VIDEO: Matokeo ya mechi za UEFA na ushindi wa Arsenal vs Basel Dec 6 2016

3b1c6b4800000578-4007036-image-a-8_1481055746952

Michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya hatua ya makundi imemalizika leo kwa baadhi ya makundi kucheza mechi zake usiku wa December 6 huku timu nyingine zitamaliza hatua ya Makundi usiku wa Jumatano ya December 7 2016. Arsenal walikuwa ugenini kucheza mchezo wao wa 6 dhidi ya Basel lakini ilionekana kama wapo nyumbani kutokana na […]

The post VIDEO: Matokeo ya mechi za UEFA na ushindi wa Arsenal vs Basel Dec 6 2016 appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Arsenal yaingia 16 bora, matokeo ya mechi za UEFA Dec 9

2F379FD000000578-0-image-a-69_1449695516399

Michezo ya hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya iliendelea tena usiku wa December 9 kwa mechi nane baada ya makundi ya E, F, G na H, michezo hiyo ilichezwa wakati timu 10 kati ya 32 zikiwa zimeshajihakikishia nafasi ya kwenda hatua ya 16 bora hivyo nafasi 6 pekee ndio zilikuwa zinawaniwa.

2F37676500000578-0-image-a-46_1449694670245

2F379FD000000578-0-image-a-69_1449695516399

Klabu ya Arsenal ambayo ilikuwa nafasi ya tatu katika msimamo wa Kundi F, nafasi yake ya kuendelea hatua ya 16 bora ilikuwa mikononi mwake yenyewe, ilifanikiwa kuifunga Olympiakos ya Ugiriki...

 

2 years ago

MillardAyo

Matokeo ya mechi za UEFA za Dec 7 na timu zilizofuzu kucheza 16 bora

screen-shot-2016-12-08-at-1-16-40-am

Usiku wa December 7 2016 michuano ya UEFA Champions League hatua ya makundi ndio ilikamilika rasmi na timu 16 zilizofuzu hatua ya 16 bora zimefahamika, Real Madrid wao wamekamilisha hatua ya makundi kwa kucheza dhidi ya Borussia Dortmund. Real Madrid wakiwa nyumbani katika uwanja wao wa Santiago Bernabeu wenye uwezo wa kuchukua mashabiki zaidi ya […]

The post Matokeo ya mechi za UEFA za Dec 7 na timu zilizofuzu kucheza 16 bora appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Real Madrid yalazimishwa sare UEFA, Cheki matokeo ya mechi za Nov 2 2016

1q

Usiku wa November 2 2016 hatua ya makundi round ya nne ya michuano ya UEFA Champions League iliendelea kama kawaida kwa michezo nane kuchezwa, Real Madrid wao walikuwa wageni wa Legia Warsaw katika uwanja wa Wojska Polskiego. Real Madrid wakiwa ugenini wamelazimishwa sare ya kufungana magoli 3-3, magoli ya Real Madrid yalifungwa na Gareth Bale […]

The post VIDEO: Real Madrid yalazimishwa sare UEFA, Cheki matokeo ya mechi za Nov 2 2016 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Arsenal Vs Norwich City leo April 30 2016 na matokeo ya mechi nyingine za EPL zipo hapa

<> at Old Trafford on August 26, 2013 in Manchester, England.

Kwa watu wangu mashabiki wa soka la Ligi Kuu Uingereza, leo April 30 2016 imechezwa michezo 6 ya Ligi hiyo, huenda hukupata nafasi ya kuona michezo hiyo, ambapo mchezo kati ya Arsenal dhidi ya Norwich City ndio ulikuwa mchezo wa mwisho kuchezwa April 30 2016. Arsenal ambao walikuwa katika uwanja wao wa Emirates wamefanikiwa kuibuka […]

The post VIDEO: Arsenal Vs Norwich City leo April 30 2016 na matokeo ya mechi nyingine za EPL zipo hapa appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

Nimekusogezea matokeo na video za magoli ya mechi za UEFA, Roma Vs Real Madrid

2714

Usiku wa February 17 mechi za Gent dhidi ya Wolfsburg na mchezo kati ya Real Madrid dhidi ya AS Roma ya Italia, ulikamilisha idadi ya timu 8 za kwanza kucheza mechi zake za kwanza za hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, mchezo uliokuwa unasubiriwa kwa hamu usiku wa February 17 wa Ligi ya Mabingwa […]

The post Nimekusogezea matokeo na video za magoli ya mechi za UEFA, Roma Vs Real Madrid appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Arsenal imepata ushindi wa mechi 3 mfululizo kwa mara ya kwanza

Baada ya headlines za muda mrefu kuhusu mwenendo na kiwango kibovu cha Arsenal katika mashindano mbalimbali wakiwa chini ya kocha wao mfaransa Arsene Wenger, mchezo wa nusu fainali ya FA Cup dhidi ya Man City waliyopata ushindi wa magoli 2-1 umeonekana kuleta morali katika kikosi cha timu hiyo. Arsenal usiku wa April 26 walikuwa wenyeji wa mabingwa watetezi […]

The post VIDEO: Arsenal imepata ushindi wa mechi 3 mfululizo kwa mara ya kwanza appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Baada ya mechi 9 dhidi ya Chelsea, Arsenal ndio kapata ushindi wa kwanza

4131

Usiku wa Septemba 24 2016 jiji la London lilikuwa busy kwa upande wa mashabiki wa soka kwani mashabiki wa timu kubwa za Arsenal na Chelsea walikuwa busy kufuatilia mchezo dhidi ya vilabu vyao ambavyo vyote vinatokea ndani ya jiji la London. Mchezo kati ya Arsenal dhidi ya Chelsea ulichezwa katika dimba la Emirates, tofauti na […]

The post VIDEO: Baada ya mechi 9 dhidi ya Chelsea, Arsenal ndio kapata ushindi wa kwanza appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya mechi ya JKT Ruvu vs Yanga Dec 17 2016, Full Time 0-3

screen-shot-2016-12-17-at-10-44-31-pm

Ligi Kuu soka Tanzania bara mzunguuko wa pili ulianza leo December 17 kwa michezo kadhaa kuchezwa, Yanga ambao walikuwa kama wageni dhidi ya JKT Ruvu wameibuka na ushindi wa goli 3-0, magoli ya Yanga yakifungwa na Simon Msuva aliyefunga magoli mawili katika ushindi huo na kusababisha goli la kwanza ambalo Michael Aidan alijifunga. ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

The post VIDEO: Magoli ya mechi ya JKT Ruvu vs Yanga Dec 17 2016, Full Time 0-3 appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

Matokeo ya mechi aliyohaidi Madee kuchoma gari yake moto kama Arsenal itafungwa (+Pichaz&Video)

Jumapili ya January 24 Ligi Kuu Uingereza iliendelea kwa michezo miwili kupigwa, mchezo wa kwanza kuchezwa ulikuwa mchezo kati ya Everton dhidi ya Swansea City mchezo ambao ulimalizika kwa Swansea kuibuka na ushindi wa goli 2-1 licha ya kuwa katika uwanja wa ugenini. Mchezo wa pili ulikuwa ndio mchezo ulioteka hisia za watu wengi zaidi […]

The post Matokeo ya mechi aliyohaidi Madee kuchoma gari yake moto kama Arsenal itafungwa (+Pichaz&Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani