VIDEO: TTB YAMKABIDHI BENDERA BALOZI WA UTALII NCHINI MAREKANI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

Michuzi

TTB Yamkabidhi Bendera Balozi wa Utalii Nchini Marekani

Mshindi wa Pili katika Mashindano ya Miss Tanzania U.S.A. mwaka 2017, Neema Olory (wa pili toka kushoto) akikabidhiwa Bendera ya Taifa na Meneja wa Masoko toka Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Geofrey Meena (kushoto) kama ishara ya kuwa balozi wa Utalii nchini Marekani, kulia ni Mwanzilishi wa Kampuni ya Coutious on Tanzania Justa Lujwengana na wa pili kulia ni Afisa Uhusiano Mkuu toka Bodi hiyo Geofrey Tengeneza. Meneja wa Masoko toka Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Geofrey Meena (kushoto)...

 

10 months ago

CCM Blog

TANZANIA YAMKABIDHI BENDERA BALOZI WA UTALII NCHINI MAREKANI

Mshindi wa Pili katika Mashindano ya Miss Tanzania U.S.A. mwaka 2017, Neema Olory (wa pili toka kushoto) akikabidhiwa Bendera ya Taifa na Meneja wa Masoko toka Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Geofrey Meena (kushoto) kama ishara ya kuwa balozi wa Utalii nchini Marekani, kulia ni Mwanzilishi wa Kampuni ya Coutious on Tanzania Justa Lujwengana na wa pili kulia ni Afisa Uhusiano Mkuu toka Bodi hiyo Geofrey Tengeneza. Meneja wa Masoko toka Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Geofrey Meena (kushoto)...

 

2 years ago

Michuzi

TTB YAMTAKA UNDERSON KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII NCHINI MAREKANI

Na: Geofrey Tengeneza 

Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imemtaka kijana wa kitanzania ambaye pia ni mchezaji wa mpira wa kikapu Underson Simon (19) kuitangaza Tanzania na vivutio vyake vya utalii nchini Marekani kwa lengo la kuvutia watalii wengi zaidi kuitembelea Tanzania.
Underson ambaye ni tunda la kituo cha Michezo cha Jakaya Mrisho Kikwete Youth Park cha jijini Dar es salaam amepata udhamini wa masomo kwenda kusoma shahada ya kwanza ya sayansi ya Kompyuta katika Chuo Kikuu cha...

 

3 years ago

Michuzi

FLAVIANA MATATA ATEULIWA KUWA BALOZI WA UTALII NEW YORK CITY NCHINI MAREKANI

 Katibu mkuu wizara ya maliasili na utalii Adelhelm Meru akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusiana na kumtambulisha Flaviana Matata  kuwa balozi wa utalii jimbo la New York City nchini Marekani. Kutoka kulia ni Flavianao Matata na kushoto Kaimu Mkurugenzi mwendeshaji Bodi ya Utalii TTB Devota Mdachi.Katibu mkuu wizara ya maliasili na utalii Adelhelm Meru akimkabidhi cheti   cha kumtambua kuwa balozi wa utalii jimbo la New York City nchini Marekani Flaviana...

 

3 years ago

Michuzi

Flaviana Matata ateuliwa kuwa Balozi wa hiyari wa Utalii Tanzania nchini marekani

flavy   Dr Adelhelm James Meru akimkabidhi Flaviana Matata barua ya kuchaguliwa kwake huku kaimu Mkurugenzi Devota Mdachi akishuhudia, katika ofisi za wizara hiyo. Mwanamitindo wa Kimataifa anaefanyia kazi zake za nchini Marekani Flaviana Matata amechagulia na Wizara ya Maliasili kuwa Balozi wa Hiyari 'Good Will Ambassador' kwa kipindi cha miaka mitatu kwa dhumuni la kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania ndani na nje ya nchi.Flaviana ambaye juzi alikuwa mmoja kati ya shuhuda wa kushuhudia...

 

4 years ago

GPL

BASATA YAMKABIDHI BENDERA MSHINDI WA AIRTEL TRACE MUSIC KWA AJILI YI KUWAKILISHA NCHI KATIKA MASHINDANO YA AFRIKA NCHINI KENYA

Meneja Masoko wa Airtel, Anet Muga. akiongea wakati wa tukio la kumuaga na kumkabithi bendera ya taifa kwa ajili ya kwenda kuiwakilisha nchi katika fainali za Afrika za Airtel TraceMusic Stars zitakazofanyika Jumamosi Machi 28, nchini Kenya na kushirikisha nchi 13, katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika kwenye ofisi za BASATA jijini Dar es Salaam jana. pichani katikati ni Mkurugenzi wa Ukuzaji Sanaa na Masoko wa Baraza la...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, PROF. JUMANNE MAGHEMBE AKUTANA NA BALOZI WA ITALIA NCHINI TANZANIA KUZUNGUMZIA KUHUSU MASUALA YA UTALII NCHINI

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe akizungumza na Balozi wa Italia nchini Tanzania,  Reborto Mengoni kuhusu namna ambavyo wawekezaji wa Italia  wanavyoweza kuja  nchini Tanzania kuchangamkia fursa   za Utalii kwa  kujenga hoteli za hadhi ya nyota tano katika mwambao wa Bahari ya Hindi walipokutana leo  jijini Dar es Salaam. Wengine ni Mwambata anayeshughulikia masuala ya utamaduni, Bi. Valeria La Scala ( wa kwanza kulia) na Mwambata anayeshughulikia masuala ya Biashara,...

 

4 years ago

Michuzi

BASATA yamkabidhi Bendera Mshindi wa Airtel Trace Music

Mkurugenzi wa Ukuzaji Sanaa na Masoko wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Nsao Shalua (kushoto), akikabidhi bendera ya taifa kwa mshindi wa Airtel Trace Music Stars, Mayunga Nalimi kwa ajili ya kwenda kuiwakilisha nchi katika fainali za Afrika za Airtel Trace Music Stars zitakazofanyika Jumamosi Machi 28, nchini Kenya na kushirikisha nchi 13, katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika kwenye ofisi za BASATA jijini Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia (katikati), ni Meneja Masoko wa Airtel,...

 

1 year ago

Channelten

Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), imeungana na Chama cha Wamiliki wa Mabasi yaendayo Mikoani (TABOA) kuonyesha filamu za kuhamasisha utalii.

mpa2

IKIWA ni sehemu ya mwendelezo wa kushirikisha sekta ya usafirishaji katika kutangaza vivutio vya kiutalii nchini Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), imeungana na Chama cha Wamiliki wa Mabasi yaendayo Mikoani (TABOA) kuonyesha filamu za kuhamasisha utalii.

Akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya filamu hiyo kwenye mabasi katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani Ubungo, Mwenyekiti wa Bodi ya TTB, Jaji Mstaafu Thomas Mihayo amesema hakuna namna ya kutenganisha sekta ya utalii na usafirishaji...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani