VIDEO: MCHUNGAJI DKT GETRUDE RWAKATARE AAPISHWA KUWA MBUNGE


CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

4 months ago

Michuzi

4 months ago

Zanzibar 24

Mchungaji Getrude Rwakatare akalia kiti cha Sophia Simba Bungeni

Spika wa Bunge, Job Ndugai(Mb) amemuapisha rasmi Mchungaji Getrude Rwakatare kuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia CCM.

Mheshimiwa Lwakatare ameapishwa mapema Alhamisi, Mjini Dodoma na Spika Ndugai, baada ya kuteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Aprili 14 mwaka huu ili kujaza nafasi iliyoachwa na Sophia Simba ambaye alivuliwa uanachama wa CCM kwa madai ya uvunjifu wa maadili ya kichama.

The post Mchungaji Getrude Rwakatare akalia kiti cha Sophia Simba Bungeni appeared first on Zanzibar24.

 

4 months ago

Bongo5

Mchungaji Getrude Lwakatare aapishwa bungeni

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai amemuapisha Dkt Getrude Rwakatare kuwa Mbunge wa viti Maalum wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mheshimiwa Lwakatare ameapishwa mapema Alhamisi, Mjini Dodoma na Spika Ndugai, baada ya kuteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Aprili 14 mwaka huu ili kujaza nafasi iliyoachwa na Sophia Simba ambaye alivuliwa uanachama wa CCM kwa madai ya uvunjifu wa maadili ya kichama.

Dkt Getrude Lwakatare anaingia katika bunge hilo...

 

4 years ago

Habarileo

Dk Migiro aapishwa kuwa Mbunge

MBUNGE aliyeteuliwa na Rais, Dk Asha Rose Migiro ameapishwa rasmi jana bungeni na kusema anafurahi kutumikia umma huku akiahidi utumishi wenye uadilifu, uaminifu na wa kujituma.

 

5 months ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AAPISHWA KUWA MBUNGE

Spika wa bunge, Job Ndugai akimwapisha Mama Salma Kikwete kuwa mbunge, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2017. Mama Salma Kikwete akiapa kuwa mbunge, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2017. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Mama Salma Kikwete baada ya kuapishwa kuwa mbunge, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2017. Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakakaya Mrisho Kikwete akishiriki kuimba wimbo wa taifa kabla ya kuanza kwa kikao cha bunge mjini Dodoma Aprili 4, 2017. Mheshimiwa Kikwete alikwenda...

 

5 months ago

Zanzibar 24

Mama Salma Kikwete aapishwa rasmi kuwa Mbunge

Mbunge wa kuteuliwa ambae ni mke wa Rais Mstaafu, Mama Salma Kikwete aapishwa leo Bungeni Dodoma.

Rais Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete alihudhuria Bunge na kushangiliwa vilivyo na wabunge huku wakisema “tumekumiss, tumekumiss”.

Baada ya kuapishwa, Mama Salma alionesha makali yake kwa kuuliza swali la nyongeza kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora, Angella Kairuki.

Kupiti Twita raisi msataafu Jakaya Kikwete aliandika kuwa ameshudia kuapo cha mke wake na kumhakikishia  kuwa...

 

1 year ago

Michuzi

DKT. SHEIN AAPISHWA KUWA RAIS WA ZANZIBAR

Rais Mteule wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akiapishwa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi leo na Jaji Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Omar Othman Makungu katika uwanja wa Amaan Mjini Unguja.[Picha na Ikulu.]

 

1 year ago

Dewji Blog

Dkt. Mohamed Shein aapishwa kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri

Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman akimuapisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein kuwa mjumbe wa Baraza la  Mawaziri ili aweze kushiriki na kutekeleza majukumu yake kwenye Baraza hilo huku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia tukio hilo katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma.

Ak3G6goeL-45lUetxT4JjpvI8sNagEww_sSXOglCKvQg

The post Dkt. Mohamed Shein aapishwa kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri appeared first on...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani