VIDEO: Simba ilivyoimaliza Yanga kwa penati 4-2 January 10 2017

screen-shot-2017-01-11-at-1-43-25-am

Mchezo wa Yanga na Simba kwa dakika 90 ulimalizika pasipo kufungana, hivyo ililazimika kupigwa mikwaju ya penati ili kupata mshindi atakayecheza fainali na Azam FC Ijumaa ya January 13 2017, Simba wamekuwa vinara kwa Yanga kwa kuifunga kwa penati 4-2. VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4

The post VIDEO: Simba ilivyoimaliza Yanga kwa penati 4-2 January 10 2017 appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

4 months ago

MillardAyo

VIDEO: Goli 4-0 za Azam FC dhidi ya Yanga January 7 2017

screen-shot-2017-01-07-at-11-41-00-pm

January 7 2017 mchezo kati ya Yanga dhidi ya Azam FC Kombe la Mapinduzi ulichezwa katika uwanja wa Amaan, huo ulikuwa ni mchezo wa mwisho wa Kundi B, Azam FC ilifanikiwa kuifunga Yanga goli 4-0, magoli yakifungwa na John Bocco dakika ya 2, Yahaya Mohamed dakika ya 54, Joseph Mahundi dakika ya 80 na Enock […]

The post VIDEO: Goli 4-0 za Azam FC dhidi ya Yanga January 7 2017 appeared first on millardayo.com.

 

3 months ago

MillardAyo

VIDEO: Ushindi wa 4-1 wa Yanga vs Ashanti United January 21 2017 ASFC

January 21 2017 Mabingwa watetezi wa Kombe la ASFC klabu ya Dar es Salaam Young Africans ilishuka dimba kuanza kutetea taji lake hilo, kwa kucheza dhidi ya Ashanti United katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, katika mchezo huo Yanga walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 4-1. VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full […]

The post VIDEO: Ushindi wa 4-1 wa Yanga vs Ashanti United January 21 2017 ASFC appeared first on millardayo.com.

 

8 months ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli na penati za mechi ya Yanga vs Azam FC August 17, Full Time 2(1-4)2

IMG_0335

August 17 2016 uwanja wa Taifa Dar es Salaam ulichezwa mchezo wa Ngao ya Hisani kati ya Mabingwa wa Ligi Kuu msimu wa 2015/2016 klabu ya Dar es Salaam Young Africans na mshindi wa pili wa Ligi Kuu Azam FC hiyo ikiwa ishara ya kukaribia kuanza kwa msimu mpya wa Ligi, mchezo ulimalizika kwa Azam […]

The post VIDEO: Magoli na penati za mechi ya Yanga vs Azam FC August 17, Full Time 2(1-4)2 appeared first on millardayo.com.

 

4 months ago

MillardAyo

VIDEO: Goli za Mavugo zinazoikutanisha Simba vs Yanga nusu fainali Mapinduzi Cup 2017

screen-shot-2017-01-09-at-1-34-41-am

January 8 2017 Simba walicheza mchezo wao wa mwisho wa Kombe la Mapinduzi 2017 hatua ya makundi dhidi ya Jang’ombe Boys katika uwanja wa Amaan Zanzibar, huo ulikuwa ni mchezo muhimu kwa Simba ambaye alifanikiwa kupata ushindi wa goli 2-0, magoli yakifungwa na Laudit Mavugo dakika ya 12 na 54. VIDEO: Yanga vs Azam FC January […]

The post VIDEO: Goli za Mavugo zinazoikutanisha Simba vs Yanga nusu fainali Mapinduzi Cup 2017 appeared first on millardayo.com.

 

8 months ago

Michuzi

VIDEO: HII NDIO MIKWAJU YA PENATI ILIYOWAPA USHINDI TIMU YA AZAM DHIDI YA YANGA LEO

Kipa wa Azam, Aishi Manula akiruka kuwania mpira uliopigwa na Mchezaji wa Yanga, Haruna Niyonzima ambao ulikwenda nje wakati wa changamoto ya mikwaju ya penati kuamua nani wa kunyangua Ngao ya Jamii, ambayo imekwenda wa Timu ya Azam, baada ya kuichabanga Yanga mabao 4-1 kufuatia mchezo wao kumalizika kwa sare ya bao 2-2.Kipa wa Yanga, Deogratius Munish akiwa kapelekwa markiti kwa Mkwaju wa penati ulioimaliza Yanga, uliopigwa na Mchezaji wa Azam, Bolou Kipre.Wachezaji wa Timu ya Azam,...

 

1 year ago

MillardAyo

Cheki Video ya magoli na mikwaju ya penati ya mchezo wa nusu fainali, Yanga Vs URA Mapinduzi cup 2016

Usiku wa January 10 katika dimba la Amaan visiwani Zanzibar ulipigwa mchezo wa pili wa nusu fainali kwa kuzikutanisha timu za Dar Es Salaam Young African dhidi ya URA ya Uganda. Huu ulikuwa ni mchezo wa kuamua ni timu ipi kati ya hizo itacheza fainali na Mtibwa Sugar January 13. Mchezo ulimalizika kwa sare ya […]

The post Cheki Video ya magoli na mikwaju ya penati ya mchezo wa nusu fainali, Yanga Vs URA Mapinduzi cup 2016 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

1 year ago

MillardAyo

Yanga yafanikiwa kuiadhibu Ndanda FC kwa mkwaju wa penati (+Pichaz)

Baada ya klabu ya Azam FC inayoshindana kwa karibu na klabu ya Dar Es Salaam Young Africans kuwania nafasi ya kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi kutoa sare ya 1-1 dhidi ya African Sports January 16, katika mchezo uliochezwa Azam Complex Mbande Chamazi, January 17 ilikuwa zamu ya Yanga kuikabili Ndanda FC ya Mtwara uwanja […]

The post Yanga yafanikiwa kuiadhibu Ndanda FC kwa mkwaju wa penati (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

Michuzi

KAGASHEKI CUP 2014: PENATI ZAPIGWA TENA LEO KAITABA, KITENDAGURO FC YAIBUKA BINGWA NA KUSONGA NUSU FAINALI KWA PENATI 6-5 DHIDI YA TIMU YA RWAMISHENYE FC

Mikwaju ndio iliwatoa Rwamishenye na hapa ni kipa wake akipelekeshwa katika mkwaju wa Mwisho!! mpira umepigwa huku yeye akajitupa kule!!Wachezaji wa Kitendanguro wakishangilia kwenda Nusu Fainali baada ya kuwatoa kamasi Wanabodaboda timu ya Rwamishenye Fc penati 6-5kushoto ni kipa wa Makhirikhiri Kitendaguro Fc akifurahia ushindi na mwenzakeUshindi Mtamu!!! tunaenda Nusu Fainali!!!Dada Shabiki wa Timu ya Kitendaguro alishindwa kujizuia akajikuta katikati ya Uwanja! Kwa picha zaidi za...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani