VIDEO: Majibu ya Hussen Bashe Kuhusu Kushikiliwa na Polisi

Baada ya taarifa za jana kusambaa zikidai wajumbe wawili wa halmashauri kuu Taifa ‘nec’  na mbunge mmoja akiwemo mbunge wa Nzega mjini, Hussein Bashe wanahojiwa na jeshi la polisi Dodoma kwa madai ya kutaka kufanya vurugu na uchochezi katika vikao vya CCM vinavyoendelea Dodoma.

Leo March 12 2017 nje ya ukumbi wa CCM Hussein Bashe ameonekana akiwasili kwenye ukumbi huo kwa ajili ya mkutano maalumu wa CCM na akafanyiwa mahaojiano na Azam TV na moja ya swali aliloulizwa ni kuhusu kushikiliwa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Alichosema Freeman Mbowe kuhusu Lowassa kushikiliwa na Polisi Geita jana

Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe leo amekutana na Waandishi wa habari Mwanza na kuzungumza kuhusu Edward Lowassa kushikiliwa na Polisi Geita jana, yote aliyoyasema yapo kwenye hii video hapa chini VIDEO: Ulipitwa na video ya Edward Lowassa alivyochukuliwa na Polisi Geita? tazama kwenye hii video hapa chini kujionea

The post VIDEO: Alichosema Freeman Mbowe kuhusu Lowassa kushikiliwa na Polisi Geita jana appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Majibu ya Jeshi la Polisi kuhusu biashara ya Shisha DSM

1

Miezi kadhaa baada ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kupiga marufuku biashara ya Shisha kwenye sehemu za starehe, ulipita muda na agizo hilo likaonekana kutekelezwa japokuwa haikuchukua muda sana biashara hiyo ikarejea tena. November 16, 2016 wakati wa uzinduzi wa mitambo ya ufuaji umeme jijini Dar es salaam, Paul Makonda alizungumzia […]

The post VIDEO: Majibu ya Jeshi la Polisi kuhusu biashara ya Shisha DSM appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Majibu ya Waziri Nchemba bungeni kuhusu Jeshi la Polisi kukamata watu

nchembaaa

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba ametoa ufafanuzi wa swali la mbunge wa viti maalum CHADEMA Susan Maselle aliyehoji hatua za serikali kuhusu baadhi ya wanajeshi kuwabambikia kesi wananchi na tuhuma za polisi kuwaweka viongozi wa dini na siasa mahabusu kwa muda mrefu. ‘Jeshi la Polisi linafanya kazi kwa mujibu wa sheria, […]

The post VIDEO: Majibu ya Waziri Nchemba bungeni kuhusu Jeshi la Polisi kukamata watu appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Dakika 12 za Hussein Bashe bungeni kuhusu Wizara ya fedha

baaaaa

Ni mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe aliyoyaongea wakati akichangia hotuba ya wizara ya fedha na mipango kwa maendeleo ya taifa kwa mwaka wa fedha 2016/2017, mchango wake unaweza kuutazama kwenye hii video hapa chini ULIKOSA HII YA MBOWE VS WAZIRI MHAGAMA KUHUSU AHADI ZA SERIKALI

The post VIDEO: Dakika 12 za Hussein Bashe bungeni kuhusu Wizara ya fedha appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Anachokiona Hussein Bashe kuhusu ujenzi wa reli mpya

April 28, 2017 Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe alikuwa ni miongoni mwa wabunge waliopata nafasi ya kuchangia bajeti ya Wizara ya Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano ambapo kati ya vitu ambavyo hakuacha kuzungumzia ni pamoja na mpango wa serikali kujenga reli ya kati. Full video nimekuwekea hapa chini tayari… VIDEO: ‘Iko wapi ahadi ya Rais Magufuli’ […]

The post VIDEO: Anachokiona Hussein Bashe kuhusu ujenzi wa reli mpya appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Hussein Bashe kasimama tena Bungeni, ni kuhusu Wanafunzi

Mbunge wa Nzega Mjini ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Huduma ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, Hussein Bashe alisimama Bungeni May 13, 2017 mara hii ikiwa ni kuhusu Wanafunzi…Mtazame kwa ku-play kwenye hii video hapa chini>>> ‘Kila Waziri anabadilisha mitaala, mnachizisha’ – Koshuma… Mbunge Musukuma alivyowajia juu Mawaziri waliofutwa kazi na Rais Magufuli. Play […]

The post VIDEO: Hussein Bashe kasimama tena Bungeni, ni kuhusu Wanafunzi appeared first on...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Dakika 10 za Hussein Bashe kuhusu bajeti Wizara ya fedha

Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe ni miongoni mwa Wabunge waliosimama Bungeni Dodoma May 31, 2017 akiitumia nafasi hiyo kuchangia mapendekezo yake katika Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango na hapa anazo dakika zake Kumi. MAAJABU: Hamjui Mwanaume miaka mitatu lakini kapata mimba 

The post VIDEO: Dakika 10 za Hussein Bashe kuhusu bajeti Wizara ya fedha appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Dakika 12 za Hussein Bashe bungeni leo kuhusu Wizara ya fedha

baaaaa

Ni mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe aliyoyaongea wakati akichangia hotuba ya wizara ya fedha na mipango kwa maendeleo ya taifa kwa mwaka wa fedha 2016/2017, mchango wake unaweza kuutazama kwenye hii video hapa chini ULIKOSA HII YA MBOWE VS WAZIRI MHAGAMA KUHUSU AHADI ZA SERIKALI

The post VIDEO: Dakika 12 za Hussein Bashe bungeni leo kuhusu Wizara ya fedha appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Bongo5

TFF yatoa majibu kuhusu rufaa ya Polisi kwa Simba SC

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limepokea rufaa kutoka Klabu ya Polisi Dar es Salaam dhidi ya Klabu ya Simba kuhusu kumchezesha Mchezaji Novalty Lufunga katika mchezo wao wa Raundi ya Tano ya Kombe la Azam Sports Federation Cup 2017.

Madai ya Polisi ni kwamba Mchezaji Novalty Lufunga alioneshwa kadi nyekundu kwenye mchezo kati ya Simba na Coastal Union katika mchezo wa Azam Sports Federation Cup 2015/2016 uliofanyika Uwanja wa Taifa, Aprili 11, mwaka jana.

Shirikisho la Mpira...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani