VIDEO: Ufafanuzi kama ulisikia Yanga imekodishwa na Manji

CR7

Headlines kwa sasa katika soka la Bongo ni kuhusiana na klabu ya Dar es Salaam Young Africans kutaka kukodiwa na mfanyabiashara na mwenyekiti wa klabu hiyo Yusuph Manji, kuna baadhi ya watu ambao wamekuwa wakipokea taarifa tofauti kuwa klabu hiyo tayari mwenyekiti wao Manji kakodishwa kwa kipindi cha miaka 10. Ayo TV ilimtafuta kaimu katibu […]

The post VIDEO: Ufafanuzi kama ulisikia Yanga imekodishwa na Manji appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Kama ulisikia stori za Master Jay kurudi kwenye game

MJ

Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu na kutofanya kazi za production, producer legend Master Jay wa MJ Records ameingia kwenye headlines baada ya kusemekana kuwa yuko tayari kurudi rasmi kwenye game ya bongofleva kama kawaida, Ayo TV ilimpata kwenye exclusive na kueleza ukweli wote “Mimi mwenyewe nimepata hizo taarifa kama mlivyozipa, nilikuwa sielewi baadae nikapigiwa […]

The post VIDEO: Kama ulisikia stori za Master Jay kurudi kwenye game appeared first on MillardAyo.Com.

 

1 year ago

MillardAyo

UTALII WA NDANI: Kama ulisikia sehemu inaitwa Nyumba ya Mungu (video)

Inawezekana na wewe ulisikia sana kuhusu sehemu inaitwa Nyumba ya Mungu ambayo ipo Kaskazini mwa Tanzania, leo tumepata nafasi ya kuliona kwa picha za juu na maelezo ya Bwawa lenyewe.. naomba ubonyeza play kwenye hii video hapa chini kulitazama

The post UTALII WA NDANI: Kama ulisikia sehemu inaitwa Nyumba ya Mungu (video) appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Manji kawaomba Yanga wamchague ila kama wanataka uwanja Jangwani, wanatakiwa wajue hili

h

June 10 2016 ndio ilikuwa siku ambayo uongozi wa kamati ya uchaguzi wa Yanga na wagombea wote walifunga kampeni zao ikiwemo mgombea wa nafasi ya uenyekiti Yusuph Manji, kubwa ni sera za Manji ambapo amewaambia wanachama kama wanataka uwanja ni lazima wakubali kupambana. “Kama tunataka eneo hili ujengwe uwanja ni lazima tukubali kupambana kwa namna […]

The post VIDEO: Manji kawaomba Yanga wamchague ila kama wanataka uwanja Jangwani, wanatakiwa wajue hili appeared first on...

 

2 years ago

MillardAyo

DONEDEAL: Yanga imekodishwa kwa miaka 10

cryptsy-contract-signed

Klabu ya Dar es Salaam Young Africans kupitia kwa bodi ya wadhamini wa klabu hiyo, leo October 6 2016 imetoa taarifa rasmi ya kuamua kuikodisha klabu hiyo kwa kampuni ya YANGA YETU LIMITED, bodi ya wadhamini imeikodisha klabu katika kipindi cha miaka 10. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MUHTASARI WA MKATABA. 1. Bodi ya Wadhamini […]

The post DONEDEAL: Yanga imekodishwa kwa miaka 10 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

PICHA: Kama ulisikia mradi wa zaidi ya Bilioni 85 wa Ronaldo, umefikia hapa

rona

Staa wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo ambaye pia ni mshindi wa tuzo tatu za Ballon d’Or, ameripotiwa kuandaa dola milioni 40 kwa ajili ya kufanya uwekezaji mkubwa wa biashara binafsi nje ya soka. Ronaldo anaripotiwa kutumia zaidi ya dola milioni 40 ambazo ni zaidi ya […]

The post PICHA: Kama ulisikia mradi wa zaidi ya Bilioni 85 wa Ronaldo, umefikia hapa appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Michuzi

MZEE AKILIMALI:YANGA NI KUBWA KULIKO MANJI,HAIWEZI KUKODISHWA KAMA MASUFURIA SHUGHULI

Kabla ya kufanyika mkutano Mkuu wa dharura wa klabu ya Yanga,siku ya Leo kamati ya Mwafaka wa wazee wa timu hiyo imezungumza na waandishi wa habari kuhusu maamuzi ya mwenyekiti Yusuf Manji kutaka kuitumia nembo ya Yanga kwa miaka 10 ili awe mmiliki halali.
Akizungumza katibu wa kamati hiyo Ibrahim Akilimali ,amesema kuwa kitu ambacho anataka kukifanya Manji kinapelekea kwenye vurugu kubwa kuzidi hata ile ambayo ilishawahi kutokea kipindi cha nyuma kwani atawagawa wanachama pamoja na mashabiki...

 

2 years ago

MillardAyo

Kama ulisikia Claudio Bravo kujiunga na Man City, FC Barcelona wametoa kauli

Screen-Shot-2016-08-20-at-23.50.06

Kwa zaidi ya wiki moja sasa toka taarifa za golikipa wa FC Barcelona Claudio Bravo aingie kwenye headlines akihusishwa  kukaribia kujiunga na Man City ya England, taarifa ambazo hazikuwa zimekanushwa wala kuthibitishwa na FC Barcelona. August 21 2016 taarifa kutoka 101greatgoals.com inaeleza kuwa FC Barcelona wamethibitisha kukaribia kumuuza golikipa wao chaguo la kwanza Claudio Bravo […]

The post Kama ulisikia Claudio Bravo kujiunga na Man City, FC Barcelona wametoa kauli appeared first on...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mzee Akilimali: Yanga ni kubwa kuliko Manji, Haiwezi kukodishwa kama masufuria au vyombo ya msibani

Kabla ya kufanyika mkutano Mkuu wa dharura wa klabu ya Yanga,siku ya Leo kamati ya Mwafaka wa wazee wa timu hiyo imezungumza na waandishi wa habari kuhusu maamuzi ya mwenyekiti Yusuf Manji kutaka kuitumia nembo ya Yanga kwa miaka 10 ili awe mmiliki halali. Akizungumza katibu wa kamati hiyo Ibrahim Akilimali ,amesema kuwa kitu ambacho anataka kukifanya Manji kinapelekea kwenye vurugu kubwa kuzidi hata ile ambayo ilishawahi kutokea kipindi cha nyuma kwani atawagawa wanachama pamoja na...

 

3 years ago

Vijimambo

HIKI NDICHO ALIKIELEZA MANJI NA KUTISHIA KUJIUZULU UENYEKITI YANGA SABABU YA UFISADI KAMA MENGI ATATHIBITISHA


KATIKA PITAPITA, TUMEPATA BARUA YA MWENYEKITI WA YANGA KUPITIA MTANDAO WA www.manjivsmengi.com IKIELEZA MAMBO MENGI NA MWALIKO WA MDAHALO AMBAO MANJI AMEUTOA KWA MENGI.MDAHALO HUO UNAFANYIKA IJUMAA HII NA UTARUSHWA MOJA KWA MOJA NA TBC KUANZIA SAA 12 JIONI HADI SAA 1 USIKU. SOMA BARUA HIYO.
Hisia za Bwana Mengi kwenye vyombo vya habari kuwa kampuni yangu inamiliki fedha za serikali chini ya Commodity Import Support (CIS)

Mengi ametupa lawama akizishutumu kampuni kama Farm Equip, Apollo Tires,...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani