheza AFCON 2017 Madagascar, Serengeti Boys walicheza dhidi ya Congo Brazzaville na kushinda kwa goli 3-2, magoli ambayo yalifungwa na Yohana Mkomola na Issa Makamba, wakati magoli ya Congo yalifungwa na Langa Percy kwa mkwaju wa penati na Bopoumela Chardon. […]

The post VIDEO: Magoli ya Serengeti Boys vs Congo 18/09/ 2016, Full Time 3-2 appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

Video ya magoli ya Simba Vs African Sports January 30 2016, Full Time 4-0

sds

Ligi Kuu soka Tanzania bara mzunguuko wa pili umeendelea leo January 30 uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, klabu ya Simba iliwakaribisha kucheza mchezo wa marudiano na klabu ya African Sports ya Tanga, baada ya ule mchezo wa awali uliochezwa uwanja wa Mkwakwani September 12 2015, Simba kuibuka na ushindi wa goli 1-0, January 30 […]

The post Video ya magoli ya Simba Vs African Sports January 30 2016, Full Time 4-0 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

Video ya magoli ya JKT Ruvu Vs Yanga February 7 2016, Full Time 0-4

DSC_0007

Ligi Kuu soka Tanzania bara mzunguko wa pili umeendelea Jumamosi ya February 7 uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, klabu ya JKT Ruvu ilikuwa mwenyeji wa klabu ya Yanga katika mchezo wa marudiano, Yanga wamerejea katika furaha ya ushindi, baada ya kufanikiwa kuiadhibu JKT Ruvu kwa jumla ya goli 4-0, licha ya kuwa walikuwa na wakati mgumu kuikabili Prisons ya […]

The post Video ya magoli ya JKT Ruvu Vs Yanga February 7 2016, Full Time 0-4 appeared first on...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani