Vigogo wa Halotel na Zantel wasekwa rumande

Watu sita wakiwamo wakurugenzi watendaji wa Kampuni za Simu za Mkononi, Le Van Dai (35) wa Halotel na Sherif El-Barary wa Zantel, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi. Makosa yao yanahusisha kula njama, kuingiza, kufunga mitambo, matumizi ya laini za simu bila usajili wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya Sh. bilioni moja. Washtakiwa hao walisomewa mashtaka yao mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Mfawidhi, Calvin...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

12 months ago

Malunde

VIGOGO WA HALOTEL NA ZANTEL WATUPWA MAHABUSU

Watu sita wakiwamo wakurugenzi watendaji wa Kampuni za Simu za Mkononi, Le Van Dai (35) wa Halotel na Sherif El-Barary wa Zantel, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi.

Makosa yao yanahusisha kula njama, kuingiza, kufunga mitambo, matumizi ya laini za simu bila usajili wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya Sh. bilioni moja.

Washtakiwa hao walisomewa mashtaka yao mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Mfawidhi, Calvin...

 

3 years ago

Channelten

Afisa Uvivu na Afisa Elimu Wasekwa Rumande Geita

uvuvi
Mkuu wa wilaya ya Geita Herman Kapufi ameagiza kukamatwa na kuwekwa ndani Afisa uvuvi wa kata ya Nkome Melina Bugumba na Mratibu Elimu wa kata hiyo,Tom Jakisinga kwa kile kinachodaiwa kushirikiana na wavuvi haramu wanaotumia sumu ndani ya ziwa Victoria.

Ametoa agizo hilo kwenye mkutano wa hadhara kijijini Ihumilo kata ya Nkome baada ya kupata malalamiko kuhusiana na watu wanaotumia sumu ndani ya ziwa hilo.

Akizungumza mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Geita Mwenyekiti wa Kijiji hicho Simon Marole...

 

3 years ago

Raia Mwema

Vigogo NCU waswekwa rumande

VIONGOZI waanamizi wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Nyanza (NCU (1984) Ltd wamekumbwa na kadhia ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa baada ya kujaribu kuinyima ushirikiano kamati maalumu inayochunguza vitendo vya ufisadi dhidi ya mali za chama hicho.

Waliokumbwa na kadhia hiyo hivi karibuni wametajwa kuwa ni Ofisa Utumishi, Sospeter Ndole na Ofisa Majengo, Stephen Emmanuel, ambao hata hivyo, baada ya kushikiliwa Polisi kwa siku zaidi ya moja walikubali kueleza ukweli wanaoujua...

 

5 years ago

Uhuru Newspaper

Vigogo Manispaa Kinondoni waendelea kusota rumande


NA MWANDISHI WETU
VIGOGO watatu wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, waliokamatwa kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa, wanaendelea kushikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).
Vigogo wanaoshikiliwa ni Mhandisi wa manispaa hiyo, Baraka Mkuya, Mkaguzi Mkuu wa Majengo aliyetajwa kwa jina moja la Christopher na Ofisa Mtendaji wa Kata ya Msasani aliyefahamika kwa jina la Mushi.
Ofisa Uhusiano wa TAKUKURU, Doreen Kapwani, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa vigogo...

 

2 years ago

Dewji Blog

Zantel, BAKWATA wazindua huduma mpya ya ‘Zantel Madrasa’

Zantel kwa kushirikiana na Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA) imezindua huduma mpya inayojulikana kama ‘Zantel Madrasa’ ambayo itawawezesha waumini wa dini ya Kiislamu kujifunza kuhusu imani ya dini hiyo pamoja na kupata mafundisho kupitia simu zao za mkononi.

Huduma hiyo itajumuisha mambo mbalimbali kama vile Hadithi, Quran, Dua na huduma nyingine nyingi kupitia ‘App’ kwenye simu ya smartphone ((IVR/SMS/Mobile App and Bakwata News), ambapo pia mteja ataweza kupata taarifa kwa kupiga...

 

2 years ago

CCM Blog

WAAJUMBE WA BODI MKULA WASEKWA LUPANGO KWA KUSHINDWA KUSIMAMIA MKOPO

DSC_0050Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Bw. James Ihunyo (aliyesimama) akizungumza katika mkutano wa pamoja na wanachama wa Skimu ya Umwagiliaji ya Mkula,iliyopo katika kijiji cha Mkula wilaya ya Kilombero. DSC_0051Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Bw. James Ihunyo (aliyesimama) akihimiza jambo wakati akizungumzia kukamatwa kwa wajumbe wa Bodi ya Skimu ya Umwagiliaji ya Mkula ambao wamezembea kusimamia mkopo wa TADB. DSC_0052Mwakilishi wa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Bw. Adam Kamanda (kushoto) akiongea kwa uchungu kitendo cha...

 

2 years ago

Michuzi

Wajumbe wa Bodi Mkula wasekwa lupango kwa kushindwa kusimamia MkopoMkuu wa Wilaya ya Kilombero Bw. James Ihunyo ameagiza kukamatwa kwa wajumbe wa bodi ya Skimu ya Umwagiliaji ya Mkula kufuatia kuchelewesha kwa makusudi malipo ya mkopo walioupata kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB).
Akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja na wanachama wa Skimu hiyo, Bw. Ihunyo alisema kuwa uzembe wa Bodi hiyo umepelekea kuchelewesha marejesho ya mkopo wa takribani shilingi milioni 790.
Mkuu huyo wa wilaya aliongeza pia kitendo cha Bodi hiyo...

 

3 years ago

Daily News | The National Newspaper (Press Release) (Blog)

Halotel to cover all villages


Halotel to cover all villages
Daily News | The National Newspaper (press release) (blog)
THE new communication company in the country, Viettel Tanzania, which trades as Halotel is set to put up telecommunication infrastructure in 1,800 villages across the country between May and October, this year. View Comments. This was revealed in the ...

 

3 years ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Halotel to Cover All Villages


Tanzania: Halotel to Cover All Villages
AllAfrica.com
Dodoma — The new communication company in the country, Viettel Tanzania, which trades as Halotel is set to put up telecommunication infrastructure in 1,800 villages across the country between May and October, this year. This was revealed in the ...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani