VIDEO: Mahubiri ya Askofu Gwajima kanisani Jpili baada ya kuachiwa na Polisi juzi

Askofu wa kanisa la Ufufuo Josephat Gwajima aliachiwa na Polisi Dar es salaam February 11 2017 baada ya kushikiliwa toka February 9 kituo cha Polisi Kati kutokana na kutajwa kwenye orodha ya sakata la dawa za kulevya Dar es salaam, hii hapa chini ni video ya mahubiri ya Askofu huyo kanisani kwake February 12. VIDEO: […]

The post VIDEO: Mahubiri ya Askofu Gwajima kanisani Jpili baada ya kuachiwa na Polisi juzi appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

BREAKING: Video ikimuonyesha Askofu Gwajima akitoka Polisi baada ya kuachiwa

Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima jioni ya leo February 11 2017 ameachiwa na Polisi baada ya kushikiliwa Mahabusu toka Alhamisi baada ya kwenda kituoni hapo kufuatia kutajwa kwenye orodha ya Mkuu wa Mkoa Dar es salaam Paul Makonda na sakata la dawa za kulevya, tazama kwenye hii video hapa chini kujionea ilivyokua […]

The post BREAKING: Video ikimuonyesha Askofu Gwajima akitoka Polisi baada ya kuachiwa appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Malunde

KAULI YA ASKOFU GWAJIMA BAADA YA KUACHIWA POLISI

Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima ameachiwa na Polisi jana jioni baada ya mahojiano yaliyodumu toka Alhamisi mchana kwenye kituo cha Polisi kati Dar es salaam kufuatia sakata la dawa za kulevya.
Baada ya kuachiwa Askofu huyo aliandika yafuatayo kwenye mitandao yake ya kijamii “FREE AT LAST: Mungu awabariki wote mlioomba kwa ajili ya jambo hili, kesho nitakuwepo kwa ajili ya Ibada ya Jumapili, Kanisa la Ufufuo na Uzima Dar es Salaam. Mungu awabariki sana nawapenda nawaombea...

 

2 years ago

MillardAyo

Alichoandika Askofu Gwajima baada ya kuachiwa na Polisi leo jioni

Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima ameachiwa na Polisi leo jioni baada ya mahojiano yaliyodumu toka Alhamisi mchana kwenye kituo cha Polisi kati Dar es salaam kufuatia sakata la dawa za kulevya. Baada ya kuachiwa Askofu huyo aliandika yafuatayo kwenye mitandao yake ya kijamii >>> “FREE AT LAST: Mungu awabariki wote mlioomba […]

The post Alichoandika Askofu Gwajima baada ya kuachiwa na Polisi leo jioni appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Malunde

Live: MAHUBIRI YA ASKOFU GWAJIMA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA LEO JUMAPILI

IBADA YA JUMAPILI 09/04/2017 BISHOP DR JOSEPHAT GWAJIMA

BOFYA <<HAPA>> KUSIKILIZA MAHUBIRI YA ASKOFU GWAJIMA


AU Hapa Chini

 

2 years ago

Malunde

ASKOFU GWAJIMA ASIMULIA YALIYOMKUTA BAADA YA KUKAMATWA POLISI

Baada ya jana Februari 11,2017 Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima kuachiwa na Polisi baada ya mahojiano yaliyodumu toka Alhamisi kituo cha Polisi kati Dar es salaam kufuatia sakata la dawa za kulevya, leo February 12 2017 akiwa kwenye Ibada kanisani kwake amesimulia.

"Nilienda moja kwa moja kwa Kamanda Sirro, nikamkuta na Manji, wakasema wewe na Manji tunakwenda kuwapima kwa mkemia mkuu wa Serikali, wale watu waliokuwa wanapima walikuwa wanapima kwa uwazi kabisa, wakapima...

 

2 years ago

Malunde

Video: ASKOFU GWAJIMA ATEMBELEA CLOUDS MEDIA BAADA YA RC MAKONDA KUVAMIA SHILAWADU


Leo askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima, Dr. Josephat Gwajima amefika ofisi za Clouds Media Group kwa ajili ya kutoa pole kufuatia tukio la mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kuvamia kituo hicho akiwa na askari wenye silaha.

==>Tazama video ya tukio hilo hapa chini

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Askofu Gwajima alivyoingia Polisi kituo cha kati kutii wito wa Makonda

Askofu wa Kanisa la ufufuo na uzima Josephat Gwajima amefika kituo cha Polisi cha kati Dar es salaam kukutana na Kamishna wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro kutii wito wa Mkuu wa mkoa Paul Makonda baada ya kutajwa kwenye orodha ya watu 65 waliotajwa kwenye sakata la dawa za kulevya. VIDEO: Yusuph Manji […]

The post VIDEO: Askofu Gwajima alivyoingia Polisi kituo cha kati kutii wito wa Makonda appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani