Video Mpya : HARMONIZE ft DIAMOND PLATNUMZ - KWANGWARU

Kutoka ndani ya WCB, Harmonize ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Kwangwaru ambao amemshirikisha mwanamuziki Diamond Platnumz.
Itazame video hiyo hapa chini;

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Video: Harmonize Ft Diamond Platnumz – Bado

bado harmonize 1111

Video mpya ya msanii Harmonize kutoka Wasafi Classic amemshirikisha Boss wake Diamond Platnumz wimbo unaitwa “Bado”

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

3 years ago

Bongo Movies

Exclusive Video: Harmonize Ft Diamond Platnumz: Bado

diamond3412

Video mpya ya msanii Harmonize kutoka Wasafi Classic amemshirikisha Boss wake Diamond Platnumz wimbo unaitwa “Bado”  Video imefanyika nchini Afrika Kusini.

 

3 years ago

Global Publishers

2 years ago

MillardAyo

Video: Comment ya Diamond Platnumz kwenye penzi la harmonize na Wolper

Moja kati ya couples zinazoongelewa sana kwenye mitandao ya kijamii huwezi kuacha kulitaja penzi la mastaa wawili kutoka kiwanda cha Bongomovie (Jackline Wolper) na kutoka kiwanda Bongoflevani (Hamonizer) leo October 22 2016 Diamond Platnumz amble ni C.E.O wa lebel ya WCB ametoa comment yake kuhusu mapenzi ya msanii wake na mrembo Jackline Wolper. ‘Sisi kama […]

The post Video: Comment ya Diamond Platnumz kwenye penzi la harmonize na Wolper appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Mabibi na mabwana, Harmonize ft Diamond Platnumz wamekusogezea hii ya ‘Bado’

VVVVVVVVVVVVVVVVVVVVV

Staa wa bongo fleva na mmiliki wa mdundo wa ‘Aiyola‘ Harmonize, leo anakualika tena kuutazama huu mpya alioshirikiana na Diamond Platnumz, Mdundo unaitwa ‘Bado’ Kuutazama Bonyeza hapa chini mtu wangu…. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili […]

The post VIDEO: Mabibi na mabwana, Harmonize ft Diamond Platnumz wamekusogezea hii ya ‘Bado’ appeared first on...

 

11 months ago

Malunde

Video Mpya : DIAMOND PLATNUMZ Ft RAYVANNY - IYENA....VIDEO QUEEN NI ZARI THE BOSSLADY

Msanii Diamond Platnumz ametoa video ya nyimbo yake iliyoko kweny album ya 'A Boy from Tandale' akimshirikisha msanii mwenzake kutoka WCB Rayvanny. Pia Video Queen wa Iyena ni Zari The bosslady
Itazame hapo chini

 

2 years ago

Global Publishers

Video Mpya : Diamond Platnumz Ft. Ne-Yo – Marry You

Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu, video ya Diamond Platnumz ya wimbo wake, Marry You aliomshirikisha Ne-Yo imetoka. Kwa mara ya kwanza video hii imewekwa kwenye channel ya Vevo ya staa huyo.

Diamond Platnumz – Marry You ft. Ne-Yo

The post Video Mpya : Diamond Platnumz Ft. Ne-Yo – Marry You appeared first on Global Publishers.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani