Video mpya : KISIMA 'NYANDA MAJABALA' - JANETH....NGOMA KALI BALAA


Kutoka mkoani Simiyu ninayo hapa ngoma mpya ya Msanii Kisima 'Nyanda Majabala',wimbo unaitwa Janeth. Video hii inapatikana katika Albam yake mpya mwaka 2018 aliyoipa jina la Maisha. Video imetengenezwa katika Studio za Makula. 

Malunde

Read more


Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani