Video Mpya Kali : KISIMA INAITWA SHIMIYU....NGOMA MATATA YA KISUKUMA


Msanii Kisima 'Nyanda Majabala' ameachia video mpya sita mwaka 2018 katika albam yake iitwayo Maisha...Miongoni mwa nyimbo hizo huu hapa unaitwa Shimiyu..bofya hapa chini utazame kwa raha zako

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 week ago

Malunde

Video Mpya ya Kisukuma : KISIMA - LIMI.....KALI BALAA


Hii hapa ngoma nyingine kali na matata ya Msanii wa Nyimbo za asili Kisima  inaitwa Limi... Ngoma  kali balaa mtu wangu..
Itazame hapa chini

 

2 years ago

Malunde

Video Mpya: KEMA HEWA - PESA...NGOMA KALI YA KISUKUMA

Ninayo hapa video mpya ya msanii wa nyimbo za asili Kema Hewa kutoka Nyamilangano - Ushetu wilaya ya Kahama mkoa wa Shinyanga inaitwa Pesa. Msanii Kema Hewa anapatikana kwa simu namba 0685 190 850Itazame hapa chini

 

1 year ago

Malunde

Video Mpya : NG'WANA NCHAINA - KABYALILE.....NGOMA KALI YA KISUKUMA


Msanii Ng'wana Nchaina maarufu "Bhugakamba" kutoka Kahama ametualika kutazama video yake nyingine mpya mwaka 2018,inaitwa Kabyalile. Director katika video hii ni ManwellTazama hapa chini

 

1 year ago

Malunde

Video mpya !! NG'WANA NCHAINA - GHUTUNA...NGOMA KALI SANA YA KISUKUMA


Malunde1 blog ni kisima cha Nyimbo za asili...Tayari tunayo ngoma mpya ya Msanii Ng'wana Nchaina maarufu Bhugakamba kutoka Kahama mkoani Shinyanga wimbo unaitwa Ghutuna ....Nchaina ni mdogo wake Msanii Nyanda Madirisha 'The Super star' aliyefariki dunia kwa ajali ya pikipiki akiwa kwenye Show mkoani Simiyu mwaka 2016 kisha Nchaina kurithi mikoba ya kaka yake.


Tazama video hii kali sana iliyoongozwa na Manwell

 

2 years ago

Malunde

TAZAMA VIDEO MPYA YA MEZA - UFUNGUZI WA GUEST YA NINDO...NI NGOMA KALI BALAA YA KISUKUMANinayo hapa Video mpya kabisa kutoka kwa msanii wa nyimbo za asili MEZA inaitwa Ufunguzi wa Guest ya Nindo.Video hii kali iliyo katika ubora zaidi imefanywa na kuongozwa na Masesa wa ANGEL VIDEO PRODUCTION iliyopo Kahama Mjini mkoani Shinyanga anayepatikana kwa simu namba 0768075400.


TAZAMA HAPA HAPA CHINI

 

1 year ago

Malunde

Video mpya : KISIMA 'NYANDA MAJABALA' - JANETH....NGOMA KALI BALAA


Kutoka mkoani Simiyu ninayo hapa ngoma mpya ya Msanii Kisima 'Nyanda Majabala',wimbo unaitwa Janeth. Video hii inapatikana katika Albam yake mpya mwaka 2018 aliyoipa jina la Maisha. Video imetengenezwa katika Studio za Makula. 

 

2 years ago

Malunde

Video : MACHUPI - MWAJUMA.....NGOMA KALI YA KISUKUMA YA ALIYEKUWA MNENGUAJI WA BHUDAGALA


Ninayo hapa ngoma mpya ya Msanii "Machupi" inaitwa Mwajuma. Machupi alikuwa mnenguaji wa gwiji wa nyimbo za asili Bhudagala Mwanamalonja na sasa amejitegemea na kuanzisha kundi lake kama alivyofanya aliyekuwa mnenguaji wa Bhudagala Kundi wa Ng'wa Moto ambaye naye sasa ana kundi lake amejitegemea.
TAZAMA NGOMA HII KALI YA MACHUPI HAPA CHINI

 

2 years ago

Malunde

Video Mpya ya Kisukuma: KISIMA - NG'WANAMANDUSELA, PALE BABA YAKO ANAPOCHEPUKA NA KUZAA NA MKE WAKO

Ninayo hapa video mpya ya msanii wa nyimbo za asili Kisima "Nyanda Majabala" inaitwa Ng'wanamandusela, Imetengenezwa Makula Studio.Ni wimbo unaohusu mikasa inayotokea katika familia,wimbo unaohusu baba aliyeamua kufanya mapenzi na mkwe wake( mke wa mtoto wake).

Tazama hapa chini

 

1 year ago

Malunde

Video Mpya : MOTO NKALI - MAISHA...SEBENE KALI LA KISUKUMA


Ninayo hapa video mpya ya msanii wa nyimbo za asili Moto Nkali inaitwa Maisha

Bofya hapa chini video hii hapa chini

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani