VIDEO: Majibu ya Waziri Nchemba bungeni kuhusu Jeshi la Polisi kukamata watu

nchembaaa

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba ametoa ufafanuzi wa swali la mbunge wa viti maalum CHADEMA Susan Maselle aliyehoji hatua za serikali kuhusu baadhi ya wanajeshi kuwabambikia kesi wananchi na tuhuma za polisi kuwaweka viongozi wa dini na siasa mahabusu kwa muda mrefu. ‘Jeshi la Polisi linafanya kazi kwa mujibu wa sheria, […]

The post VIDEO: Majibu ya Waziri Nchemba bungeni kuhusu Jeshi la Polisi kukamata watu appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Majibu ya Waziri Nchemba kwa Mbowe kuhusu madai ya deni la taifa

ncheee

Kumekuwa na headline za kwamba hivi sasa serikali ya Tanzania inadaiwa deni la taifa zaidi ya trilion 51 ambazo katika mgawanyo inaonyesha kwamba kila mtanzania atatakiwa kulilipa deni hilo, ishu imefikishwa hadi bungeni leo ambapo mbunge wa Hai Freeman Mbowe alitaka ufafanuzi wa jambo hili kutoka serikalini. Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu […]

The post VIDEO: Majibu ya Waziri Nchemba kwa Mbowe kuhusu madai ya deni la taifa appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Matatu ya Waziri Nchemba bungeni kuhusu changamoto za Askari

ssss

Headline za bunge zimeendelea tena leo September 6 2016 ambapo mkutano wa nne wa bunge la kumi na moja umeanza rasmi huku shughuli nzima ikisimamiwa na Spika wa bunge Job Ndugai,  katika kipindi cha maswali na majibu moja ya swali lililosikika ni kutoka kwa mbunge wa viti maalum Ritta kabati aliyetaka kujua mpango wa serikali […]

The post VIDEO: Matatu ya Waziri Nchemba bungeni kuhusu changamoto za Askari appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Majibu ya Jeshi la Polisi kuhusu biashara ya Shisha DSM

1

Miezi kadhaa baada ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kupiga marufuku biashara ya Shisha kwenye sehemu za starehe, ulipita muda na agizo hilo likaonekana kutekelezwa japokuwa haikuchukua muda sana biashara hiyo ikarejea tena. November 16, 2016 wakati wa uzinduzi wa mitambo ya ufuaji umeme jijini Dar es salaam, Paul Makonda alizungumzia […]

The post VIDEO: Majibu ya Jeshi la Polisi kuhusu biashara ya Shisha DSM appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Waziri Nchemba kaongea bungeni kuhusu kiwango hiki cha fedha

AW1A7188

Mei 3 2016 Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu  Nchemba alikuwa akiwasilisha bajeti ya mapato na matumizi kwa mwaka 2015/2016 katika Wizara yake. Hapa nimekusogezea dakika zake mbili kutokea bungeni Dodoma… ULIIKOSA HII BAADA YA KUTOKA MAREKANI MTOTO GETRUDE KAKARIBISHWA BUNGENI LEO, ALICHOKIZUNGUMZA JE? Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line […]

The post VIDEO: Waziri Nchemba kaongea bungeni kuhusu kiwango hiki cha fedha appeared first on...

 

3 years ago

Global Publishers

Bungeni: Majibu ya Waziri Mkuu Kuhusu Mauaji ya Askari na Uchumi wa Nchi

majaliwaaaDODOMA: Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendelea kukutana na wadau tofauti wanaohusika na masuala ya uchumi katika kuhakikisha uchumi wa nchi unaendelea kukua. Hayo yamesemwa na Waziri Mkuu Kassim, Majaliwa alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Hai Mhe. Freeman Mbowe mijini Dodoma aliyetaka kujua hali ya uchumi ilivyo kwa sasa hapa nchini. Waziri Mkuu  amesema kuwa lengo kuu la Serikali ya awamu ya tano ni kuhakikisha uchumi wa nchi unaongezeka kupitia nyanja tofauti kwa...

 

2 years ago

MillardAyo

Majibu ya Jeshi la Polisi Makao Makuu kuhusu tuhuma za Rushwa dhidi ya Sirro

polisi

Baada ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kudai mbele ya Waziri Mkuu kuwa Wafanyabiashara wa Shisha walitaka kumhonga ili asiliongelee suala hilo lakini bado biashara hiyo ikaendelea na kumfanya ahisi kuwa Kamanda Sirro amepokea rushwa na kuwaruhusu waendelee kufanya biashara ya Shisha. Leo November 18, 2016 Jeshi la Polisi Makao Makuu kupitia kwa Kaimu […]

The post Majibu ya Jeshi la Polisi Makao Makuu kuhusu tuhuma za Rushwa dhidi ya Sirro appeared first on...

 

2 years ago

Malunde

JESHI LA POLISI LAMTUNISHIA MISULI WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MWIGULU NCHEMBA...PF3 NI LAZIMA

Baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba kutoa taarifa kupitia ukurasa wake wa Facebook kuwa kuanzia sasa majeruhi, mahututi asiyeweza kutoroka atatibiwa kwanza ndipo ashughulikie fomu ya polisi namba 3 (PF3), Jeshi la Polisi limetolea ufafanuzi  zaidi  wa taarifa hiyo.
Katika taarifa ya Waziri Nchemba alisema, “Tumeamua, majeruhi, mahututi asiyeweza kutoroka,na mtu mwenye majeraha yasiyo na utata wapewe matibabu kwanza bila PF3.”
Aliendelea kueleza zaidi kwamba, “Hatua za...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Mbowe vs Waziri Mhagama bungeni leo kwenye maswali na majibu

hahaha

Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania limeanza tena Dodoma leo November 1 2016 ambapo kwenye post hii nakukutanisha na kipindi cha maswali na majibu, swali limetoka kwa mbunge wa jimbo la Hai na Freeman Mbowe unaweza kutazama kwenye hii video hapa chini. ULIIKOSA FAINALI YA MISS TANZANIA 2016? BONYEZA PLAY HAPA CHINI MWANZO MWISHO. […]

The post VIDEO: Mbowe vs Waziri Mhagama bungeni leo kwenye maswali na majibu appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Dakika 6 za majibu ya Waziri mkuu kwa maswali aliyoulizwa bungeni

screen-shot-2016-11-03-at-1-36-49-pm

Ni dakika 6 za kipindi cha maswali na majibu, maswali ambayo yanaulizwa kwa Waziri mkuu na yeye anayatolea majibu ndani ya bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Dodoma… ya leo ni haya hapa chini kwenye hii video. VIDEO: Ulikosa kutazama dakika 12 za Hussein Bashe bungeni kuhusu wizara ya fedha? tazama hii video hapa […]

The post VIDEO: Dakika 6 za majibu ya Waziri mkuu kwa maswali aliyoulizwa bungeni appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani