VIDEO:Masanja Mkandamizaji amvisha pete mchumba wake.

masanja

Miongoni mwa vitu vinavyozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na picha zinazomuonyesha Masanja Mkandamizaji akimvisha pete msichana anaedaiwa kuwa mchumba wake,kwenye picha hizo Masanja na mchumba wake huyo wanaonekana wakiwa kanisani na baadhi ya waumini akiwemo Mc Pilipili na Emanuel Mbasha. Nimezinasa video ambazo zimewekwa na Mc Pilipili zikionyesha mazingira halisi ya namna shughuli […]

The post VIDEO:Masanja Mkandamizaji amvisha pete mchumba wake. appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Video: Masanja Mkandamizaji amvalisha pete mchumba wake huyu

Mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi Masanja Mkandamizaji Jumapili hii amemvalisha pete mpenzi wake mpya akijiandaa safari ya kufunga pingu ya maisha.
Masanja akiwa na mchumba wake aitwae Monica
Masanja akiwa na mchumba wake aitwae Monica

Muigizaji huyo ambaye pia ni mchungaji, Jumapili hii akiongezana na ndugu zake wa karibu pamoja na wasanii wenzake katika kanisa moja, aliweza kumvalisha pete mchumba wake huyo aitwae Monica.Source: MC PilipiliTV

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na...

 

3 years ago

Bongo Movies

Masanja Mkandamizaji Amvalisha Pete ya Uchumba Monica

Mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi Masanja Mkandamizaji Jumapili hii amemvalisha pete mpenzi wake aitwae Monica akijiandaa safari ya kufunga pingu ya maisha.

MASANJA3444

Muigizaji huyo ambaye pia ni mchungaji, Jumapili hii akiongezana na ndugu zake wa karibu pamoja na wasanii wenzake katika kanisa la Mito ya Baraka, aliweza kumvalisha pete mchumba wake Monica.

 

2 years ago

Zanzibar 24

AY amvisha pete mpenzi wake wa tangu 2008.

Rapper Ambwene Yessayah maarufu AY   Alhamisi hii amemvisha pete aliyekuwa  mchumba wake tangu mwaka 2008 hadi sasa  Remy ambaye ni raia wa Rwanda.

Hapo awali AY  alimtambulisha  mpenzi wake huyo mwezi wa Disemba mwaka jana wakati walipo kuwa wakisherehekea siku ya kuzaliwa kwa mwanadada huyo sherehe iliyohudhuriwa na watu wao wakaribu pekee.

Wahida Mbaya.

The post AY amvisha pete mpenzi wake wa tangu 2008. appeared first on Zanzibar24.

 

4 months ago

Zanzibar 24

Fid Q amvisha pete ya uchumba mpezi wake

 Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Fid Q amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake.

Fid Q huyo ame-share picha kadhaa kwenye ukurasa wake wa Instagram zikionyesha hatua hiyo muhimu kuelekea kwenye maisha mapya ya ndoa.


Fid Q akiwa na mchumba wake

Itakumbukwa December 08 mwaka huu rapper kutoka kundi la Weusi, Nikki wa Pili naye pia alimvisha pete ya uchumba mpenzi wake.

The post Fid Q amvisha pete ya uchumba mpezi wake appeared first on Zanzibar24.

 

3 years ago

Bongo5

Video: Masanja Mkandamizaji – Moyo Mweupe

Mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi Masanja Mkandamizaji ambaye pia ni muimbaji wa nyimbo za Gospel, ameachia video mpya ya wimbo ambao unaitwa “Moyo Mweupe”, video imeongozwa na Alex Joseck.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

3 years ago

Bongo5

Picha/Video: Masanja Mkandamizaji afunga ndoa

Mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji Jumapili hii amefunga ndoa na mwanadada aitwae Monica ambaye alimvalisha pete wiki chache zilizopita.
Hans
Masanja akiwa na mke wake pamoja na MC Pilipili

Harusi hiyo iliweza kuudhuriwa na mastaa mbalimbali wa filamu huku wasanii wenzake wa kundi la Orijino Komedi wakitoa show ya nguvu. Angalia picha na video.

DD

Mke wa Masanja

Dk Cheni, MC Pilipili pamoja na Emmanuel Mbasha

Dk Cheni, MC Pilipili pamoja na Emmanuel Mbasha

Hanscana

Masanja na Joti wakicheza

Hanscanaa

Mkuu wa wilaya ya Handeni, Godwin...

 

4 years ago

Bongo5

Rick Ross aeleza jinsi alivyomvisha pete ‘kibabe’ mchumba wake bila kupiga goti

Wiki hii rapper Rick Ross alifanyiwa mahojiano na kipindi maarufu cha The Breakfast Club kupitia Power 105 na aliongozana na mchumba wake Lira Galore aliyemvisha pete hivi karibuni. Miongoni mwa mambo aliyoyagusia katika mahojiano hayo ni pamoja na kumchumbia Lira. Rozay ambaye ni boss wa MMG aliweka wazi kuwa katika lile tendo la kumvisha pete […]

 

4 years ago

GPL

MMOJA WA VIJANA WALIONASWA KWA UJAMBAZI DAR ALIMVISHA PETE MCHUMBA WAKE HIVI KARIBUNI

Mmoja wa vijana walionaswa kwa ujambazi jana akiwa na msichana anayedaiwa kumvisha pete hivi karibuni. Vijana wanne walionaswa katika tukio la ujambazi jana. Wa pili kulia ndiye anayedaiwa kumvisha pete mchumba wake hivi karibuni. Vijana hao wakiwa chini ya ulinzi baada ya…

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani