Video Mpya : ICE BOY - KAMA UNAJIKUNA

Msanii wa muziki Bongoi, Ice Boy anakukaribisha kutazama video ya wimbo wake uitwao Kama Unajikuna.


Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Global Publishers

#GlobalCelebrity: Ice Boy Azungumzia Single Yake Mpya ‘Binadamu’ Adai Haihusiani Na Young Killa ILA… – ( Video)

Camera za Global TV Online zilikutana na msanii wa Hip Hop Ice Boy na kupiga nae stori mbili tatu. Kwenye interview, msanii huyo alituambia vitu vingi ikiwemo safari yake alivyoanza muziki pamoja na sababu za kutunga kwa single yake ya sasa ‘Binadamu’.

Ice Boy ameiambia Global TV Online sababu zilizomsukuma mpaka kuandika single yake mpya ‘Binadamu’, kwa maneno yake binafsi; “hii ngoma inagusa watu wengi, wale wote wanao-struggle kila siku…“

Akizungumza  na Global TV Online, Ice Boy...

 

2 years ago

Bongo5

Video: Ice Boy Ft Nandy – Binadamu

Rapper Ice Boy, ameachia video mpya ya wimbo “Binadamu”, akiwa amemshirikisha Mwanadada Nandy, video imeongozwa na kampuni ya Motion Pictures Entertainment.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

3 years ago

Bongo5

Video: Ice Boy X Mulla -Tumbua Majipu

Angalia video mpya toka kwa vijana wa Hightable Sound Studio, wakiwa chini ya msanii Barnaba. Wimbo unaitwa “Tumbua Majipu” kutoka kwa wasanii Ice Boy na Mulla. Video imeongozwa na Joowzey.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Ice Boy kuhusu kugombana na Barnaba….

Ni April 25, 2017 ambapo mkali Ice Boy amekaa na Ayo TV & millardayo.com kueleza kile kilikuwa kinaendelea mitandano kuhusu Kugombana na Barnaba. ‘Nilishawahi kukosana na Barnaba mbona hata Young Killer nilishawahi kukosana nae lakini Barnaba ni moja kati ya kaka zangu ninaowaheshimu ila kuna siku tu ndio watu walikuwa wana judge baada ya yeye […]

The post VIDEO: Ice Boy kuhusu kugombana na Barnaba…. appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Bongo5

Ice Boy: Kuwa na Young Killer kulinipotezea muda na vitu vingi (Video)

Ice Boy ni rapper aliyekuwa akifanya back vocals kwenye show zote za Young Killer kwa takriban miaka minne.

Hata hivyo ameiambia Bongo5, katika miaka yote hiyo, hakuwahi kupata chochote, na Killer hakumpa nafasi ya kung’ara kama ilivyotarajiwa. Hiyo ndio sababu iliyomfanya ajiengue na kuanzisha career yake mwenyewe.

“Nilipoteza muda mwingi sana kipindi nipo naye, niliacha chuo kwasababu alikuwa hawezi kusafiri kwenda mikoani bila mimi, hiyo ilikuwa inanipotezea vitu vingi, sipati hela,...

 

3 years ago

MillardAyo

Official Video mpya mpya ya Ice Prince feat. YQ – ‘That Girl’ ametusogezea hapa!!

Video ya kwanza ya Ice Prince kwa mwaka 2016 ni hii ya That Girl aliyomshirikisha msanii mwenzake YQ. Nakukaribisha hapa kuitazama mtu wangu.   Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana […]

The post Official Video mpya mpya ya Ice Prince feat. YQ – ‘That Girl’ ametusogezea hapa!! appeared first on...

 

4 years ago

Bongo5

Country Boy ajiandaa kuachia mixtape mpya, Kama Ulaya

12237581_957038871035116_68731880_n

Rapper Country Boy amesema ataachia mixtape mpya hivi karibuni.

COUNTRYBOY1

Rapper huyo amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa mixtape hiyo ameipa jina, Kama Ulaya.

“Idea ya kuita mixtape ‘Kama Ulaya’ imekuja baada ya kuona mimi ni mtu ambaye nilikuwa nafanya mixtape za mbele yaani ngoma za wasanii wa mbele na zime-hit,” alisema. “Mimi nina uwezo wa kubadilisha ngoma yoyote na unaweza kuona kama mixtape ya Bobby Shmurda, Hot Nigga na Kendrick Lamar ambayo nilifanya kwa style zao zile zile na...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani