VIDEO: TFF imeirudishia Kagera Sugar point 3 vs Simba, hakuna kukata rufaa

Katibu mkuu wa shirikisho la soka Tanzania TFF Selestine Mwesigwa ametangaza maamuiz yaliyofikia na kamati ya sheria na hadi za wachezaji kuhusu Simba kupewa point 3 dhidi ya Kagera Sugar kwa madai ya kuchezeshwa mchezaji Mohamed Fakhi aliyedaiwa kuwa kadi 3 za njano. Selestine Mwesigwa ametangaza maamuzi hayo katika makao makuu ya TFF na kusema […]

The post VIDEO: TFF imeirudishia Kagera Sugar point 3 vs Simba, hakuna kukata rufaa appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Yanga yaipeleka Takukuru kamati ya saa 72 ya TFF kuhusu point 3 za Simba SC na Kagera Sugar

Uongozi wa klabu ya Yanga umesema umepeleka taarifa kwenye taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Takukuru na Jeshi la Polisi ili kufuatilia mwenendo wa utendaji kazi wa kamati ya saa 72 ya TFF.

Mjumbe wa kamati ya utendaji ya Yanga, Salum Mkemi alisema wana wasiwasi na kamati hiyo inaweza kuipa Simba pointi tatu kutokana wajumbe wake wengi kuwa wanachama wa Simba.

“Sisi ni mabingwa na tuna haki ya kulinda maslahi yetu, Simba walipokea kichapo lakini wanataka ushindi wa mezani, suala hili...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Alichoamua Rais wa Simba baada ya kupokwa point 3 na TFF vs Kagera

Leo May 3 2017 makao makuu ya timu ya Simba SC Kariakoo Dar es Salaam, Rais wa timu hiyo Evans Aveva ameongea na waandishi wa habari kuhusu kamati ya haki na hadhi za wachezaji kuipokonya Simba point 3 ilizokuwa imepewa na bodi ya Ligi kutoka kwa Kagera Sugar kwa kumchezesha mchezaji Mohamed Fakhi aliyekuwa anadaiwa kuwa […]

The post VIDEO: Alichoamua Rais wa Simba baada ya kupokwa point 3 na TFF vs Kagera appeared first on millardayo.com.

 

5 years ago

Michuzi

sakata la emmanuel Okwi kusajiliwa na simba: Yanga kukata rufaa fifa kupinga maamuzi ya tff

Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Utawala Bora wa klabu ya Young Africans Wakili Sam Mapande - kulia
Uongozi wa klabu ya Yanga umesema utapinga maamuzi ya kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji kuhusiana na maamuzi yake ya kumtangaza mchezaji wake, Emmanuel Okwi kuwa huru.Sam Mapande amesema kuwa hawajaridhishwa na maamuzi hayo ambayo yanakinzana na shitaka zima la mchezaji huyo. Mapande amesema kuwa kamati ya TFF imeamua sakata la Okwi kinyume na malalamiko yao kwani hakukuwa na lalamiko la...

 

2 years ago

Malunde

TFF YAIPOKONYA POINTI TATU SIMBA SC ILIYOPEWA KUTOKA KAGERA SUGAR

Hatimaye Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeipokonya pointi tatu Simba SC, ilizokuwa imepewa kutoka kwa Klabu ya Kagera Sugar.

Awali, Simba ilikuwa imepewa ushindi wa mezani wa pointi tatu na magoli matatu dhidi ya Kagera Sugar, baada ya mchezo wake na timu hiyo ya mkoani Kagera kumalizika ikiwa imepigwa magoli 2-1.

Ushindi huo wa mezani ulitokana na malalamiko kuwa Kagera Sugar ilimchezesha mchezaji aliyekuwa na kadi tatu za njano,...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Simba yairamba Kagera Sugar; Ubaoni Simba 2- 0 Kagera Sugar

Simba imezidi kujichimbia kileleni baada ya kuichapa Kagera Sugar kwa mabao 2-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba  yaliyofungwa na Muzamiru Yasini na Shiza Kichuya. Ni ushindi ambao unawafanya vijana wa Joseph Marius Omog, kocha Mcameroon wafikishe pointi 23 baada ya kucheza mechi tisa za Ligi Kuu, wakiendelea kuongoza kwenye msimamo. MECHI NYINGINE LEO: JKT Ruvu 1-1 Mwadui Stand United 1-1 African Lyon

The post Simba yairamba...

 

4 years ago

Vijimambo

Nape: Hakuna nafasi ya kukata rufaa majina yakikatwa

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye.
Dodoma.Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakutakuwa na nafasi ya kukata rufaa kwa wanachama  wa chama hicho walioomba ridhaa ya chama kupeperusha bendera ya CCM katika nafasi ya Urais iwapo majina yao yatakatwa.Kauli hiyo imetolewa mjini Dodoma leo na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama hicho, Nape Nnauye alipokutana na waandishi wa habari  wakati  akitoa taarifa ya ratiba ya vikao vya mchujo wa wagombea utakaoanza siku...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli mawili yaliofungwa na Simba vs Kagera Sugar October 15 2016

img_4390

October 15 2016 uwanja wa Uhuru Dar es Salaam Simba waliikaribisha Kagera Sugar ya Bukoba kucheza mchezo wao wa tisa wa Ligi Kuu Tanzania bara, katika mchezo huo Simba walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-0, magoli yakifungwa na Mzamiru Yasini dakika ya 43 na Shiza Kichuya dakika ya 75. ALL GOALS: Yanga vs Simba October […]

The post VIDEO: Magoli mawili yaliofungwa na Simba vs Kagera Sugar October 15 2016 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Maamuzi ya kamati dhidi ya kagera sugar kuomba mapitio mapya ya bodi ya Ligi kuinyang’anya point

Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) jana April 18 2017 iliweka kikao cha kujadili mambo mbalimbali ikiwemo suala la timu ya Kagera Sugar kuomba mapitio mapya ya maamuzi ya bodi ya Ligi kuinyang’anya point tatu na kupewa Simba kwa madai walichezesha Mohamed Fakhi akiwa na kadi 3 za njano.

Kikao hicho kilichofanyika katika hoteli ya Protea jijini Dar es Salaam ambacho kilichukua takriban masaa kumi, waamuzi, wafanyakazi wa bodi ya ligi, viongozi...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani