Vigogo CCM Arusha watimkia Chadema

IMG_20150809_114435NA ELIYA MBONEA, ARUSHA

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Onesmo Ole Nangole na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Mkoa huo, Isack Joseph, wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha  Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Ole Nangole na Joseph walifikia uamuzi huo jijini hapa jana na kusema kwa nyakati tofauti wamelazimika kuchukua uamuzi huo kwa kuwa utaratibu wa kumpata mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ulikiukwa.

Kwa mujibu wa wana CCM hao, wakati wa mchakato...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Global Publishers

Vigogo Chadema Watimkia CCM (+VIDEO)

Said Arfi

DODOMA: Katika mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amepokelewa Moses Machali Mbunge wa zamani wa Kasulu Mjini kwa Tiketi ya NCCR- Mageuzi.

Moses Machali

Aidha Said Arfi naye ametangaza kujiunga na CCM na wamepokelewa leo rasmi katika mkutano uliyofanyika mjini Dodoma.

VIDEO MKUTANO MKUU WA CCM NEC DODOMA

Salum Milongo/GPL

The post Vigogo Chadema Watimkia CCM (+VIDEO) appeared first on Global Publishers.

 

4 years ago

Michuzi

NANGOLE NA KADOGOO WA CCM ARUSHA, WATIMKIA CHADEMA

Katika hali isiyokuwa ya kawaida Chama cha Mapinduzi kimeendelea kupoteza wanachama  wake mara baada  Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Arusha, Onesmo Nangole pamoja na Katibu Mwenezi wa Mkoa huo Isaac Joseph kutangaza rasmi kukihama chama hicho cha CCM na kujiunga na CHADEMA.
Uamuzi huo ulifanyika jana jijini Arusha katika moja ya hotel maarufu ambapo viongozi hao walipata wasaa wa kupokelewa na uongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA).
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA CCM KALENGA ZATINGA KIJIJI ALICHOZALIWA MGOMBEA WA CHADEMA, MWENYEKITI WA CHADEMA NA WANACHAMA 50 WATIMKIA CCM

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kijiji cha Wangama, Fred Mgata (kulia) akikabidhi kadi za chyama hicho kwa Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga baada ya yeye na wanachama wengine 50 wa Chadema kuamua kukihama na kujiunga CCM katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika  katika Kijiji hicho kilichopo Kata ya Luhota, Iringa Vijijini leo. Mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chadema ambaye ni mzaliwa wa kijiji hicho,  Grace Tendega alikuwa chini ya...

 

2 years ago

Mwananchi

Makada wa Chadema watimkia CCM

Makada 15 wa Chadema waliojitambulisha kuwa viongozi wa chama hicho Wilaya ya Ilemela Mkoa wa Mwanza  wamehama chana hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM).

 

1 year ago

Zanzibar 24

Madiwani watatu wa Chadema watimkia CCM

Madiwani watatu wa CHADEMA akiwemo Jacob Silas Mollel wa Kata ya Elang’atadapash, Elias Mepukori Mbao wa Kata ya Kamwaga na  Diyoo Lomayani Laizer Kata ya Olmolog katika halmashauri ya Longido mkoa wa Arusha, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi ( CCM).

Sababu za kujiunga CCM ni kuunga mkono jitihada za Rais John Magufuli katika vita dhidi ya ufisadi, kuinua uchumi na pia kurejesha nidhamu kazini.

Tukio hilo limejiri ikiwa ni siku moja tu imepita tangu...

 

1 year ago

Michuzi

WANACHAMA CHADEMA KAKONKO WATIMKIA CCM

Na Rhoda Ezekiel Kigoma,
JUMLA ya wanachama 27 wa Chadema wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi(CCM)wilayani Kakonko mkoani Kigoma kutokana na kuvutiwa na utendaji kazi wa Serikali ya CCM.
Wanachama hao wamejiunga leo katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Wilaya kilichoendeshwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole.
Wakizungumza baada ya kukabidhiwa kadi na kiongozi huyo,wanachama hao wapya wamesema wamefikia uamuzi huo baada ya kuguswa na kazi zuri inayofanywa na CCM na kukosa...

 

3 years ago

GPL

VIONGOZI WA CHADEMA GAIRO, MIKUMI WATIMKIA CCM

Msafara wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan ukiwasili Gairo mkoani Morogoro. Mgombea

 

1 year ago

Malunde

MADIWANI WENGINE WAWILI WA CHADEMA WATIMKIA CCMMadiwani wawili wa Chadema katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wamejiuzulu nyadhifa zao na kuhamia CCM.
Wakati diwani wa Ruaha, Tandesy Sanga akitangaza uamuzi huo leo Jumatano Januari 3,2018 jijini Dar es Salaam; mwenzake wa Kwakilosa, Joseph Ryata ametangaza uamuzi huo mjini Iringa.
Katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 Chadema ilishinda ubunge wa Iringa Mjini na kupata madiwani katika kata 14 kati ya 18, hivyo kuongoza Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani