Video ya goli la Mtibwa Sugar Vs Simba nusu fainali ya Mapinduzi Cup 2016, Full Time 1-0 ..

Klabu ya Simba SC January 10 ilikuwa timu ya kwanza kuaga mashindano ya Kombe la Mapinduzi katika hatua ya nusu fainali dhidi ya Mtibwa Sugar, baada ya Simba kushindwa kusawazisha goli la Mtibwa lililofungwa na Ibrahim Jeba dakika ya 45, hivyo huo ndio ukawa mwisho wa safari yao katika michuano hiyo baada ya mchezo kumalizika […]

The post Video ya goli la Mtibwa Sugar Vs Simba nusu fainali ya Mapinduzi Cup 2016, Full Time 1-0 .. appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

Video ya goli na sehemu ya mchezo wa Simba Vs Mtibwa Sugar, Full Time 1-0 Jan 16

Ligi Kuu soka Tanzania Bara iliendelea Jumamosi ya January 16, hii ni baada ya kusimama kwa takribani siku 10 kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2016. Miongoni mwa mchezo uliochezwa na kuteka hisia za mashabiki wengi ni mchezo kati ya Simba dhidi ya Mtibwa Sugar katika uwanja wa Taifa Dar Es Salaam. mchezo […]

The post Video ya goli na sehemu ya mchezo wa Simba Vs Mtibwa Sugar, Full Time 1-0 Jan 16 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

Cheki video ya magoli ya fainali ya Mapinduzi Cup URA Vs Mtibwa, Full Time 3-1

Usiku wa January 13 katika dimba la Amaan visiwani Zanziibar ulipigwa mchezo wa fainali ya 10 ya Kombe la Mapinduzi kwa kuzikutanisha timu za URA ya Uganda dhidi ya Mtibwa Sugar ya Tanzania. Mchezo uliochezwa na Mtibwa Sugar ikiwa katika ardhi yake ya nyumbani ilikubali kipigo cha goli 3-1 kutoka kwa URA ya Uganda. Mtu wangu […]

The post Cheki video ya magoli ya fainali ya Mapinduzi Cup URA Vs Mtibwa, Full Time 3-1 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya Simba vs Mtibwa Sugar Septemba 11 2016, Full Time 2-0

img_0204

Septemba 11 2016 Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea kwa michezo miwili kupigwa, uwanja wa Uhuru Dar es Salaam Simba iliwakaribisha Mtibwa Sugar ya Morogoro kucheza mchezo wao wa nne wa Ligi Kuu, Simba imefanikiwa kuifunga Mtibwa Sugar kwa goli 2-0, magoli ambayo yalifungwa na Ibrahim Ajib dakika ya 52 na Laudit Mavugo dakika ya […]

The post VIDEO: Magoli ya Simba vs Mtibwa Sugar Septemba 11 2016, Full Time 2-0 appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

MillardAyo

VIDEO: Goli za Mavugo zinazoikutanisha Simba vs Yanga nusu fainali Mapinduzi Cup 2017

screen-shot-2017-01-09-at-1-34-41-am

January 8 2017 Simba walicheza mchezo wao wa mwisho wa Kombe la Mapinduzi 2017 hatua ya makundi dhidi ya Jang’ombe Boys katika uwanja wa Amaan Zanzibar, huo ulikuwa ni mchezo muhimu kwa Simba ambaye alifanikiwa kupata ushindi wa goli 2-0, magoli yakifungwa na Laudit Mavugo dakika ya 12 na 54. VIDEO: Yanga vs Azam FC January […]

The post VIDEO: Goli za Mavugo zinazoikutanisha Simba vs Yanga nusu fainali Mapinduzi Cup 2017 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya Yanga vs Mtibwa Sugar April 16 2016, Full Time 1-0

football-stock2

April 16 2016 klabu ya Yanga ilicheza mchezo wake wa mwisho wa kiporo kati ya mitatu dhidi ya klabu ya Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani, Yanga ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 goli ambalo lilifungwa na Simon Msuva dakika ya 47. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na […]

The post VIDEO: Magoli ya Yanga vs Mtibwa Sugar April 16 2016, Full Time 1-0 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Goli la mechi ya Azam FC vs Simba Septemba 17 2016, Full Time 0-1

img_0067

Septemba 17 2016  Azam FC waliwakaribisha Simba katika dimba Uhuru Dar es Salaam, katika mchezo ambao kila mmoja alikuwa anawania kupata ushindi ili apate nafasi ya kuongoza Ligi, hata hivyo Simba ndio walifanikiwa kuwa wababe kwa kuwafunga Azam FC kwa goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na Shiza Kichuya dakika ya 67. ALL GOALS: Simba vs […]

The post VIDEO: Goli la mechi ya Azam FC vs Simba Septemba 17 2016, Full Time 0-1 appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

MillardAyo

VIDEO: Goli la Simba vs Ruvu Shooting Dec 29 2016, Full Time 1-0

img-20161229-wa0036

Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea leo kwa michezo miwili kuchezwa Simbawalicheza dhidi ya Ruvu Shooting uwanja wa Uhuru Dar es Salaam na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 goli ambalo lilifungwa na Mohamed Ibrahim wakati wa dakika za nyongeza kuelekea kumalizika kipindi cha kwanza. ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

The post VIDEO: Goli la Simba vs Ruvu Shooting Dec 29 2016, Full Time 1-0 appeared first on...

 

2 years ago

MillardAyo

Video ya goli la mechi ya Simba vs Toto Africans April 17 2016, Full Time 0-1

ball-in-the-net

April 17 2016 klabu ya Simba iliwakaribisha klabu ya Toto Africans ya Mwanza katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam kucheza mchezo wao 27 wa Ligi Kuu Tanzania bara, katika mchezo huo Simba walikubali kipigo cha goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na Wazir Junior dakika ya 21. Huo ni mchezo wa pili mfululizo kwa Simba […]

The post Video ya goli la mechi ya Simba vs Toto Africans April 17 2016, Full Time 0-1 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Goli la mechi ya Stand United vs Simba Nov 2 2016, Full Time 0-1

img_4349

November 2 2016 Simba walicheza mchezo dhidi ya Stand United katika uwanja wa Kambarage Shinyanga, Simba wakiwa katika uwanja huo wamefanikiwa kuwa timu ya kwanza msimu huu kumfunga Stand United kwa goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na Shiza Kichuya dakika ya 33 kwa mkwaju wa penati. ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

The post VIDEO: Goli la mechi ya Stand United vs Simba Nov 2 2016, Full Time 0-1 appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani