Video: Tyga amtumia tena girlfriend wake Kylie Jenner kwenye video mpya ‘Dope’d Up’

tyga-kylie-doped-up-videoKwa mara nyingine Rapper Tyga amemtumia tena girlfriend wake Kylie Jenner kwenye video yake mpya ‘Dope’d Up. Hii itakuwa ni mara ya pili kwa Kylie kuonekana kwenye video ya Tyga baada ya kucheza kama mpenzi wake kwenye video iliyopita ‘Stimulated’. Dope’d Up’ ni wimbo ambao utapatikana kwenye mixtape ya Tyga ‘Rawwest Nigga Alive’ iliyopangwa kutoka […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Video: Future amtumia Blac Chyna kwenye video mpya ‘Rich $ex’, aitoa kwenye birthday ya Tyga

future na Chyna

Rapper Future ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao ‘Rich $ex’, na kwenye video hiyo amemtumia Blac Chyna kama mpenzi wake.

future na Chyna

Japo kuwa Future ambaye ni ex na baby dady wa Ciara na Chyna ambaye ni ex na baby mama wa Tyga wamekuwa wakikanusha kuwa sio wapenzi, lakini video hii inalazimisha kuamini kuwa wanatoka.

Blac-Chyna-Future-tattoo

Kingnie cha kushangaza ni hiki, October 25 ambayo ni siku aliyozaliwa Ciara, ndio siku ambayo Blac Chyna alionesha tattoo ya jina la Future mkononi na kufanya watu waamini kuwa ni...

 

3 years ago

Bongo5

Picha: Tyga mzawadia gari mpenzi wake Kylie Jenner kwenye birthday yake

Rapper Tyga amempa mpezi wake Kylie Jenner zawadi ya gari mpya aina ya Maybach kwenye siku yake ya kuzaliwa akiwa anafikisha miaka 19.

Tyga alimpatia mpenzi wake huyo zawadi kupitia kampuni inayotoa magari kwa watu maarufu ya Richie Rich, na gari hio imelipiwa dola laki mbili na mbili na elfu ishirini.

Kylie anafikisha miaka 19 mnamo August 10.

0806-kylie-jenner-maybach-tmz-4

Hii inakuwa ni mara ya pili kwa Tyga kumpatia mpezi wake huyo gari kwani Mwaka jana alipofikisha miaka 18, alimpa gari aina ya Ferrari 458...

 

2 years ago

Bongo5

Video: Tyga na Kylie Jenner waachia filamu fupi ‘KYLIE’

Kylie Jenner na Tyga wameachia filamu fupi waliyoipa jina, Kylie.

Kipande hicho cha filamu kilifanyika Venice na ni cha dakika 3 tu kikielezea historia ya Kylie.

Enjoy:

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

2 years ago

Bongo5

Kylie Jenner na Tyga wamwagana tena

Rapper Tyga na mpenzi wake Kylie Jenner, wameachana kwa mara nyingine tena. Hata hivyo kuna uwezekano mkubwa wakarudiana tena, kama kawaida yao.

Chanzo kimoja cha karibu kimeuambia mtandao wa People kuwa mara nyingi wawili hao wamekuwa na desturi ya kuachana kwa muda halafu wakarudiana tena.

“They tend to take little breaks all the time and then get back together. It’s definitely possible they’ll work things out again,” kimesema chanzo hiko.

Hii ni takribani mara ya tatu Tyga na Kylie...

 

3 years ago

Bongo5

Video: Rick Ross amtumia mchumba wake Lira Galore kwenye video mpya ‘Sorry’

rick-ross-sorry-video

Rick Ross ameachia video ya wimbo wake ‘Sorry’ aliomshirikisha Chris Brown ambao ulitoka mwezi uliopita.

Kwenye video hiyo Rozay amemtumia mchumba wake Lira Galore kama video model, ikiwa ni siku moja tu imepita toka rapper huyo apost video kwenye mtandao wa Snapchat ikimuonesha yuko na Lira ambaye alionekana amevaa pete ya uchumba aliyovishwa na Rozay, siku chache toka zisambae taarifa kuwa wawili hao wameachana na Lira karudisha pete.

‘Sorry’ ni wimbo wa kwanza kutoka kwenye album mpya...

 

3 years ago

Bongo5

Kylie Jenner ampiga chini Tyga kwenye birthday yake

Tyga and Kylie

Couple ya mrembo Kylie Jenner na rapper Tyga inasemekana imevunjika.

Tyga and Kylie

Kwa mujibu wa TMZ, couple hiyo imevunjika baada ya kutokea ugomvi mkubwa ambao Tyga ndio chanzo.

Kylie amempiga chini Tyga siku ya Alhamisi NOV.19, siku ambayo Tyga alikuwa akisherehekea birthday yake ya 26 na marafiki mbalimbali wakiwemo A$AP Rocky, Wiz Khalifa, Jamie Foxx na Leonardo DiCaprio, lakini Kylie hakuonekana, wala yeye na dada zake hawakum-wish happy birthday kwenye mitandao ya kijamii.

Vyanzo vingine vimesema...

 

2 years ago

Bongo5

Diss ya Tyga kwa 21 Savage yamweka pabaya mpenzi wake Kylie Jenner

Baada ya rapper Tyga kumdiss 21 Savage kwenye wimbo wa ‘My Heart (remix)’ ugomvi umehamia kwa mwanadada Kylie Jenner.

21

Ijumaa iliyopita mrembo huyo ambaye ni mpenzi wa Tyga alipost kipande cha video kwenye mtandao wa Twitter akiimba wimbo huo sehemu inayosema, “Why you got one car in a 12-car garage? Suckin’ dick for a Ferrari / Don’t forget to lick the balls.”

Rapper 21 alijibu mapigo kupitia mtandao wa Instagram kwa kuweka picha ya mrembo huyo kutoka familia ya The Kardashians na kuandika...

 

3 years ago

Bongo5

Video: Kylie Jenner afurahi kufungiwa kwa akaunti ya Twitter iliyokuwa na mkanda wake wa ngono

Aliyekuwa mpenzi wa rapper Tyga, Kylie Jenner amefurahi baada ya akaunti yake ya Twitter iliyokuwa inawekwa mkanda wa ngono aliyokuwa na ex wake kufungiwa.

Tyga and Kylie

Kupitia akaunti yake ya Instagram, Kylie alisema kuwa kwa sasa makanda wake wa ngono aliocheza na ex wake, Tyga hauwezi tena kuonekana kutokana na akaunti hiyo ya Twitter kufungiwa. Akaunti hiyo ilikuwa imefikisha followers zaidi ya milioni 6.

Kwa sasa Kylie Jenner anadaiwa kutoka na rapper mwingine wa nchini Marekani, Party NextDoor...

 

3 years ago

Mtanzania

Tyga amvisha pete Kylie Jenner

Tyga, Kylie Jenner

Tyga, Kylie Jenner

NEW YORK, MAREKANI

BAADA ya kuuweka sawa uhusiano wao, Tyga ameamua kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake, Kylie Jenner.

Wawili hao waliachana miezi mitatu iliyopita, lakini hivi karibu kuna taarifa kwamba wawili hao wamemaliza tofauti zao na wanatarajia kuoana.

Kupitia akaunti ya Instagram, Kylie ameweka picha mbalimbali akiwa na mpenzi huyo huku wakiwa wanaonesha pete hiyo ya almasi.

“Nina mipango ya mbali na Tyga, kwa sasa kichwa changu kinawaza kuolewa na Tyga na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani