Vifaru vya jeshi vinaonekana kuelekea Harare

Vifaru vinne vimeonekana kuelekea katika mji mkuu wa Zimbabwe Harare kulingana na mashahidi siku moja baada ya mkuu wa majeshi Jenerali Constantino Chiwenga kumonya Rais Robert Mugabe kutoendelea na mpango wa kuwaondowa mashujaa wa vita kutoka chama tawala.  Jenerali Chiwenga amesema "ni lazima ni wakumbushe wanaozusha mvutano wa hivi sasa wa kisiasa kwamba, inapohusiana na kulinda mapinduzi yetu, jeshi halitosita kuingilia kati". Mapema Jumanne Chama kikuu cha upinzani cha Zimbabwe MDC...

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GPL

Vifaru vya jeshi vyawashitua Yanga

VIFARU vya jeshi vilivyo katika maeneo mbalimbali ya jiji hili, vimeonyesha kuwashitua na kuwashangaza asilimia kubwa ya wachezaji wa Yanga. Hata hivyo, Ubalozi wa Tanzania nchini hapa chini ya Balozi Mohammed Haji Hamza umewahakikishia kwamba mambo yako safi na hawapaswi kuwa na hofu. Wachezaji wa Yanga ambao wameweka kambi nje ya jiji hilo katika hoteli maalum kwa ajili ya kambi za timu ya Nile Paradesi Inn iliyo ufukweni mwa...

 

2 years ago

MillardAyo

Kutoka Harare vitu saba vya kufahamu kabla ya mechi ya Zimbabwe vs Tanzania

billiat

Jumapili ya November 13 2016 timu ya taifa ya Zimbabwe ambayo inajiandaa na michuano ya AFCON 2017 Gabon, itacheza mchezo wa kirafiki uliokuwa katika kalenda ya FIFA dhidi ya timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars, Zimbabwe ambayo ipo Kundi B lenye timu za Senegal, Tunisia na Algeria AFCON, imeita kikosi cha wachezaji 23 kupambana […]

The post Kutoka Harare vitu saba vya kufahamu kabla ya mechi ya Zimbabwe vs Tanzania appeared first on millardayo.com.

 

4 years ago

BBCSwahili

Juhudi za kulinda vifaru nchini Kenya

Mwana mfalme wa Uingereza anawsilisha hoja kwa utawala wa Uchina kusitisha uwindaji haramu wa wanyama pori wakiwemo vifaru

 

2 years ago

BBCSwahili

Marekani kutuma wanajeshi na vifaru Poland

Wanajeshi hao watapelekezwa taifa hilo la Ulaya kama sehemu ya hatua za Rais Barack Obama kuwahakikishia washirika wake katika muungano Nato.

 

4 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUELEKEA SIKUKUU YA EID-EL-FITR

Jeshi la Polisi Tanzania linapenda kutoa shukrani za dhati kwa wananchi wote, vyama vya siasa, taasisi mbalimbali za serikali, madhehebu ya dini, asasi za kiraia na vyombo vya habari kwa ushirikiano wa dhati katika kusimamia masuala ya amani na usalama hapa nchini.
Tunapoelekea kipindi hiki cha kusherehekea sikukuu ya Eid-El-Fitr, Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi wote kuwa makini na kusheherekea sikukuu hiyo kwa amani na utulivu pasipo vitendo ama viashiria vyovyote vya uvunjifu wa...

 

3 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI NCHINI KUELEKEA SIKUKUU YA PASAKA

Tunapoelekea kipindi hiki cha sikukuu ya Pasaka ambayo inaanza kesho Ijumaa Kuu, Jeshi la Polisi nchini, linatoa tahadhari kwa wananchi, kuwa makini katika suala zima la ulinzi na usalama wa maisha na mali zao.
Katika kipindi cha sikukuu baadhi ya watu hupenda kutumia fursa hiyo kufanya vitendo vya uhalifu. Hata hivyo, Jeshi la Polisi limejipanga vizuri kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama katika mikoa yote kuhakikisha kwamba hakuna vitendo vyovyote vya uhalifu...

 

3 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI NCHINI KUELEKEA KIPINDI CHA SIKUKUU

Tunapoelekea kipindi hiki cha sikukuu ya Pasaka ambayo inaanza kesho Ijumaa Kuu, Jeshi la Polisi nchini, linatoa tahadhari kwa wananchi, kuwa makini katika suala zima la ulinzi na usalama wa maisha na mali zao. 
Uzoefu unaonyesha kwamba, katika kipindi kama hiki cha sikukuu kuna baadhi ya watu hupenda kutumia fursa hiyo kufanya vitendo vya uhalifu. Hata hivyo, Jeshi la Polisi katika mikoa yote limejipanga vizuri kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kuhakikisha ...

 

2 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LAIMARISHA ULINZI KUELEKEA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA


Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.

Jeshi la polisi limesema limeimarisha ulinzi kuelekea sikukuu za  Kristimasi na mwaka mpya hili kudhibiti vitendo vya uharifu .
Akizungunza leo, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba amesema jeshi la polisi katika kipindi cha sikukuu kuna watu wanajipanga kufanya uhalifu hivyo jeshi la polisi litafanya doria za kutosha.

Amesema kumbi zote zinazofanya starehe za kupiga mziki ziingize watu kutokana na ukumbi na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani